Mzee kaenda Shinyanga na mvua ya mawe yanyesha

Mbona mnaposti upumbavu?

Kwani yeye Magufuli ni nani? Mvua ya mawe imeanza leo kunyesha nchi hii?

Unakumbuka unga mahindi ya njano wewe? Je, kiongozi wa wakati ule alidhurika nini, mbona aliongoza term zake zote?

Mungu angekuwa hamtaki Magufuli angemuindoa kwa mda wowote na si kwa vioja vyenu hivi.

Kila siku nawambia upinzani wa nchi hii umeishiwa. Mbona mm na elimu yangu ndogo bado naona hoja nyingi tu za kumkosoa Magufuli? Alafu ninyi mnakuja na huu upuuzi?
 
Heeee......mkuu umepaniki.....taratibu chief usitegemee wote mutafanana mawazo na maono, vumilia hata unapokwazwa.
 
Mbona mnaposti upumbavu?

Kwani yeye Magufuli ni nani? Mvua ya mawe imeanza leo kunyesha nchi hii?

Unakumbuka unga mahindi ya njano wewe? Je, kiongozi wa wakati ule alidhurika nini, mbona aliongoza term zake zote?

Mungu angekuwa hamtaki Magufuli angemuindoa kwa mda wowote na si kwa vioja vyenu hivi.

Kila siku nawambia upinzani wa nchi hii umeishiwa. Mbona mm na elimu yangu ndogo bado naona hoja nyingi tu za kumkosoa Magufuli? Alafu ninyi mnakuja na huu upuuzi?
Hivi kukosoa maana yake ni kua upinzani? Kazi tunayo!

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Mbona mnaposti upumbavu?

Kwani yeye Magufuli ni nani? Mvua ya mawe imeanza leo kunyesha nchi hii?

Unakumbuka unga mahindi ya njano wewe? Je, kiongozi wa wakati ule alidhurika nini, mbona aliongoza term zake zote?

Mungu angekuwa hamtaki Magufuli angemuindoa kwa mda wowote na si kwa vioja vyenu hivi.

Kila siku nawambia upinzani wa nchi hii umeishiwa. Mbona mm na elimu yangu ndogo bado naona hoja nyingi tu za kumkosoa Magufuli? Alafu ninyi mnakuja na huu upuuzi?
Mbona unapanic umetumia cha Arusha???
 
Jee hizi zaweza kuwa salamu toka kwa mola? Maafa yanatokea pale ulipoenda, mvua ya Mawe na nyumba na Shule zinaezuliwa na ni kweli mvua hiyo haijaletwa na serikali.
Jee nao hao mzee wetu utawaambia mwafaa!
Mvua ya mawe Shinyanga ni jambo la kawaida sana
 
Mbona mnaposti upumbavu?

Kwani yeye Magufuli ni nani? Mvua ya mawe imeanza leo kunyesha nchi hii?

Unakumbuka unga mahindi ya njano wewe? Je, kiongozi wa wakati ule alidhurika nini, mbona aliongoza term zake zote?

Mungu angekuwa hamtaki Magufuli angemuindoa kwa mda wowote na si kwa vioja vyenu hivi.

Kila siku nawambia upinzani wa nchi hii umeishiwa. Mbona mm na elimu yangu ndogo bado naona hoja nyingi tu za kumkosoa Magufuli? Alafu ninyi mnakuja na huu upuuzi?
Ni mtu wa ajabu sana kupita maelezo,Afadhali hata ugonjwa wa zika.
 
Back
Top Bottom