Tangawizi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,171
- 3,893
kautoa kichwani kwake. Ina mana hakujua kikatiba yeye hana immunity? Huo ni msala wake. Ajipe moyo atashinda majaribu. Ila lazima cha moto amekionaKtk uchunguzi wangu nimebaini kuwa baba mzazi wa Lengai Ole Sabaya Mzee Loy Ole Sabaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali serikalini ikiwa ni pamoja na UDC.
Pia nimekuja kugundua Sabaya alipata elimu yake nchini Marekani.
Sasa Cha kujiuliza mbona watoto wa viongozi wastaafu ni waadilifu?
Mbona ni tofauti kabisa kwa Sabaya?
Pia Sabaya katembea na kupata elimu ughaibuni, tena USA, Sasa ushamba wa madaraka kautoa wapi?
Exposure yoote hiyo lakini utadhani Layman?