tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
Mzee "kifimbo cheza" Bashite alilikosea Bunge ukashindwa kuamrisha Polisi wamkamate baada ya kakaidi amri. Leo unajitutumua kuwaagiza Polisi wawakamate Wabunge wa Upinzani bila hata aibu. Kumbe na wewe "wapo"