Mzee Juma Duni Haji na Shehe Ponda Wamtembelea Freeman Mbowe Gerezani

Kuna ki Manka kinadanga huko ughaibuni kila kukicha labda ndicho anachokizungumzia meku Duni.
 
Mama muachie Mbowe maisha yaende ulidanganywa, wachaga hatudanganyiki kwa kujikosea kwenye machief wasiotambulika kutafuta huruma ya wachaga. Hio mikoa mingine Hakuna machief hadi uje uchagani.
 
Hawa wawili ni wanadiasa au wanaharakati wa dini?

Hawa wawili kwenye akili yao wanadai democrasia ya katiba au wanadai daesh inayoendeshwa na kitabu cha dini?

Hawa kweli ni watetezi wa watu wote?
 
Hawa wawili ni wanadiasa au wanaharakati wa dini?

Hawa wawili kwenye akili yao wanadai democrasia ya katiba au wanadai daesh inayoendeshwa na kitabu cha dini?

Hawa kweli ni watetezi wa watu wote?
Ingekuwa mbowe ni muislam wangekinukisha mbaya.
 
Back
Top Bottom