Mzee Mandela alikuwa na tatizo la kutosikia?

O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
10,946
Likes
55
Points
145
O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
10,946 55 145
wadau!
Naomba kufahamishwa,ukijaribu kuangalia kwa makini utaona kama mandela alikuw akitumia mashine za kumfnya aweze kusikia,sasa nnacho jiuliza ni mashine za kumwezesha kusikia au zina maana ingne?na je kama ni mashine hili tatzo alianza nalo toka akiwa mdogo?au ni baada ya yeye kuuguwa ndo na masikio yakaanza kumletea nayo shida,naamin kuna wadau watakuw wanalifahm hili naomba kujuzwa
 
leipzig

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
2,651
Likes
726
Points
280
leipzig

leipzig

JF-Expert Member
Joined Jan 9, 2013
2,651 726 280
wadau!
Naomba kufahamishwa,ukijaribu kuangalia kwa makini utaona kama mandela alikuw akitumia mashine za kumfnya aweze kusikia,sasa nnacho jiuliza ni mashine za kumwezesha kusikia au zina maana ingne?na je kama ni mashine hili tatzo alianza nalo toka akiwa mdogo?au ni baada ya yeye kuuguwa ndo na masikio yakaanza kumletea nayo shida,naamin kuna wadau watakuw wanalifahm hili naomba kujuzwa
Wewe unayesikia bila hicho kidude unasikia nn zaidi ya huu uzushi ! Leta hoja za msingi hapa JF tujadili!
 
O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
10,946
Likes
55
Points
145
O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
10,946 55 145
Wewe unayesikia bila hicho kidude unasikia nn zaidi ya huu uzushi ! Leta hoja za msingi hapa JF tujadili!
kosa langu liko wap?au nimefnya kosa kuuliza!!
 
O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
10,946
Likes
55
Points
145
O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
10,946 55 145
Wewe unayesikia bila hicho kidude unasikia nn zaidi ya huu uzushi ! Leta hoja za msingi hapa JF tujadili!
si afadhali ungebaki kimya tu,hakuna mtu angejuwa upuuz wako,jamaa kauliza swali ww unajibu utumbo,ina maana kwamba ww unajuwa kila kitu?
 
suleym

suleym

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
1,862
Likes
392
Points
180
suleym

suleym

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
1,862 392 180
Wewe unayesikia bila hicho kidude unasikia nn zaidi ya huu uzushi ! Leta hoja za msingi hapa JF tujadili!
Mijitu mingine hovyo kabisa, ww unataka hoja gani zijadiliwe hapa? Kapa huna cha kuchangia kaa kimya sio kila thread au jukwaa usome kuna majukwaa mengi nenda hata la picha katazame au mapishi ujifunze umsaidie mkeo kupika.
 
O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Messages
10,946
Likes
55
Points
145
O

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined May 24, 2008
10,946 55 145
mkuu suleym huyu jamaa kama ni mtetea bas atakuwa kaanza kutaga!
 
K

Kashishi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2010
Messages
1,103
Likes
25
Points
145
K

Kashishi

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2010
1,103 25 145
Kwa kukufahamisha tu watu wanapofikia umri fulani wa utu uzima kuna vitu vinabadilika katika miili yao. Kama wewe ulisoma Biology basi utajua nasema nini.

Zipo Sense nyingi katika mwili wa mwanadamu zenye kuwezesha mwili wa mwanadamu kufanya kazi vema.

Mfano:
Sense of sight {Kuona} - Kunaweza kupungua kwa kiasi kikubwa jinsi umri unavyo kwenda na hata nusu kipofu na hata kipofu kabisa.

Sense of hearing {Kusikia} - Unaweza kusikia kimagutu magutu / nusu nusu au uwe hata kiziwi kabisa yategemea (Na hapo ndio inakuwa kama mtu apewavyo miwani kukusaidia kuona hapo ndio unapatiwa ile hearing aid machine)

Sasa kwa umri wa Mzee Madiba macho hakuwa na matatizo. Lakini kwa kusikia umri ulishakwenda. Ni kawaida sana hasa kwa Wazee wa kizungu ulaya na Marekani kuwakuta na hearing aid machine. Kwetu Afrika si kama hili tatizo halipo kwa wazee wetu lipo sana tu. Bali Wazee wengi huteseka bila ya kuwa na miwani wala hearing aid machine kwa ajili ya gharama tu. Pair moja inakwenda mpaka $400.00 na hiyo ni ya kawaida sana.

Bila shaka nimejibu hoja yako.
 
mkuu nashukuru kwa majibu yako,ila sasa bado hukuniambia kama hili tatzo la kusikia kalipata uzeeni au toka kipnd anapignia uhuru alikuwa nalo?
 
Forum statistics

Threads 1,264,287
Members 486,258
Posts 30,179,227