Mzee king kiki ndani ya the basement club sinza @ denfrance hotel kila alhamisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee king kiki ndani ya the basement club sinza @ denfrance hotel kila alhamisi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by DearJohn, Jun 17, 2011.

 1. D

  DearJohn Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana janvi natumaini wote hamjambo, napenda kuwataarifu kwamba kila siku ya Alhamisi bendi ya wazee sugu ikiongozwa na mzee king kiki wa kutambaa cheupe watakuwa wanatimua vumbi ndani ya kiwanja kipya na chakisasa kilichoko sinza kabla ya kufika darajani ukiwa unatokea kijiweni.ndani ya DENFRANCE HOTEL. wote mnakaribishwa
   
 2. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  si ulipie matangazo sasa
   
 3. D

  DearJohn Member

  #3
  Jun 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tangazo Tangazo hili limelipiwa kwa msaada wa watu wa marekani!! acording to MTM
   
Loading...