Hapa umenipa funzo! Nishajiuliza maswali sikupata jibuJK sio anasifiwa bali anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ili kumnanga jiwe. ....
Hapa umenipa funzo! Nishajiuliza maswali sikupata jibuJK sio anasifiwa bali anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa ili kumnanga jiwe. ....
Mkuu watu wana chuki binafsi na Magufuli...sio CCM bali ni Magufuli.
ficha ujinga wako! hata ile ya escrow umesahau mara hii?Fanya ufanyavyo Jakaya ataendelea kuwa raisi bora kabisa zaidi ya huyu mpenda sifa ambae anawaona waliomtangulia hawajafanya lolote,
Alifanya mengi hasa ukilinganisha na deni la taifa lililoongezeka kwenye utawala wake,nakuhakikishia kama Jakaya angekopakopa hovyo kama jiwe angefanya makubwa zaidi ya jiwe huku wananchi tusingeishi maisha ya hovyo kama sasa.
Mpaka sasa hakuna utawala umekopa nje kama wa awamu ya tano huku ukituaminisha kwamba unawachukia sana mabeberu.
Nakukumbusha wakati unachekelea hizo ndege,ufanye na tathmini ya deni la taifa limekuwa kwa kiasi gani kwenye utawala huu ukilinganisha na watangulizi wake.
Chadema hawatufai watanzania, yaani Leo wanaona jk anafaa? Eti aliasisi miradi! Watu walikuwa wanamwaga maji ya bwawa la mtera ili kuwe na mgao wa umeme watuuzie halafu wagawane escrow leo Chadema wanajitoa ufahamu kweli? Jinga kabisa.Are you sure? Watanzania punguzeni unafiki, watu walikuwa wanakaa Ubungo kwenye foleni kwa masaa, Tazara et. achilia mbali kila mgonjwa mwenye connection alikuwa anakwenda kutibiwa nje kwa pesa za Serikali hasa viongozi wakati Watanzania wengi walipoteza maisha bila kuwa na tiba ya uhakika. Leo hii kila moja anapata matibabu ya uhakika hapa hapa.
Kila kona ya duka Dar ilikuwa na generator lake sijui ile polution tu iliua wangapi? JPM ni moto wa kuotea mbali mwacheni tu. Endeleeni na huyo mlevi wa Konyagi huko anakowapeleka anakufahamu mwenyewe peke yake.
TL siyo jeshi la mtu mmoja Bali viongozi wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wenu mlevi Mbowe wamemsusa na kumwacha anahangaikia na Salum Mwalimu. Wa kaskazini wote HAKUNA anayejihusisha na kampeni za urais. Hata Katibu mkuu mnyika yuko kimyaaaaa.Jeshi la mtu mmoja (TL) litawapiga wote - Jiwe, JK, Mwinyi, Waryoba, Salimini. Kila lenye mwanzo lina mwisho. Mwisho wa CCM umefika. Basi!
Magufuli katekeleza anastahili pongezi we baki na huyo rais wa miga.KWANI KUNA RAISI WA CCM AMBAYE HAJATUTIA HASARA?
Sijui Mwinyi na JK Nyerere
BENJAMIN--- Kauza viwanda Vyetu vyote na nyumba za serkal.
MRISHO_________________________
JEIPIIEM_________________________
Wewe ni zwazwa.Wapinzani hamuelewekagi siku zote, ndo maana ikulu mtaisikia tu!
Unafiki mtupu.Nimemsikiliza JK leo Mbagala, He was at pains kumwongelea Magufuli, unamwona kabisa nafsi inamsuta, body language betraying him...sidhani kama atasimama tena kwenye Jukwaa la Kampeni.
Jomba usisikilize uongo wa Magufuli... nakuhakikishia HAKUNA gesi iliyouzwa!!! Kwa mfano wengine wanasema kawauzia Wachina! Think yourself... makampuni yaliyokuwa yanayotafuta gesi ni pamoja na Total, BP, Exxon , na Petrobras! Na hawa wametumia billions of TZS kufanya gas exploration.Sijui kwanini huyu jamaa watu bado wanamkumbuka na kumsifia. Wamesahau kaingizia nchi yetu hasara ya Matrillion kwa kuuza gesi yetu. Na Wamesahau pia anapata mgao wake wa IPTL wa shilingi million mia nne na ushehe KWA SIKU.
