Mzee Juma Duni Haji na Shehe Ponda Wamtembelea Freeman Mbowe Gerezani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,105
Leo_tarehe_18_December_Ndugu_Juma_Duni_akiambatana_na_Sheikh__Ponda__walifika_kumjulia_hali_Mw...jpg

Taarifa inatolewa kwamba Mzee Juma Duni Haji akiambatana na Shehe Issah Ponda leo tarehe 18/12/2021 wamefika kwenye Gereza la Ukonga ili kumjulia hali Mwamba Freeman Mbowe , ambaye amewekwa jela kwa amri ya watawala kutokana na kudaiwa KUKOSA HESHIMA.

Habari kutoka Gerezani zinadai kwamba Mbowe yuko imara sana kiafya na kiakili na ametuma ujumbe Muruwa kwa watu wote nchini Tanzania kuendelea kudai KATIBA MPYA.
 
Mchakato wa 'kumsamehe' unaendelea na Bw.Mbowe kaendelea kuwa mtu mwenye busara ili asamehewe kama walivyosamehewa Ma Sheikh wa uamsho.
 
View attachment 2049200

Taarifa inatolewa kwamba Mzee Juma Duni Haji akiambatana na Shehe Issah Ponda leo tarehe 18/12/2021 wamefika kwenye Gereza la Ukonga ili kumjulia hali Mwamba Freeman Mbowe , ambaye amewekwa jela kwa amri ya watawala kutokana na kudaiwa KUKOSA HESHIMA .

Habari kutoka Gerezani zinadai kwamba Mbowe yuko imara sana kiafya na kiakili na ametuma ujumbe Muruwa kwa watu wote nchini Tanzania kuendelea kudai KATIBA MPYA .
Wanapoteza muda gaidi hawezi kusamehewa kwa cheapest popularity

USSR
 
Hata kuitisha maandamano ya kushinikiza kuachiwa Kamanda wa Anga mmeshindwa?

Sasa akishasamehewa mkikutana Ufipa mtamonesha zile harakati za hashtag za Tweeter kuwa ndio zimefanikisha kuachiwa kwake?
Maandamano yasiyo na kikomo yanafimanyika CLUB HOUSE kila siku ya kesi au unataka waingie road?,ili mpate sababu za kuwaitia polisi wawapige virungu bro?, muwe na huruma basiii.
 
Back
Top Bottom