johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 38,800
- 2,000
Mzee Mgaya anasema namba hazidanganyi na hata Uchaguzi urudiwe mara mia CHADEMA hawawezi kupata kura zaidi ya milioni 2.
CHADEMA wanapaswa kumpongeza Tundu Lisu kwa sababu amepata kura zaidi ya zile alizopata Mbowe mwaka ule 2005 na alizopata Dr Slaa 2010 anaongeza mzee Mgaya.
Lowassa alienda CHADEMA na kura za CCM na alivyounga mkono juhudi na zile kura zikafanya vivyo hivyo, amemalizia.
Hongera Rais Magufuli kwa ushindi mnono.
Maendeleo hayana vyama!