Mzee Makamba: Dr Kikwete ana " Ngekewa" CCM inapendwa kwa sababu yake

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,506
141,229
Nimeyakumbuka ghafla maneno ya Katibu mkuu mstaafu wa CCM mzee Makamba katika moja ya mikutano mikuu ya CCM, alisema ".....kiukweli Dr Kikwete ana Ngekewa na chama chetu kinapendwa kwa sababu yake"

Sina hakika na ukweli au usahihi wa maneno ya mzee Makamba ila nimeyakumbuka tu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Naona Dr Bashiru kakukumbusha ya Luteni Makamba, CCM safi sana.

Wale waliokuwa wanampigia makofi Dr Bashiru na kuunga mkono kauli yake kwa kutikisa vichwa vyao unaweza kukuta ndio hao hao waliofanya hivyohivyo kwa Lt Makamba wakati anazungumza hayo, CCM chama cha wanyonge.
 
Mimi nimekumbuka alipokuwa anasema mwenzako hata Kama ulicheza nae akiishamuoa mama yako ni baba yako, Sasa hivi amepata ubatizo wa Moto ameacha maneno ya kihuni
 
Naona Dr Bashiru kakukumbusha ya Luteni Makamba, CCM safi sana.

Wale waliokuwa wanampigia makofi Dr Bashiru na kuunga mkono kauli yake kwa kutikisa vichwa vyao unaweza kukuta ndio hao hao waliofanya hivyohivyo kwa Lt Makamba wakati anazungumza hayo, CCM chama cha wanyonge.
Hahahaaaa........ Bwashee wanasiasa ni wanafiki sana!
 
Huyo ni kati ya viongozi walioamini rushwa na mitandao ndani ya CCM - nasikitika kupokonywa ushindi chini ya uongozi wake
 
Back
Top Bottom