Mzee makamba ahadi ni deni wa tanzania wanakudai kwa kauli hii. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee makamba ahadi ni deni wa tanzania wanakudai kwa kauli hii.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Spear, Jul 5, 2009.

 1. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa miezi sasa tumekuwa tukisubiri kauli ya Mh Makamba aliyosema atamjibu mama Anna Kilango ile kauli yake aliyotowa zidi ya mafisadi ndani ya CCM ,matokeo yake mzee makamba ameshindwa hata kuomba radhi kwa wa TANZANIA kwa kushindwa kuitekeleza ahadi yake,jee huyu ni kiongozi wa kuwekwa manani?
   
 2. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Huyu ni kama jamvi hili tu kila mtu husemea atakacho. Propaganda tu!! Wasemaji sisemu wengi lakini watendaji Magufuli na nani mwingine? Hebu mulika kidogo na jazia list
   
Loading...