Mzee Kikwete leo Mbagala umenena vyema kuwa miradi mingi ya awamu hii uliiasisi wewe japo wa gesi ya Mtwara hujauongelea

Kutekeleza mkuu. Kila mtu anaweza kuahidi maziwa na asali lakini kuileta ndio shida. JPM ataendelea kuwa N0. 1 kwa vitendo hatutaki ngonjera. Huyu watoto wake nao walikuwa marais, Watanzania mnakwama wapi? Mlikuwa mnamsimanga kuwa ni Vasco da Gama Wabongo kwa usahaulifu hamjambo!
Tuondokane na dikteta mwaka huu.
 
1602965036606.png
 
Sijui kwanini huyu jamaa watu bado wanamkumbuka na kumsifia. Wamesahau kaingizia nchi yetu hasara ya Matrillion kwa kuuza gesi yetu. Na Wamesahau pia anapata mgao wake wa IPTL wa shilingi million mia nne na ushehe KWA SIKU.

A smiling devil

chochote kizuri hakikosi kasoro,hata saddam hussein licha ya kwamba alikuwa dictator lakini aliwajengea nyumba wananchi wake na alitoa machozi aliposikia wanapata tabu
 
Sijui kwanini huyu jamaa watu bado wanamkumbuka na kumsifia. Wamesahau kaingizia nchi yetu hasara ya Matrillion kwa kuuza gesi yetu. Na Wamesahau pia anapata mgao wake wa IPTL wa shilingi million mia nne na ushehe KWA SIKU.

A smiling devil
Fanya ufanyavyo Jakaya ataendelea kuwa raisi bora kabisa zaidi ya huyu mpenda sifa ambae anawaona waliomtangulia hawajafanya lolote,
Alifanya mengi hasa ukilinganisha na deni la taifa lililoongezeka kwenye utawala wake,nakuhakikishia kama Jakaya angekopakopa hovyo kama jiwe angefanya makubwa zaidi ya jiwe huku wananchi tusingeishi maisha ya hovyo kama sasa.
Mpaka sasa hakuna utawala umekopa nje kama wa awamu ya tano huku ukituaminisha kwamba unawachukia sana mabeberu.
Nakukumbusha wakati unachekelea hizo ndege,ufanye na tathmini ya deni la taifa limekuwa kwa kiasi gani kwenye utawala huu ukilinganisha na watangulizi wake.
 
Sijui kwanini huyu jamaa watu bado wanamkumbuka na kumsifia. Wamesahau kaingizia nchi yetu hasara ya Matrillion kwa kuuza gesi yetu. Na Wamesahau pia anapata mgao wake wa IPTL wa shilingi million mia nne na ushehe KWA SIKU.

A smiling devil
1.5tr
 
Tutamkumbuka Kikwete kwasababu tumegundua UTU ni Bora kuliko MALI.

Ni Bora uwe na Rais Fisadi ila mwenye UTU.

Sasa hivi watu wanapigania tena UHURU, HAKI, Furaha na UHAI.

Mali zitakuja baadaye.
 
REA, Shule za Sekondari, Barabara za Lami nk ni baadhi ya miradi uliyoiasisi au kuiendeleza ulipokuwa Raisi wetu. Mungu akubariki kwa kuwa mkweli.

Tulifika mahala tukaaminishwa kwa nguvu za ajabu kuwa awamu zilizopita hazikufanya kitu!

Nilimsikia mgombea mmoja akisema kuanzia wakoloni hadi maraisi wa awamu zilizopita nao walijenga barabara, miradi kadhaa nk. Kuwa, kazi ya serikali inayokusanya kodi ni kuleta maendeleo ya vitu na watu.

Hivyo, kwa kijana anayekuwa, ni vyema ajue tulikotoka tuliko na tunakoenda kwa usahihi bila kujisifu.

Nimefurahi pia kusikia kuwa wewe ndo ulitoa wazo la elimu bure kwa shule za msingi na sekondari na kuweka kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Chetu. Lakini ukisikiliza miziki ya Diamond na wasanii wengine utafikiri kila kitu kimebuniwa na kuwekwa kilipo na awamu ya tano.

Hongera sana Mh. Dr. Kikwete kwa kuweka wazi mambo haya japo hukugusia Mradi Umeme wa Gesi ya Mtwara kuwa uliishia wapi.

