Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,593 52,284 Sep 28, 2011 #1 Huyu celebrate anahitaji msaada; kwa wale waliojaliwa na MUNGU msaaidieni huyu kaka.
feis buku JF-Expert Member Aug 29, 2011 2,342 676 Sep 28, 2011 #2 mmh! kweli dunia kigeugeu!pole babu wangu!
Vin Diesel JF-Expert Member Mar 1, 2011 9,088 6,368 Sep 28, 2011 #3 Inasikitisha sana...nilikuwa napenda namna anajua igiza...
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,593 52,284 Sep 29, 2011 Thread starter #4 pole kaka yangu vijana wako MUNGU atawaleta tu.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Oct 6, 2010 8,171 3,346 Sep 29, 2011 #6 Uzee huo nao unamsumbua, uzee nao unashida zake lakini Mungu ampe tahafifu. Mode of contribution ni ipi kwa wanataka kumsaidia?
Uzee huo nao unamsumbua, uzee nao unashida zake lakini Mungu ampe tahafifu. Mode of contribution ni ipi kwa wanataka kumsaidia?
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,593 52,284 Oct 3, 2011 Thread starter #7 Mzee wa Rula said: Uzee huo nao unamsumbua, uzee nao unashida zake lakini Mungu ampe tahafifu. Mode of contribution ni ipi kwa wanataka kumsaidia? Click to expand... sijajua, labda tusaidiane kufuatilia hata kama ana watu wa karibu wa kuweza kusema naye.
Mzee wa Rula said: Uzee huo nao unamsumbua, uzee nao unashida zake lakini Mungu ampe tahafifu. Mode of contribution ni ipi kwa wanataka kumsaidia? Click to expand... sijajua, labda tusaidiane kufuatilia hata kama ana watu wa karibu wa kuweza kusema naye.