Fernando Jr
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,220
- 4,798
Paul sylvester niliyemquote ndiye kasema kwa sasa haki ipo kwa wote. Nilifikiri ungemuuliza yeye imewezekanaje!haki kwa wote unayoitaka utaipata wapi mkuu? amerika kwenyewe ilikoanzishwa mifumo hii ya utawala wa sheria na haki bt bado kuna ujinga mwingi, hapa tunachoangalia ni unafuu wa mambo, mungu mwenyew ambae ni mkamilifu bt bado analaumiwa kwa kuumba tajiri na maskin, vilema, vipofu na nk.. sembuse magu ambae ni binadam? kwa kiasi chake magu kasawazisha mambo.