Mzee Kipara anahitaji msaada wako

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
40,565
52,202
mzeekipara4.jpg

mzeekipara7.jpg

Huyu celebrate anahitaji msaada; kwa wale waliojaliwa na MUNGU msaaidieni huyu kaka.
 
Uzee huo nao unamsumbua, uzee nao unashida zake lakini Mungu ampe tahafifu. Mode of contribution ni ipi kwa wanataka kumsaidia?
 
Uzee huo nao unamsumbua, uzee nao unashida zake lakini Mungu ampe tahafifu. Mode of contribution ni ipi kwa wanataka kumsaidia?

sijajua, labda tusaidiane kufuatilia hata kama ana watu wa karibu wa kuweza kusema naye.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom