Nakubaliana na wewe ni jina tu hajui kucheza na camera wala uhalisia matangazo ya biashara tu anachemsha na sijui sifa anatoa wapi.Sijawahi kukubali kazi zake,yet they like him.
Una lako jamboNakubaliana na wewe ni jina tu hajui kucheza na camera wala uhalisia matangazo ya biashara tu anachemsha na sijui sifa anatoa wapi.
Ni kweli heri angemfananisha na sengaHivi wewe unaweza kumlinganisha king na joti? kweli king majuto hana mfano.
huwezi linganisha mlima kilimanjaro na kilimanyege wa pale oysterbay. king majuto yupo juu sana. yupo juu kama povu la bia.
Hizi taarifa ni kweli?
big star nampenda sanajamaa wala hatumii misuli na kujikakamua kuchekesha.
nlicheka sana last week alipokuwa akihojiwa na bonge wa clouds fm akiwa tanta...
jamaa alidomonate interview kiasi kwamba bonge ndio akageuzwa mwalikwa na kupigwa maswali ya ukweli mno.
jamaa wala hatumii misuli na kujikakamua kuchekesha.
nlicheka sana last week alipokuwa akihojiwa na bonge wa clouds fm akiwa tanta...
jamaa alidomonate interview kiasi kwamba bonge ndio akageuzwa mwalikwa na kupigwa maswali ya ukweli mno.
Kiu kweli namkubali
He!! Nini kimetokea?May your soul rest in peace legend.....