Mzee Malecela atangaza kutetea jimbo lake!

I now believe why Tanzania imports "Human resources" we have absolete

umeenda ndivyo sivyo... si kila atoae mchango anatoka jimbo la huyu kibabu; watanzania wana haki ya kuweka wazi mitazamo... mimi kama kijana nitamsapoti atakaechkua fomu kumpinga babu

kuhusu importation ya human resources, name one country in this universe ambayo hai-import human resources, surprisingly unwezekana hata wewe ni imported human resources kwenye nchi ya watu.. sas hebu fikiria ulivyo obsolete bado mtu anakulipa mshahara.,... na kama upo hapa nchini haiyumkini utakuwa serikalini... obsolete as well!!!!!!!!
 
aisee... mengine mwachie mungu maana hata upembuzi kweshnehi che!!
 
umeenda ndivyo sivyo... si kila atoae mchango anatoka jimbo la huyu kibabu; watanzania wana haki ya kuweka wazi mitazamo... mimi kama kijana nitamsapoti atakaechkua fomu kumpinga babu

kuhusu importation ya human resources, name one country in this universe ambayo hai-import human resources, surprisingly unwezekana hata wewe ni imported human resources kwenye nchi ya watu.. sas hebu fikiria ulivyo obsolete bado mtu anakulipa mshahara.,... na kama upo hapa nchini haiyumkini utakuwa serikalini... obsolete as well!!!!!!!!
I respect your comments!
I believe young people like you should appreciate a man like Mr. Malecela being such energetic and can challenge the youths!

Have you heard abouth other stories? Still these stories told by youths, my old guy (father) is happy in his own way. The youths come and say this old guy is taking our share! One thing, I have to tell you; if Mr. Malecela wins and you're loosing is because he is doing something more than what you do. Go and make research. Life is not so simple as you think. Not by only passing your examinations.

I love my country that is why I pointed on the imports, sorry if you are among of those obsolete!! I am not. I am CEO
 
Interested Obsolete Abserver just check an equation below

CEO + Obsolete Company = Obsolete compamy + CEO

... i have no issues with imports as well as they are delivering their dues,

kuhusu babu kushinda hiyo ni defeat ya vijana wote wa tanzania kwani watakuwa wamedhihirisha bado tunahitaji watu wanaotumia telex kwenye mipango ya maendeleo

Hilo la baba yako, enjoy while you can, some are orphans and are praying that Chigwiyemwisi awape hata namna ya kuepuka kuja posta kuomba wameshindwa
 
ishu kama ni ujana basi haifai kabisa. mathakani Masha, Nchimbi, Ngeleja, Adam Malima na akina Husseni Mwinyi wamewafanyia nini Watanzania kuwazidi wazee kama Ndesambulo na Slaa ? Kutetea hoja kwa kutumia umri ni kufilisika

Ishu tunataka wabunge watakao saidia wadanganyika kuondokana na ubeberu mpya Africa wa watu weusi wakijifanya kuwa wenzetu kumbe wako Dunia nyingine
 
shukrani kwa kurudisha mstari... nadhani hoja hapa si ujana bali ni mapumziko!! Babu sasa apumzike, akae, aandike vitabu tumkumbuke, unajua hawa watu wakifia madarakani wanakosa muda wa kutuachia urithi

Ingekua ni ubora, basi malechela angekaa miaka mia wakati malima, vita kawawa, na wenzao wangekaa 1 second tu!!!

Tinga Tinga tunamhitaji akiwa kama mzee wa busara, akitukanya from outside huku anachapisha kitabu na sie tunasoma... ninaamini hazina aliyo nayo Malechela hakuna tanzania nzima, mkuu amepitia mengi sana, na akibaki ubunge, atakosa huo muda wa sie wa Dar kumfaidi na kuchota historia yake
 
huyu mzee mroho wa madaraka sana asipoangalia atakuja kuangauka kwenye kampeni.

