Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kuwa DC Kama kijana wake. Alimsomesha mwanaye nchini Marekani. Ushamba wa madaraka kautoa wapi?

"Jasiri haachi asiri" wahenga walisema, hata angesoma sayari nyingine, mambo yangekuwa yale yale tu.
 
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?

Hii ya Ole Sabaya itakuwa kwenye kumbukumbu za Taifa la Tanzania na Kenya kwani kamwe katika historia hajawahi kupatikana au kutokea “Mmasai” kuwa na tabia kama hiii!!!!! Yeye amekuwa exceptional na unique kwenye kabila la Maasai wa Kenya na Tanzania. LABDA NI MMSAI BADIYA!
 
Amekomba pesa mingi kwa watu wengi na amekula bata sana sasa sijyi kama ana akiba ya kutosha ........sawa na adhabu atazopata....
 
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Waswahili wanakuambia ukitaka kujua tabia ya mtu mpe madaraka, hata zile tabia za kihuni alizokuwa akizificha atazionesha wazi.
 
Utaenda Marekani na mambo yako ya kiswahili na ushamba na kisha ukarudi nayo mambo hayohayo Tanzania na usionyeshe umebadilika.

Ushahidi wa hayo upo wa viongozi ambao huenda huko ughaibuni kujifunza na wakirudi hapa Tanzania hurejea kwenye ujinga wao uleule.
Kuna Mkurugenzi mmoja aliwahi kuwekwa mtu kati na Hayati Magufuli akaulizwa kabla ya uDED ulikuwa wapiakasema alikuwa Marekani, chuma kikamwambia kwa hiyo umekuja toka Marekani kuleta upumbavu wako hapa! Siyo wote waliosoma ama kuishi Marekani wako njema.
 
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Unaweza kumpeleka Mshamba Marekani, lakini Ushamba ukagoma kutoka.
 
Sabaya huyu aliyesoma St John University ya hapa uswahilini Au mwingine?

Lakini vile vile Ifahamike kwamba unaweza kumtoa kima msituni ukamleta Mjini lakini huwezi kutoa ule ukima wake kichwani
 
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Marekani alienda kusomea unyang'anyi?
 
Baba yake ndie aliyemfunza ujinga.Ujinga hakuanza leo, sabaya baba alichoma nyumba za wanakijiji, sabaya mtoto alichoma moto sekondari ya ikizu.Sabaya baba alipiga mtu kazini JK akashindwa mvumilia akamvua uDC sabaya mtoto kawapiga sana watu Hai kwenye harakati zake za uhalifu.
Maji yamefata mkondo.
 
Labda amesoma USA river sio USA yamajuu,ushamba wote ule alikaaje nawasungu.
Huyo alifeli vibaya form four akakimbilia Uganda wasiojali principal pass tatu karudi kaenda chuo st Johns isiyojali sana ufaulu wa form six we mradi ulipe ada nauwe umefika six, baadae kasoma online marekani chuo ambacho hata lyatonga au sumaye wangefaulu!!
Bila haya mnatupigia makelele hapa eti lisomi la marekani!!! Kwa akili ipi ulomwona anayo au kakiingereza alikookoteza uganda
Alafu muache uzezeta hili sio jukwaa lamazezeta undeni lenu.
Chunguzaga babaake alifanyaje watu Kule serengeti na nyerere alivyomsaidia kutokana na kuchukiza RAIA...karma is real watu muwe mnaelewa
 
Back
Top Bottom