A smiling devil
Msalimie shemeji tako hapo nyumbaniHawa ukichunguza utagundua wengi wao ni wale waliokuwa wakienda mjini wanafanya ujanja ujanja ikifika jioni mifukoni imejaa pesa,kwahiyo awamu hii kwao ni mwiba...
Better a smiling devil than a ........Sijui kwanini huyu jamaa watu bado wanamkumbuka na kumsifia. Wamesahau kaingizia nchi yetu hasara ya Matrillion kwa kuuza gesi yetu. Na Wamesahau pia anapata mgao wake wa IPTL wa shilingi million mia nne na ushehe KWA SIKU.
A smiling devil
Kumlinganisha Magufuli na JK kiukweli hufanyi haki. JK alikuwa mwiz, Mafia Boss Mafioso, mgawa pesa kwa zilizoibwa.Fanya ufanyavyo Jakaya ataendelea kuwa raisi bora kabisa zaidi ya huyu mpenda sifa ambae anawaona waliomtangulia hawajafanya lolote,
Alifanya mengi hasa ukilinganisha na deni la taifa lililoongezeka kwenye utawala wake,nakuhakikishia kama Jakaya angekopakopa hovyo kama jiwe angefanya makubwa zaidi ya jiwe huku wananchi tusingeishi maisha ya hovyo kama sasa.
Mpaka sasa hakuna utawala umekopa nje kama wa awamu ya tano huku ukituaminisha kwamba unawachukia sana mabeberu.
Nakukumbusha wakati unachekelea hizo ndege,ufanye na tathmini ya deni la taifa limekuwa kwa kiasi gani kwenye utawala huu ukilinganisha na watangulizi wake.
2025 JK atafunguka kila kituNimemsikiliza JK leo Mbagala, He was at pains kumwongelea Magufuli, unamwona kabisa nafsi inamsuta, body language betraying him...sidhani kama atasimama tena kwenye Jukwaa la Kampeni.
Ubabe wa Magu unapelekea taarifa za wizi unaomuhusu yeye kutowekwa hadharani,kama hujui mpaka sasa pesa nyingi za baadhi ya miradi zimehamishiwa kwenye mafungu yasio kaguliwa mfano pesa zilizotumika kwenye manunuzi ya ndege,Kumlinganisha Magufuli na JK kiukweli hufanyi haki. JK alikuwa mwiz, Mafia Boss Mafioso, mgawa pesa kwa zilizoibwa.
Magufuli, yes, mchpakazi, Lakini katili, katunyima uhuru na haki, hatumtaki.

Mkuu unajua mzee wetu hana chakusema zaidi angemnadi mr lisu, maana anajikuna na kujing'atang'ata tuu, kila kitu this term ni hovyo hovyoHahahahahah boss unajikuna halafu unacheka mwenyewe.
Hamkuwahi kuyaona mema ya kiongozi yoyote ikiwa anatokea CCM, kwahiyo hatutegemei nyinyi kumsifia Magufuli.K
Kwahiyo mlitaka chadema wampongeze na kumsifia Jk haf nyie Lumumba ufanye Kazi gani??? Halafu Jk pamoja na kua na mapungufu yake lakini hayo mapumgufu can't be compared to magufuli
Kama unajua hvo we endelea kusifia na kuabudu hayo unayoyaona Ni mema nasisi pia tutaendelea kuyasemea Yale ambayo si mema tunayoyaona na hiyo ndio siasa kwa bahati mbaya upande wenu wengi hamlijui hilo mnabaki mnasema eti upinzani unapinga kila kitu kwahyo mlitaka wapinzani nao waanze kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu???Hamkuwahi kuyaona mema ya kiongozi yoyote ikiwa anatokea CCM, kwahiyo hatutegemei nyinyi kumsifia Magufuli.
Ulichotaka kukiona wewe ndio akili yako imekuaminisha lakini ukweli ni kwamba jk na jpm wako chama kimoja na wana dira mojaNimemsikiliza JK leo Mbagala, He was at pains kumwongelea Magufuli, unamwona kabisa nafsi inamsuta, body language betraying him...sidhani kama atasimama tena kwenye Jukwaa la Kampeni.