Zanzibar 2020 Mzee Kikwete: Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio Rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi...

Bahati mbaya sana karibia wagombea urais wote wa awamu hii wanajimwambafai kwa makeke mengi. Hata wale akina mama hawajabaki nyuma.

Ngoja tutaona if they will walk their talks baada ya NEC kuanza kurelease matokeo (halisi au doctored)
 
Eti kuna wastaafu wana washwa washwa 😂😂😂!!!

Dah ila yule Msukuma kiboko, sahivi kila nikikatiza mitaa ya posta nasikitika sana na hali niionayo kule. Posta imekuwa kama Bagamoyo 😂😂😂 aisee, yani watu ni wa kuhesabu!
 
Sasa mbona kama JK anampiga dongo mhe jiwe? Maana yeye ndiye mwenye sifa hizi:
Wewe mwongo sana,boss unalamba miguu mpaka panapotokea mbolea!!!

Kikwete alitukosea watanzania kwa kuendesha mchakato mbovu wa kumpata rais,akasababisha tukapatiwa huyu
 
Hahahaa.. hawa marais wawili ipo siku watapigana ngumi live.

Ni suala la muda tu JK vs JPM ... Mkwere hii case bado mbichi aisee
Mkwele anapendwa na watu na pia anakubalika sana na ana mahusiano mema na vyombo vya ulinzi MNA usalama.Hii nfiyo sauti pekee iliyobaki, Mzee baba ataijua ngima siku akiachia kiti, naihurumia familia yake maana wataondolewa wote kwenye mfumo hata kama ni Katibu kata
 
Sasa mbona kama JK anampiga dongo mhe jiwe? Maana yeye ndiye mwenye sifa hizi:
Kikwete huwa simuelewi. Aliwahi kusema " Ndege wakati wa baridi hunyonyoa manyoya yake ili kuwakinga kinda dhidi ya baridi. Lkn ndege huyo lazima awe makini kwani anaweza kujinyonyoa sana mwisho akashindwa kuruka kwenda kutafuta chakula. Akafa yeye na kinda wake".

Aliwahi pia kusema " Ukiwa unahitaji kufanya usafi na marekebisho kwenye nyumba, lazima uvitoe vitu vyote nje kwanza. Kisha utafanya usafi marekebisho na hata kupiga rangi mpya. Na nyumba itapendeza kweli kweli. Lkn utakuwa Juha kama hutakumbuka kuvirudisha vile vifaa ndani kwa wakati vitaharibika na mwisho utalazimika kuvinunua vingine kwa gharama kubwa. Sasa sijui huko ndiyo kubana matumizi au kuongeza gharama zaidi".

Nafikiri alimlenga mtu fulani ndiyo maana nasema huwa simuelewi.
 
Back
Top Bottom