Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

Huyu hata kama kuna hicho lkn inafanyakazi somewhere, huyu Jk watu wameficha hela (kodi) uswisi bado mnamfagilia..yaani tumepigwa awamu ya nne vyakutosha hajawahi tokea ktk historia ya nchi..tu jaribu kua tunafikiria criticality.. Plzz
Wengine ni kuwasamehe tu maana anadhani anaweza kutujaza ujinga alionao na sie tumkubali atafute sehemu nyingine kuyaongelea haya, labda vijiweni kwa wasiojitambua , Rais anachapa kazi na vitu vinaonekana , watu wameiibia nchi hii unaleta ujinga wako hapa , huoni reli , barabara , meli , fly over , bandari, vivuko vikijengwa , maji nchi nzima yakifanyiwa kazi, stinglers gorge, umeme vijini, elimu bure , kupambana na mafisadi bomba la mafuta.,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom