Mzee Lowassa awatakia uchaguzi mwema CHADEMA. Zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi hutokea kisulisuli!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,561
Mgombea urais wa CHADEMA mwaka 2015 amekitakia chama chake cha zamani uchaguzi mwema na kuwakumbusha kuwa zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi unaweza kuupata upepo wa kisulisuli.

Siasa sio uadui

Maendeleo hayana vyama!
 
Hawa ndiyo wale tunaowaita wanasiasa mayai mayai
 
Tutamkumbuka kwa kuwapa wafuasi wa CHADEMA adhabu ya kuzungusha mikono na kupiga deki barabara kila mara!
Na wafuasi wa Lumumba hadi leo mna adhabu ya kuzungusha viuno, kupiga push-ups , kukuna nazi na ujinga ujinga mwingi tuView attachment 1294288
IMG-20191216-WA0000.jpeg
1572191488315.jpeg
1572191509192.jpeg
1571968751731.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgombea urais wa CHADEMA mwaka 2015 amekitakia chama chake cha zamani uchaguzi mwema na kuwakumbusha kuwa zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi unaweza kuupata upepo wa kisulisuli.

Siasa sio uadui

Maendeleo hayana vyama!
Hii ni awamu ya mzee Mgaya...yy akachunge Ng'ombe...

Mzee Mgaya, atamsindikiza mzee Makamba ktk ubatizo wa moto...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lowassa ukiondoa kuwa alikuwa kiongozi zao la wapigaji na mfumo wa kifisadi wa ccm ila ni kiongozi ambaya hana visasi.

Utawala wake ungekuwa kama wa Kikwete ushikaji mwingi na mianya ya upigaji ya kimfumo.

Ila all in all nilipenda alivyoachana na siasa kama nilivyo shauri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom