Mzee Lowassa awatakia uchaguzi mwema CHADEMA. Zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi hutokea kisulisuli!

Wakati anapigiwa deki hakuwa tapeli wa kisiasa ila kurudi alikokuwa kawa tapeli wa kisiasa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Waliompigia deck aliwalipa, hakuna tofauti na watu wanaofanya usafi katika vyoo vya umma kwa malipo. Ila kupigiwa deck haikumaanisha kukubalika, ndio maana unaambiwa ni tapeli la siasa. Huko alikorudi ndio kwenye hizo siasa za matapeli.
 
Mgombea urais wa CHADEMA mwaka 2015 amekitakia chama chake cha zamani uchaguzi mwema na kuwakumbusha kuwa zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi unaweza kuupata upepo wa kisulisuli.

Siasa sio uadui

Maendeleo hayana vyama!
We mmama wa kizaramo ushaidi uko wapi au umbea wako uliouzoea kwenye mikeka?
 
Lowassa ukiondoa kuwa alikuwa kiongozi zao la wapigaji na mfumo wa kifisadi wa ccm ila ni kiongozi ambaya hana visasi.

Utawala wake ungekuwa kama wa Kikwete ushikaji mwingi na mianya ya upigaji ya kimfumo.

Ila all in all nilipenda alivyoachana na siasa kama nilivyo shauri.

Mkuu Lowassa yupi huyo unamzungumzia? Haya anayotenda jiwe ni kama kaiga ambayo angefanya Lowassa. Pitia kilichokuwa kinatokea kwa wapinzani kwenye jimbo la monduli. Futa hiyo kauli yako, huyo mzee ana roho chafu kupita kiasi. Kimsingi hata rais akiwa mbaya, kuna watu lazima waneemeke na utawala wake.
 
Bwashee Lowassa amewaletea wabunge lukuki hapo Chadema na akakataa offer yenu ya kumpa mkewe ubunge wa viti maalumu.......bado unasema ana roho mbaya?!
 
Mgombea urais wa CHADEMA mwaka 2015 amekitakia chama chake cha zamani uchaguzi mwema na kuwakumbusha kuwa zikutanapo pepo za Kaskazi na Kusi unaweza kuupata upepo wa kisulisuli.

Siasa sio uadui

Maendeleo hayana vyama!

Huyu mzee ni uma pulizia
 
Bwashee Lowassa amewaletea wabunge lukuki hapo Chadema na akakataa offer yenu ya kumpa mkewe ubunge wa viti maalumu.......bado unasema ana roho mbaya?!

Ni zaidi ya roho mbaya, wabunge hawakuletwa na Lowassa, bali ni matokeo ya kazi kubwa ya kisiasa iliyofanywa na cdm mara baada ya uchaguzi wa 2010. Usidhani hatujui kura zilitoka wapi, na kwa taarifa yako watu wengi walijiandikisha wakijua Lowassa ndio atakuwa mgombea wa ccm ili wamchinjilie mbali. Hapo ndio jina kitambulisho cha kura kuitwa kichinjio. Bahati mbaya tamaa za Mbowe na genge lake wakampokea Lowassa kwenye ule uhuni uitwao kubadilisha gia angani.

Msitake kumpa Lowassa sifa ambazo hakustahili wala kuzotolea jasho. Kama yeye ndio alileta wabunge cdm, muulize alifungua matawi mangapi ya cdm baada ya kujiunga na cdm?
 
Back
Top Bottom