Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kuwa DC Kama kijana wake. Alimsomesha mwanaye nchini Marekani. Ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Sabaya alisoma USA kweli? review credibility ya vyanzo vyako vya taarifa
 
Wakati jamaa anavunja Sheria ndugu zake hawakuona haja ya kumshauri, "mchumia janga hula na wakwao".
 
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Acha uzandiki, Marekani ipi kwa Elimu ipi na Level ipi?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Ila mzee nae alikuwa mkaksi Sana alipokuwa Songea,alipora mashamba ya watu bila kuwalipa fidia na kusema Ardh ni Mali ya serikali.Mungu si Athuman maeneo yenyewe ameshindwa hata kulima ameishia kuchimbua visiki tu.
 
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Kafata nyendo za baba yake..nae aliwahi chomewa nyumba na raia wenye hasira Kali kwaajili ya uovu wake
 
Ktk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.

Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.

Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?

Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?

Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?
Unayajua matendo ya Babake Sabaya.
Akiwa DC Serengeti alichoma nyumba zaidi ya 800.
Na akaondosha watu hovyo wengine akawapeleka Kenya hiyo ni 2004 kipindi cha Mkapa.
Alipokuja Kikwete akamhamisha akampleka Rukwa au Njombe kama sikosei..Akashtakiw na Tume ya Haki za Binadamu akaambiwa alipe watu wa serengeti.

Sabaya kurithi ujinga kwa Babake
NOTE:Babake alikua TISS na mtoto pia TISS.
 
Ole Sabaya mtoto sio TISS, aligushi vitambulisho na aliwahi kushitakiwa, Magufuli kaifuta kesi na kumteua DC. Maajabu kweli!!!
 
Back
Top Bottom