Mzee Mandela hakuwa anaamini ile dhana inayosema kuchapiwa ni siri ya ndani?

mleta mada ni kama sijakuelewa ulitaka mzee awe mme mwenza au ulitakaje mkuu?
 
mleta mada ni kama sijakuelewa ulitaka mzee awe mme mwenza au ulitakaje mkuu?
Hujanielewa kitu gani?

Ninachosema ni kuwa,kwa kuwa mzee wetu Mandela alikuwa mvumilivu wa mambo mengi mazito,likiwemo la kufungwa gerezani na makaburu,kwa kipindi cha miaka 27.

Hata hivyo alipotoka jela mwaka 1990,na hata baada ya kuwa Rais mwaka 1994,hakutaka kulipiza kisasi kwa makaburu,waliomfunga kwa uonezi.

Sasa nilitarajia,kwa moyo huo huo wa kusamehe,basi hata pale,alipopata ushahidi wa kutosha kuwa,mke wake anamegwa na mwanasheria wao,basi kwa moyo ule ule jinsi alivyowasanehe makaburu waliomfunga jela miaka 27,basi ningetegemea pia angetafuta pia maridhiano kwa suala hilo,kwa kuwa wahenga walinena,kuchapiwa ni siri ya ndani!!
 
WanaJF, ni wazi kwamba makaburu walimfanyia kitu mbaya sana Mze Nelson Mandela kwa kumswenka ndani ya jela takribani kwa nusu ya maisha yake na kumfanyisha kazi ngumu. Mzee huyu alidhalilika, alipuuzika, malengo yake yalionekana kupotea na akanynyapariwa sana. Jambo zuri Mzee huyu aliamua kuwasamehe watesi wake (Makaburu) kwa lengo moja tu la kuijenga south afrika moja isiyokuwa na ubaguzi wa rangi, inayojali haki kwa wote na kweli hilo alilitimiza. Wanadunia wote tumeaswa kuenzi na kuiga kusameheana kama alivyofanya Mdingi huyu na hapa namkumbusha hashwa Rais wa Rwanda Paul Kagame ajifunze kusamehe na hili alazimike kukaa meza moja na waasi wa FDLRA wayazungumze na kuamaliza. Back to my point; katika kusamehe kwa Mzee Mandela kuliingiliwa na dosari moja ya kutomsamehe mke wake Winnie kwa kosa linalosemwa la kutoka nje ya ndoa. Hili Mzee hakulisamehe kwake ni zaidi ya kukaa jela miaka 27 na kazi ngumu. Tumeelezwa tujifunze kutoka kwa Mzee Madiba, hili nalo tulichukue?? hivi kusalitiana hakusameheki???Nimeamini kufanyiwa kubaya. WanaJF, nimechokoza tu lete mauzoefu yenu na maono yenu na wenye nondo zaidi bandikeni
 
Na mimi nilikuwa najiuliza hivyo hivyo! Ila Graca nae "anaita" mbaya.......naweza, kwa kiasi, kumuelewa Madiba!
 
Alimsamehe ila hakutakabkurudiana naye ikumbukwe kusamehe si lazima kurudiana moreover inawezekana kua alimwachia aliyekua anamiliki wakati huo aendelee kujilia vyake
 
Alimsamehe ila hakutakabkurudiana naye ikumbukwe kusamehe si lazima kurudiana moreover inawezekana kua alimwachia aliyekua anamiliki wakati huo aendelee kujilia vyake

Unaposamehe unasamehe yote sio nusu eti???
 
mandela kashakufa, jadili yalio hai haitakusaidia kitu

Philosophies na ideas nyingi tunazojifunza ni za watu ambao wamekwisha kufa je tuziache?? yuko wapi Newton? KarMarx?? Nyerere??Weber?? Mao?? Mawazo na uvumbuzi wao mbona ndio tunaendelea nao?? Ukitaka kujua yaliyopo ujue na yalikotokea
 
Sidhani kama Winnie na Mandela walikua na ugomvi au uadui wowote baada ya kuachana... nadhani aliona ni busara zaidi kutengana ili kuishi kwa amani zaidi
 
WanaJF, ni wazi kwamba makaburu walimfanyia kitu mbaya sana Mze Nelson Mandela kwa kumswenka ndani ya jela takribani kwa nusu ya maisha yake na kumfanyisha kazi ngumu. Mzee huyu alidhalilika, alipuuzika, malengo yake yalionekana kupotea na akanynyapariwa sana. Jambo zuri Mzee huyu aliamua kuwasamehe watesi wake (Makaburu) kwa lengo moja tu la kuijenga south afrika moja isiyokuwa na ubaguzi wa rangi, inayojali haki kwa wote na kweli hilo alilitimiza. Wanadunia wote tumeaswa kuenzi na kuiga kusameheana kama alivyofanya Mdingi huyu na hapa namkumbusha hashwa Rais wa Rwanda Paul Kagame ajifunze kusamehe na hili alazimike kukaa meza moja na waasi wa FDLRA wayazungumze na kuamaliza. Back to my point; katika kusamehe kwa Mzee Mandela kuliingiliwa na dosari moja ya kutomsamehe mke wake Winnie kwa kosa linalosemwa la kutoka nje ya ndoa. Hili Mzee hakulisamehe kwake ni zaidi ya kukaa jela miaka 27 na kazi ngumu. Tumeelezwa tujifunze kutoka kwa Mzee Madiba, hili nalo tulichukue?? hivi kusalitiana hakusameheki???Nimeamini kufanyiwa kubaya. WanaJF, nimechokoza tu lete mauzoefu yenu na maono yenu na wenye nondo zaidi bandikeni

Kajipange vizuri ...hivi nusu ya 95 ni 27?? Eti amekaa jela kwa zaidi ya nusu ya maisha yake
Wewe ni KILAZA.
 
Kuna watu hawamjui Mandela usione wewe unatazama TV unamjuwa kuna watu hawajui TV ni nini.

Hata useme nini, mimi naamini Michael Jackson anajulikana zaidi ya Mandela. Wengi wamemjuwa Mandela baada ya kutoka jela na si kabla, Michael Jakson ni maarufu kwa kui entertain dunia. Mziki hauna rangi hauna siasa hauna kabila hauna lugha.

Kuna watu duniani siasa hawana habari nayo kabisa, lakini nani asiye na habari na mziki? hata kama hapendi atausikia tu japo kwa mbali.
Hili linaukweli...kwa kufahamika sio siri Michael Jackson anafahamika zaidi ya Mandela...tena saaaaana aisee hili huwezi pinga hasa tukiliongelea kwa Dunia nzima...Michael mbali sana
 
Hili linaukweli...kwa kufahamika sio siri Michael Jackson anafahamika zaidi ya Mandela...tena saaaaana aisee hili huwezi pinga hasa tukiliongelea kwa Dunia nzima...Michael mbali sana

Wakati wengine wanajipeleka kujipendekeza, Mandela mwenyewe alimualika MJ kwenye BD yake.

sawa ila pia inategemea na kundi la kaliba yake? je ni wangapi waliofanyiwa hivyo na kufanya kama alivyofanya....we should not generalize.... hayo pia yalikua ni mawazo ya watu kama wewe
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom