Ukizoea kukwapua , utajikuta unakwapua hadharani tena tofaliMkuu si alikuwa anapiga picha tu
View attachment 124770Ukitazama hiyo picha unapata ujumbe kuwa mzee Kinana alikuwa anapeleka tofali sehemu anayoijua yeye wakati wengine walikuwa wakiipeleka kwenye ujenzi.
mbona ameamua kutokomea na tofali ? Au inamaanisha nini hii, tutafakari pamoja .
Mtachonga sana. Kinana hamumuweziKajisahau alijua kuwa ni pembe la ndovu
Alikoweka mgongo ndio tofali zilikuwa zinapelekwa , sasa yeye alikuwa anapeleka wapi? Hata kama akitaka kupiga picha , mpiga picha Angekaa mbele yakeKuna kitu kinaitwa map reading na Picture Reading.Inaelekea mtoa maada picture reading ulipata sifuri.Angalia hapo alivyolala umbo kupinda kuelekea kushoto akikata kona kuelekea ilipo ngazi alipeleke.
Hizo ngonjera zenu zimewadodeaAnafanya mazoezi ya kubeba meno ya tembo!
Alikuwa anapeleka wapi tofali? Mbona kapigwa mgongo yanakopelekwa?Mtachonga sana. Kinana hamumuwezi
Mtachonga sana. Kinana hamumuwezi