Ulalamishi wa nini. Kama unaona hafai na hapendwi na wananchi wake nenda au mshawishi kijana mwenzako akachukue form. Malecela atakutoa nock out jimbo la mtera.Mtera bado wanamhitaji kama mnabisha kachukueni form whether wewe ni CCM au CCJ ama chadema n.kTunachotaka vijana mnaotaka mabadiliko muende mkagombee. Ubunge sio cheo cha kuteuliwa ndo maana watu wanagombea tena mpaka upigiwe kura. Vijana acheni kulalamika badala yake mgombee ubunge.
 
shukrani kwa kurudisha mstari... nadhani hoja hapa si ujana bali ni mapumziko!! Babu sasa apumzike, akae, aandike vitabu tumkumbuke, unajua hawa watu wakifia madarakani wanakosa muda wa kutuachia urithi

Ingekua ni ubora, basi malechela angekaa miaka mia wakati malima, vita kawawa, na wenzao wangekaa 1 second tu!!!

Tinga Tinga tunamhitaji akiwa kama mzee wa busara, akitukanya from outside huku anachapisha kitabu na sie tunasoma... ninaamini hazina aliyo nayo Malechela hakuna tanzania nzima, mkuu amepitia mengi sana, na akibaki ubunge, atakosa huo muda wa sie wa Dar kumfaidi na kuchota historia yake
Pole sana! We are 200 years before (behind) we can be humans!! That reasoning??
 
yeah... as long as it applies to both...mimi na wewe!!! i have never seen/heard any CEO claiming to be far less than a human being!!!

They always say, its a thin line between arrogance and stupidity... someone is crossing the line huh!!!
 
shukrani kwa kurudisha mstari... nadhani hoja hapa si ujana bali ni mapumziko!! Babu sasa apumzike, akae, aandike vitabu tumkumbuke, unajua hawa watu wakifia madarakani wanakosa muda wa kutuachia urithi

Ingekua ni ubora, basi malechela angekaa miaka mia wakati malima, vita kawawa, na wenzao wangekaa 1 second tu!!!

Tinga Tinga tunamhitaji akiwa kama mzee wa busara, akitukanya from outside huku anachapisha kitabu na sie tunasoma... ninaamini hazina aliyo nayo Malechela hakuna tanzania nzima, mkuu amepitia mengi sana, na akibaki ubunge, atakosa huo muda wa sie wa Dar kumfaidi na kuchota historia yake

Mkuu DN,

Umeshusha busara. Hawa wazee hawawezi kuacha maana wamezoea vya bure. Madudu yanyotokea nchini kwetu na bado hawayaoni ni kwa kuwa wanafaidika nayo!!!

huyu mzee angekaa chini akiwa nje, akawa mshauri na kutuandikia ange-document mambo mengi ambayo yangesaidia vizazi na vizazi.

Its time inabidi aachie...
 
Siasa za Dodoma ngumu kama za Mbeya/Kyela. Kuna Ndejembi/Kusila upande mmoja na upande mwingine Malecela/Lusinde. Huyu mzee ameifanyia mengi CCM na Taifa. Mwacheni afie hapo kama mwenzake Mzee Fundikira. Tumwombe tu JK au Rais mwingine atakayekuja awahamishie wazee kama hawa kwenye jimbo lake la Ikulu lenye wabunge 10 kama alivyofanya kwa Kingunge, Makamba. Awaondoe kule akina Sophia Simba, Mwang'onda,.....
 
Huyu mzee anatakiwa akae nyumbani alee wajukuu, haina maana tena kuendelea kupigana vikumbu bungeni, kama amekaa miaka ~40 madarakani, hakuna cha maana alichokifanya, hiyo miaka mitano atafanya nini? au anataka aje kutolea bungeni akiwa hoi? watu wengine wanaogopa maisha ya mtaani,tu ashauriwe vizuri, ataacha abaki kuwa mshauri.
 
Back
Top Bottom