Mzee John Malecela: Mafisadi wote watakaojaribu kuivuruga CCM watashughulikiwa. Miradi yote aliyoacha Dkt. Magufuli ikamilishwe

Mzee jikite kwenye matibabu ya mwanao Le Mutuz kwanza, tunajua mengi kukuhusu. Tulia umalizie uzee wako taratibu.
Ikitokea ukaulizwa swali na ndg mwandishi, utakataa kujibu kisa una mgonjwa au ulipuuzwa?
 
Wasimpangie mama yetu cha kufanya. Watoe ushauri lakini neno LAZIMA walifute.
Team jpm bado inatafuta kusurvive ndani ya mama Samia Suluhu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
mzee Phillip Mangula na mzee John malecela epukeni vikao, kipindi hiki cha corona. Hali sio shwari hata kidogo, pia vaeni barakoa na kuepuka misingamano isiyo ya lazima.
Akiongea na kituo cha runinga cha Azam, leo asubuhi mjini Dodoma, mzee John Malecela amemshukuru aliekuwa raisi marehemu John Magufuli kwa kazi nzito ya kujenga upya mji wa Dodoma.

Mzee John Malecela ambae aliwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania na balozi nchini Uingereza amemtakia kheri Raisi Samia Suluhu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aliulizwa kuhusu maono ya marehemu JPM kama CCM itaweza kuyabeba na kuyandeleza yale yote ambayo ameyaacha.

Mzee Malecela akajibu kwamba marehemu John Magufuli alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM aliahidi kukiimarisha chama cha mapinduzi na kukifanya kuwa chama chenye nguvu nchini.

Akaendelea kwa kusema nguvu ya CCM ilijidhihirisha kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.

Mwisho akatoa onyo kwamba ikiwa kuna mafisadi ambao wana mpango wa kuja kukivuruga chama cha mapinduzi basi anaahidi kuwa watashughulikiwa ipasavyo.

Hayo ni maoni makini ya mmoja wa wazee na waasisi wa taifa hili yaani kwa kiingereza twasema "part of establishement".

Lakini tuchukulie kuwa hilo ni onyo kwa kila mtanzania ambae ana mawazo mengine mbadala ya mawazo ya CCM na dira ya maendeleo 2015-2025.

Wakati huohuo CCM mchana huu wapo kwenye kikao kizito kinachokaliwa na mzee Phillip Mangula.

Katibu mwenezi Humphrey Polepole anatarajiwa kutoa taarifa rasmi kuhusu yalojiri kwenye kikao hicho.
 
wapinzani walikuwa wanataka rais mkali alipokuja makufuli wakabadilika tena [ATTACH=full
 
Attachments

  • IMG_4016.JPG
    IMG_4016.JPG
    137.4 KB · Views: 1
  • IMG_4017.JPG
    IMG_4017.JPG
    171.5 KB · Views: 1
  • IMG_4016.JPG
    IMG_4016.JPG
    137.4 KB · Views: 1
Ukimaliza kulalamika kila kata ina dispensaries, wilaya ina vituo vya afya, hospitali za rufaa nk.

Barabara zimejengwa than any other time..

Waluguru treni inawafikia mwezi wa 8...

Hivi kikwete hakuitwa muuaji? Hakuna waliotolewa meno kwa koleo?

Tujiandae matusi kwa mama samia kwakuwa tusipomtukana ajira ya mataifa ya nje itapotea....
Heri rizimoko atake over kuliko lile uaji lililokufa

Atleast hawa wana elements za democracy....lile hewa lenu lililokufa was dubwasha kabisa
 
"Strong institution" aliyoijenga na kuiamini kuwa inafanya kazi ni POLISI na mabunduki yao basi!

Hii institution ingetetereka yeye asingekuwepo, hadi yakamkuta yaliyomkuta.

