Mzee kaniambia niende likizo akaniambie siri

Mzee kaniambia anataka kuniambia siri na kuwa ananiamini mimi tu kuliko ndugu zangu wote, na pia hawajui, anasema alitaka kufa nayo ila kaona mimi ninajielewa kidogo, so anataka kunipasulia. Sio mama, sio nani hakuna anayeijua, ninaogopa na nina hofu.

Nina uoga kwani sijui ni nini ataniambia na kwa nn awafiche wengine mpaka umri huu alionao???

Nimetingwa, anyway ngoja niende iyo likizo nikamsikilize kwa makini...

Nitawajuza kitakachojiri endapo ikibidi.
Utatujuza ili iweje?
Acha utoto, ebo!
 
Wewe ndie unejielewa, umeshakimbilia JF. Mpe Mzee heshima yake!
 
Sidhan kam issue ni hyo, kama ndivyo basi angejua bi mkubwa pia
Hawezi kujua.Wachawi ni moja wapo ya familia zinazoongozwa na miiko ya usiri mkubwa sana. Amekuona wewe ni msiri na mmeshibana, jiandae kuchukua mikoba.
 
Baba yako kakosa kbs mtu wa kumpa siri? Wewe sio mtu wa kuambiwa jambo utaleta mnyukano katika familia. Je akikuambia ww sio mtoto wake wa kuzaa umejiandaa vipi kulipokea hili.
 
Nenda kesho wewe kamsikilize kesho ni weekend..Mimi marehemu mama alinipigia simu tukapiga story mbili tatu halafu akaniambia hivyohivyo kama ulivyoambiwa wewe kuwa kesho akitulia ataniambia siri ambayo wengine hawaijui siku hiyohiyo baadae akazidiwa ghafla na pumu akapelekwa hospital tangu hapo akawa mahututi anashindwa hadi kuongea mpaka umauti ulipomkuta..nadhani pamoja na uanaume wangu mimi ndio mtu niliyelia sana kuliko mtu yeyote siku ile ya msiba
Pole Sana....May her soul rest in peace amen
 
unaweza kuta hiyo siri aliyotaka kuitoa ndio chanzo cha umauti wake.....
 
Nenda kesho wewe kamsikilize kesho ni weekend..Mimi marehemu mama alinipigia simu tukapiga story mbili tatu halafu akaniambia hivyohivyo kama ulivyoambiwa wewe kuwa kesho akitulia ataniambia siri ambayo wengine hawaijui siku hiyohiyo baadae akazidiwa ghafla na pumu akapelekwa hospital tangu hapo akawa mahututi anashindwa hadi kuongea mpaka umauti ulipomkuta..nadhani pamoja na uanaume wangu mimi ndio mtu niliyelia sana kuliko mtu yeyote siku ile ya msiba
Ulipishana na siri ya kiroba cha dhahabu alichokificha kwa ajili yako.

Una haki ya kulia
 
Had hapa umeisha onesha jinsi usivyo na uwezo wa kutunza siri bora hio siri akaiambie mifugo ya kwenu kuliko ww ili iendelee kuwa siri
 
Mkulungwa the manager.
Thread zako za uongo,. Kamsikilze dingi
 
Mzee kaniambia anataka kuniambia siri na kuwa ananiamini mimi tu kuliko ndugu zangu wote, na pia hawajui, anasema alitaka kufa nayo ila kaona mimi ninajielewa kidogo, so anataka kunipasulia. Sio mama, sio nani hakuna anayeijua, ninaogopa na nina hofu.

Nina uoga kwani sijui ni nini ataniambia na kwa nn awafiche wengine mpaka umri huu alionao???

Nimetingwa, anyway ngoja niende iyo likizo nikamsikilize kwa makini...

Nitawajuza kitakachojiri endapo ikibidi.
Kamsaidie kubeba vibuyu !!!!
 
Nenda kesho wewe kamsikilize kesho ni weekend..Mimi marehemu mama alinipigia simu tukapiga story mbili tatu halafu akaniambia hivyohivyo kama ulivyoambiwa wewe kuwa kesho akitulia ataniambia siri ambayo wengine hawaijui siku hiyohiyo baadae akazidiwa ghafla na pumu akapelekwa hospital tangu hapo akawa mahututi anashindwa hadi kuongea mpaka umauti ulipomkuta..nadhani pamoja na uanaume wangu mimi ndio mtu niliyelia sana kuliko mtu yeyote siku ile ya msiba
Hiyo ndio Siri yenyewe alishaona kitakachotokea akitaka akuage.
 
.... mwanangu nina watoto wengine nimezaa nje ya ndoa, wapo kwa mzee fulani fulani fulani, hao ni ndugu zako..

..... mwanangu wewe siyo mtoto wangu, mama yako alikuzaa na mzee fulani.

.... mwanangu nikifa mtunze mama yako, sitaki aolewe.

.... mwanangu hili/lile shamba nilimzulumu fulani.

... nina madeni hata nikifa uyalipe.

.... mwanangu acha pombe

Nimejaribu ku beti.

Nenda kamsikilize haraka,
 
Mzee kaniambia anataka kuniambia siri na kuwa ananiamini mimi tu kuliko ndugu zangu wote, na pia hawajui, anasema alitaka kufa nayo ila kaona mimi ninajielewa kidogo, so anataka kunipasulia. Sio mama, sio nani hakuna anayeijua, ninaogopa na nina hofu.

Nina uoga kwani sijui ni nini ataniambia na kwa nn awafiche wengine mpaka umri huu alionao???

Nimetingwa, anyway ngoja niende iyo likizo nikamsikilize kwa makini...

Nitawajuza kitakachojiri endapo ikibidi.
Baba yako katunza Siri miaka yote hiyo..wewe leo hii unataka kuja kuitoa hiyo siri hapa JF! Aisee🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom