Uchaguzi 2020 Mzee Kikwete: Watu wanasema Mama Salma kaachwa ndio sababu anahangaikia Ubunge, nasema wapuuzeni

Bila kupekecha macho, Hii sio haki, Ubunge wa nini? Badala ya kuachia na wengine, jamani, hivi huwa tunasahau kwamba vitu Vyote hivi tunavyovisumbukia tuaviacha katika siku na muda usiojulikana na hatutaondoka navyo?
Ukizungumzia haki basi ana haki ya kugombea na hata mzee JK nafikiri ana haki kurudi kugombea

Labda ungesema sio busara kuendekeza tamaa
 
Anachokifanya mama Salma kiko sahihi labda tuwape na reference za huko Mamtoni, Hilary Clinton alikuwa First lady wakati wa Utawala wa Mumewe Bill Clinton, Mumewe amekuja kuwa succeeded na Bush JR sasa wakati wa obama tenure huyu mwanamama alirudi tena as Secretary of state na baadae alienda far kwa kuwa Presidential candidate flag bearer wa Democrat ivo alikuwa anaenda kuwa Rais , Mwaka huu Michele Obama aliekuwa First lady ilibaki ivi awe picked up na Jo Bidden as his running mate
Watu wasio na ufahamu na mambo wakiongozwa na chuki binafsi wanatiririka tu bila kuyajua haya.
 
Ingetokea ulaya poa, bongo noma.

Unamfahamu Bibi Clinton? Mara mbili (2007 ndani ya chama cha Democratic, na 2016 akichuana na Trump) aliutaka uRais wa Marekani.

Kama anakarama ya uongozi, haiwezi kufungwa na uRais wa mmewe, Ni wakati wake naye asimame yeye kama yeye.
Huyo mama Clinton aliwania uraisi ila hajawahi kuwa rais was USA, lakini pia yeye hakuwahi kugombania ubunge!.

Ndio maana pamoja na kushinda kwake katika uchaguzi, hawakutaka awe Rais wa USA
 
Hugo mama Clinton aliwania uraisi ila hajawahi kuwa rais was USA,lakini pia yeye hakuwahi kugombania ubunge!.

Ndio maana pamoja na kushinda kwake katika uchaguzi,hawakutaka awe Rais wa USA

Lakini awamu ya Kwanza ya Obama, alikuwa waziri wa mambo ya nje.
 
Ingetokea ulaya poa, bongo noma.

Unamfahamu Bibi Clinton? Mara mbili (2007 ndani ya chama cha Democratic, na 2016 akichuana na Trump) aliutaka uRais wa Marekani.

Kama anakarama ya uongozi, haiwezi kufungwa na uRais wa mmewe, Ni wakati wake naye asimame yeye kama yeye.
Asante sana.
 
Bila kupekecha macho, Hii sio haki, Ubunge wa nini? Badala ya kuachia na wengine, jamani, hivi huwa tunasahau kwamba vitu Vyote hivi tunavyovisumbukia tuaviacha katika siku na muda usiojulikana na hatutaondoka navyo?
Katiba inasemaje?
 
Back
Top Bottom