Angekwisha mapema sana.
Inasemekana mishahara ya wale walinzi wake ilikuwa ni Mara 10 ya walinzi waliokuwa wanamlinda Kikwette. Ali negotiate nao mwenyewe na siyo DAP wa Ikulu
 
Mnaweza kusema mengi lakin msisahau kila nchi ina civilazation yake wewe nchi unazoziona zinastrong institutions kama kenya zinaongoza kwa rushwa mbona wezi hawapelekwi mahakamani,south africa waafrica kusin weus mpaka leo wanadai nchi yao mi nadhan watanzania mmesomeshwa lakin mnakosa sana uzalendo hii nchi iko vzr tu wala hatuhitaji hayo
Kwani hapa Tanzania nani kapelekwa ile Mahakama iliyoundwa kwa mbwembwe maarufu Kama ya Mafisadi? Nitajie kesi 2 tu usilete hapa na matokeo yake.

Wote Magufuli aliowapeleka Mahakamani aliowapeleka kwa chuki binafsi tu. Watu wanakaa miaka 3 rumande, prosecution wanadai uchunguzi haujakamilika. Halafu inatendenezwa Sheria mbuzi ya Plea Bargain na watu wanaitumia kununua uhuru wao.

Acheni kulinganisha nchi zenye mifumo inayojali haki za binadamu na machungu tuliyopitia kwa DIKTETA wa Chato
 
Akiongea na kituo cha runinga cha Azam, leo asubuhi mjini Dodoma, mzee John Malecela amemshukuru aliekuwa raisi marehemu John Magufuli kwa kazi nzito ya kujenga upya mji wa Dodoma.

Mzee John Malecela ambae aliwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania na balozi nchini Uingereza amemtakia kheri Raisi Samia Suluhu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aliulizwa kuhusu maono ya marehemu JPM kama CCM itaweza kuyabeba na kuyandeleza yale yote ambayo ameyaacha.

Mzee Malecela akajibu kwamba marehemu John Magufuli alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM aliahidi kukiimarisha chama cha mapinduzi na kukifanya kuwa chama chenye nguvu nchini.

Akaendelea kwa kusema nguvu ya CCM ilijidhihirisha kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.

Mwisho akatoa onyo kwamba ikiwa kuna mafisadi ambao wana mpango wa kuja kukivuruga chama cha mapinduzi basi anaahidi kuwa watashughulikiwa ipasavyo.

Hayo ni maoni makini ya mmoja wa wazee na waasisi wa taifa hili yaani kwa kiingereza twasema "part of establishement".

Lakini tuchukulie kuwa hilo ni onyo kwa kila mtanzania ambae ana mawazo mengine mbadala ya mawazo ya CCM na dira ya maendeleo 2015-2025.

Wakati huohuo CCM mchana huu wapo kwenye kikao kizito kinachokaliwa na mzee Phillip Mangula.

Katibu mwenezi Humphrey Polepole anatarajiwa kutoa taarifa rasmi kuhusu yalojiri kwenye kikao hicho.
Huyu naye tumwombee aRIP basi, khee...asituchoshe!
 
Huyu nae akapambane na manzi wake atuache na mambo yetu zigo tumelitua
 
Inasemekana mishahara ya wale walinzi wake ilikuwa ni Mara 10 ya walinzi waliokuwa wanamlinda Kikwette. Ali negotiate nao mwenyewe na siyo DAP wa Ikulu
Sishangai hata kidogo.

Jamaa alikuwa ni mtu wa mambo ya ajabu kweli. Na mbaya zaidi, hakujali nani atasema nini, hakuwa na soni/aibu kufanya lolote
 
Magufuli licha ya watu kumuona anakasoro fuani fulani lakini Magufuli alikuwa anajuwa kusimamia kile anachotaka kuona kifanyike
Mambo ya mikataba, usimamizi wa miradi ,manunuzi.

Je, mh Samia ataweza kuwa kama JPM?

Au zaidi ya JPM!

Ila tunamtakia kila la kheri aweze fanikiwa

Ova
Dont take her lightly, yuko kwenye game mda mrefu anayajua mengi sana ndani ya chama na nje its about time ataanza kufanya maamuzi yake kinachomrudisha nyuma chama kilimkuza kuna wazee anawaheshimu.
 
Back
Top Bottom