Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,986
- 103,359
Alijaribu wakati wa utawala wake..mkamwita Dhaifu,hana maamuzi magumu,anacheka cheka, Vasco da gama, na matusi kibao!
Akataka atupe katiba...uko nako mkapinga, mkataka kulazimisha yasiyowezekana na yanayohatarisha amani,usalama na umoja wetu wa kitaifa yawekwe. Mkaunda umoja wa kupinga katiba mpya..UKAWA!
Bila shaka karma inawatesa..mnaomba awasuluhishe kwa maombi yasiyo na staha, 'kejeli'
Hakuna anayetaka kupatanishwa na mnafiki, maana yeye ni sehemu ya matatizo ya utawala wa kihuni hapa nchini. Akachukue point za mezani huko Zambia kwa wasiojua unafiki wake.