Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,874
- 3,306
Asalaaam nawasalimu katika bwana...
KINGUNGE NGOMBALE-MWIRU
Ni moja ya wazee walio kula chumvi nyingi na wamekuwa kwenye siasa miaka mingi.
Nimeamua kuandika huu uzi nijue kipi kimempata huyu mzee maana kampeni za uchaguzi zilivyokwisha amekaa kimya sana, tungetegemea mengi kutoka kwake kutoa ushauri mbalimbali kwa jinsi nchi inavyoenda.
Huyu mzee bado ni shupavu na ana akili timamu tunamtegemea sana huyu mzee kwa busara na uwezo wake.
Sasa basi ningependa kujua kapotelea wapi huyu mzee au ni nini kimempata?
Jitokeze basi uzungumze na wewe japo kuhusu hii operation tokomeza ya madawa ya kulevya.