Don san tan
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 562
- 433
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi na Mkuu wa Mkoa
wa Dar es salaam Mzee Yusufu Makamba asema Rais Magufuli anafanana na Yohana Mbatizaji kwa vile ni kiongozi anayefanyakazi bila kuogopa.
Makamba ametoa kauli hiyo leo kwa njia ya simu katika mahojiano maalum na
Mwandishi wa habari hizi. Alisema kuwa Rais ni kiongozi mchapakazi ambaye hayumbushwi na maneno wala vitisho kwa vile anasema ukweli katika kutekeleza majukumu yake.
“Yohana Mbatizaji alisema ukweli na hakutikiswa na upepo, hakuogopa macho ya watu wala hakuwa mtu wa majigambo, kama ilivyoandikwa katika
Biblia Takatifu Marko 6:12, na hivyo ndiyo navyomfananisha Rais wetu Magufuli na viongozi wote tumuunge mkono” alisema Makamba.
UKAWA mnasemaje!????????