Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,276
Anaandika Comred Malisa Godlisten
Mzee Madiba alipowekwa gerezani na utawala wa Kikaburu aliwatia moyo wananchi wa Afrika Kusini kwa kuwaambia "The battle is not over". Yani pamoja na kufungwa kwangu, msife moyo endelezeni mapambano. Lema anatoka mahakamani juzi anawatia moyo wananchi wa Arusha maneno kama yale ya Madiba. Anawaambia "Kuweni na moyo mkuu msiogope". Inaumiza, inasikitisha, inatia hasira. Hasa ukifikiria kwamba haya yanafanyika katika nchi huru, bora Madiba alifanyiwa wakati wa ukoloni. Na hapa ndipo napokumbuka maneno ya Julius Malema kwamba "Not yet Uhuru". [HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG].!