Mzee Mgaya: CCM inawaandaa vijana wake " kutumika" Serikalini badala ya kukitumikia chama na hapo ndipo vijana wa upinzani wanapowapa changamoto

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
30,133
2,000
Kada mkongwe mzee Mgaya anasema UVCCM iliasisiwa kuandaa vijana wenye uzalendo wa kukibeba chama na taifa kwa ujumla na siyo NGAZI ya vijana kutimiza ndoto za kupata teuzi serikalini.

Hivi sasa CCM imekuwa kama haina vijana kwani walio wengi wanatumika serikalini na kukifanya chama kuonekana cha wazee, amesema

Tulitegemea CCM kuwa na vijana makini kwenye level zote chamani kuanzia shinani hadi taifani ambao ni viongozi lakini kwa sasa ni lazima uwatafute kwa tochi, anasema.

Vijana wa Chadema kwa mfano wamejengwa kwenye msingi wa kukijenga na kukiimarisha chama ndio maana wakija CCM na kuteuliwa serikalini bado shauku yao kubwa inakuwa ni kubaki ndani ya chama na kukipigania, waangalie kwa mfano Juliana na Waitara, amemalizia Mzee Mgaya.

Kada huyu ameutaka uongozi wa CCM " kutengeneza" vijana wa kuitumikia na kuacha serikali ikitea na kuajiri kutoka kwenye bodi na taasisi za kitaalamu likiwemo soko la ajira.

Niwatakie Kwaresma yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
86,234
2,000
Corona ipo tayari

In God we Trust
 
Top Bottom