The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
7,440
10,232
Wakuu Salaam;

Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.

Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini. Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.

Anayejua yuko wapi atupe mbili tatu siku iishe haraka.
 
Mwacheni tu apumzike mzee wa watu. Kazingua sana kwenye game huyo bwana. Kazunguusha watu mikono weee alafu kala chocho dah
tatizo tumbo nalo lina mikono na fikra zake zinazojitegemea. Japo mikono yake ya nje ilizunguka, ya tumbo haikuwa tayari kuzunguka. Msameheni tu mzee, muacheni ale siku zake za mwisho kwa majuto ya matendo yake, ni adhabu tosha hiyo.
 
Ndo maana unakuta anapotea namna hii. Hata akija mbele ya camera kuna kitu gani kikubwa cha kusema mpaka asikilizwe.
 
Wakuu Salaam;

Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.

Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini.
Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.

Anayejua yuko wapi atupe mbili tatu siku iishe haraka.
Mara ya mwisho alionekana na huyu bwana mkubwa
Screenshot_20200516-063031.jpeg

In God we Trust
 
Wakuu Salaam;

Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.

Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini.
Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.

Anayejua yuko wapi atupe mbili tatu siku iishe haraka.
Ametulia kwake Hana hamu walichomfanya ccm.Aliwekeza pesa nyingi Sana ili awe raisi zikaenda hasara
 
😆😆dadeki umemmind kinoma. Mimi ule mwaka sikuwa na upande. Niliona pande zote zilikuwa hasara tu.

Jamaa angu ulikuwa humwambii kitu kwa ngosha. Sasa hivi hana hamu nae.

Huu mwaka sitataka kujua kuhusu uchaguzi...ila atakayeenda kupiga kura akitokea hapa kwangu nakata kila kitu! ..siku hyo ntafatilia nyendo zooote za jamaa! Ajichanganye akapige kura...hahhaa....hataamini!.
Uliwaza mbali sana! Mie nilijua maana ya ukombozi imekaribia
 
Wakuu Salaam;

Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.

Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini.
Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.

Anayejua yuko wapi atupe mbili tatu siku iishe haraka.
Msoga kamaliza kazi chezea pwani weye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom