Mzee Kikwete: Unapokuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais basi unakuwa na nguvu sana

Hapa tulikofikia bado samia hatujamuona kama kamudu urais,sasa mnataka kumuongezea tena uwenyekiti wa Chama?
Kwani kushindwa kumudu U-rais kumeanza kwa Samia? Kwani mwendazake alimudu? Mbona pamoja na kutomudu alikuwa mwenyekiti. Samia apewe uenyekiti wa CCM. Tena nasema apewe!
 
Siku ccm itatenganisha kofia ya uenyekiti na urais ndio itakuwa mwisho wa hilo dubanwa liitwalo ccm. Naomba hiki unachokitaka kitokee ndio utajua ccm nguvu yake inategemea madaraka ya urais.
CCM haijui Siasa na haiwezi kushindana kisiasa nje ya msaada wa dola ikiongozwa na Rais. Mwanzo walisema ni utamaduni wao tena mzuri, leo wanaona siyo utamaduni mzuri. CCM wapo njia panda, Samia hawamwamini, wakichagua mwenyekiti mwingine vyombo vya dola na TUME ya uchaguzi hawatantii huyo mwenyekiti wa nje ya Rais. Mwaka wa tabu kwa CCM
 
Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.

Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
Yani First lady ayumbishe Chuma kama JPM seriously, Watu pekee waliokuwa na Control na Hayati ni Marehemu Balozi Kijazi na Hayati B.W Mkapa na sababu ni moja tu sio wapenda publicity kama Kijazi very calm and Humble alikuwa mkono wa kiume wa kuamua mambo mengi sana
Mkwere ni Full politicians japo ni low key ila pia nimtembelea gap mzuri tu ili kugain politics deeds za watu anaowandaa
 
Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.

Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
km hakumtaka!! Basi J kikwete ana akili nyingi sana sana. Alikiwa anamsaidia asife. Lkn Bure akawa mbishi!! haya sasa Yuko wapi leo huyo mwenda zake Tumuige??

Urais umemuondoa kwa covid
Wanasingzia eti oooh atrial fibrilation.mweeee!!!
 
Akizungumzia namna yeye binafsi alivyohakikisha Dr Magufuli anakuwa Rais wa JMT mwaka 2015 JK anasema " unajua unapokuwa mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa "

Maana yake alichanganya uenyekiti na urais wake kuhakikisha Magufuli anapeperusha bendera ya CCM.

Kikwete aliweka hili bayana ili kuwaumbua wanafiki waliodai hampendi Magufuli.

Ramadhan Kareem!
Kwa hiyo shida ni kuwa na Nguvu eee, no wonder hamtaki kata kata kuendelea na mchakato wa katiba mpya...
 
Historia inaonyesha ccm asili wana akili kubwa sana na mbinu za kupata wanachotaka.
Akili za Membe afisa usalama hatari sana amemuua mwenda zake ki rahisi kabisa!!!

Sababu jiwe alikuja na Duru mpya ya kuibadili katiba ya nchi agombee maisha yake yooote mweeee!

Ccm ina wenyewe wala aina mchezo!! Ukkiingia humo fuata mkondo huo ule nchi.

Ukijifanya mimi jiwe. Sijui sokoine tutakuzika unaona hivi
Jiwe mzima yule?? Au kafa kweli.
 
Sikupingi.
Angalizo: Kutokukupinga hakuhalalishi madai yako.

BTW yupo wapi jasusi? 😅
 
Akizungumzia namna yeye binafsi alivyohakikisha Dr Magufuli anakuwa Rais wa JMT mwaka 2015 JK anasema " unajua unapokuwa mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa "

Maana yake alichanganya uenyekiti na urais wake kuhakikisha Magufuli anapeperusha bendera ya CCM.

Kikwete aliweka hili bayana ili kuwaumbua wanafiki waliodai hampendi Magufuli.

Ramadhan Kareem!
Alisema haya enzi za uhai wa mwendazake au baada ya marehemu kuwa kaishafikwa na umauti..

Kama ni baada tunaita unafiki n uzandiki.
 
Back
Top Bottom