Naamini iko siku utaweka wazi tujue kwani tulishaamini tungepata umeme wa nafuu kuliko ilivyo sasa.
Mnashindwa kuelewa hii ni serikari ya ccm! Tunajenga na bwawa lililoasisiwa 1975. Hakuna jipya ndugu, swala ni kazi tu
 
Tutamkumbuka Kikwete kwasababu tumegundua UTU ni Bora kulikoMALI.

Ni Bora uwe na Rias Fisadi ila mwenye UTU.

Sasa hivi watu wanapigania tena UHURU wao, HAKI, Furaha na UHAI.

Mali zitakuja baadaye.
Wapinzani hamuelewekagi siku zote, ndo maana ikulu mtaisikia tu!
 
CCM haijawahi kuleta mtu kwa nafasi ya Urais ambaye ni wa mashaka mashaka.

Wote ni vyuma haswa.
 
Sijui kwanini huyu jamaa watu bado wanamkumbuka na kumsifia. Wamesahau kaingizia nchi yetu hasara ya Matrillion kwa kuuza gesi yetu. Na Wamesahau pia anapata mgao wake wa IPTL wa shilingi million mia nne na ushehe KWA SIKU.

A smiling devil
Sijaelewa ile trn 1.5 alipoteza yeye k aliosema asad?
 
Kikwete ni Mwanasiasa hata ukisikiliza hotuba tu kuna tofauti kubwa sana na huyu mswaga Ng'ombe
 
REA, Shule za Sekondari, Barabara za Lami nk ni baadhi ya miradi uliyoiasisi au kuiendeleza ulipokuwa Raisi wetu. Mungu akubariki kwa kuwa mkweli.

Tulifika mahala tukaaminishwa kwa nguvu za ajabu kuwa awamu zilizopita hazikufanya kitu!

Nilimsikia mgombea mmoja akisema kuanzia wakoloni hadi maraisi wa awamu zilizopita nao walijenga barabara, miradi kadhaa nk. Kuwa, kazi ya serikali inayokusanya kodi ni kuleta maendeleo ya vitu na watu.

Hivyo, kwa kijana anayekuwa, ni vyema ajue tulikotoka tuliko na tunakoenda kwa usahihi bila kujisifu.

Nimefurahi pia kusikia kuwa wewe ndo ulitoa wazo la elimu bure kwa shule za msingi na sekondari na kuweka kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Chetu. Lakini ukisikiliza miziki ya Diamond na wasanii wengine utafikiri kila kitu kimebuniwa na kuwekwa kilipo na awamu ya tano.

Hongera sana Mh. Dr. Kikwete kwa kuweka wazi mambo haya japo hukugusia Mradi Umeme wa Gesi ya Mtwara kuwa uliishia wapi.

Naamini iko siku utaweka wazi tujue kwani tulishaamini tungepata umeme wa nafuu kuliko ilivyo sasa.
Dah, kwa nondo hizi, gari la mkaa halitatoka garage.
 
Are you sure? Watanzania punguzeni unafiki, watu walikuwa wanakaa Ubungo kwenye foleni kwa masaa, Tazara et. achilia mbali kila mgonjwa mwenye connection alikuwa anakwenda kutibiwa nje kwa pesa za Serikali hasa viongozi wakati Watanzania wengi walipoteza maisha bila kuwa na tiba ya uhakika. Leo hii kila moja anapata matibabu ya uhakika hapa hapa.

Kila kona ya duka Dar ilikuwa na generator lake sijui ile polution tu iliua wangapi? JPM ni moto wa kuotea mbali mwacheni tu. Endeleeni na huyo mlevi wa Konyagi huko anakowapeleka anakufahamu mwenyewe peke yake.
Mawazo MGANDO HAYO.
 
Sijui kwanini huyu jamaa watu bado wanamkumbuka na kumsifia. Wamesahau kaingizia nchi yetu hasara ya Matrillion kwa kuuza gesi yetu. Na Wamesahau pia anapata mgao wake wa IPTL wa shilingi million mia nne na ushehe KWA SIKU.

A smiling devil
Wangemkamata Sasa, au wabadili katiba ili rais mstafu aruhusiwe kushitakiwa , zaidi ya hapo ni porojo na kuchafuana kisiasa,.
 
Mnashindwa kuelewa hii ni serikari ya ccm! Tunajenga na bwawa lililoasisiwa 1975. Hakuna jipya ndugu, swala ni kazi tu
Hawa ukichunguza utagundua wengi wao ni wale waliokuwa wakienda mjini wanafanya ujanja ujanja ikifika jioni mifukoni imejaa pesa,kwahiyo awamu hii kwao ni mwiba...
 
Back
Top Bottom