Mzee John Malecela: Mafisadi wote watakaojaribu kuivuruga CCM watashughulikiwa. Miradi yote aliyoacha Dkt. Magufuli ikamilishwe

Ati aliahidi kukifanya CCM kuwa chenye nguvu, kwa kununua wapinzan, kwa wizi wa kura ulokithiri.

Vitabu vya dini vinasema husihibe na kama walituvurugia uchaguz kwa kuiba kura mimi naomba moto wa milele umuanzie mwizi yeyote wa kura pale pale kaburini, shenzi kabisa.
Kwa hiyo wapinzani akili hawanayo mpaka wanauniliwa kwanini wapinzani wasi nunue ccm ila ccm ndo inayoinunua wapinzani
 
Akiongea na kituo cha runinga cha Azam, leo asubuhi mjini Dodoma, mzee John Malecela amemshukuru aliekuwa raisi marehemu John Magufuli kwa kazi nzito ya kujenga upya mji wa Dodoma.

Mzee John Malecela ambae aliwahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania na balozi nchini Uingereza amemtakia kheri Raisi Samia Suluhu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Aliulizwa kuhusu maono ya marehemu JPM kama CCM itaweza kuyabeba na kuyandeleza yale yote ambayo ameyaacha.

Mzee Malecela akajibu kwamba marehemu John Magufuli alipochaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM aliahidi kukiimarisha chama cha mapinduzi na kukifanya kuwa chama chenye nguvu nchini.

Akaendelea kwa kusema nguvu ya CCM ilijidhihirisha kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.

Mwisho akatoa onyo kwamba ikiwa kuna mafisadi ambao wana mpango wa kuja kukivuruga chama cha mapinduzi basi anaahidi kuwa watashughulikiwa ipasavyo.

Hayo ni maoni makini ya mmoja wa wazee na waasisi wa taifa hili yaani kwa kiingereza twasema "part of establishement".

Lakini tuchukulie kuwa hilo ni onyo kwa kila mtanzania ambae ana mawazo mengine mbadala ya mawazo ya CCM na dira ya maendeleo 2015-2025.

Wakati huohuo CCM mchana huu wapo kwenye kikao kizito kinachokaliwa na mzee Phillip Mangula.

Katibu mwenezi Humphrey Polepole anatarajiwa kutoa taarifa rasmi kuhusu yalojiri kwenye kikao hicho.
Huyu Jumanne atulie tu, alishindwa kusidia hata jimbo lake maendeleo pamoja na kusilimishwa na waarabu
 
Kwa hiyo wapinzani akili hawanayo mpaka wanauniliwa kwanini wapinzani wasi nunue ccm ila ccm ndo inayoinunua wapinzani
Huyu mzee anayo akili sana

Magufuli kaifanya ccm irudi kwenye ubora wake ni mtu alikuwa makini na kudhubutu

Ni mtu aliyekuwa hodari

Wapinzani wanaipenda sana MSOGA GANG MAANA KIPINDI CHAKE WALIJICHUKULIA walikula maisha walikuwa wana mtukuna huku anawachekea
Awamu ya tano wakimutukuna naye anawashughulikia
Eti wapinzani wakikutukana halafu ukawatukana wana kuchukia

Walisema rais dhaifu awamu ya nne awamu ya tano
Hawakusema tena hiyo kauli walikuwa wana lalamika kila siku


Awamu ya tano na ya sita zinatuonyesha wazi kuwa wapinzani ni wapiga kelele tu

Pamoja na kelele zao awamu ya tano hatukuona tena

Chochote tuliambulia ASCROW AND RICHMOND, RUGUMI JAMAA YA MAGU ( SAIDO RUGUMI rafiki yake rizi. Moja )

Tumeona mengi NDEGE, ELIMU ,MELI KUUNDWA, RELI YA UMEME, FLYOVERS, CCM KURUDI KWENYE UBORA WAKE HATA UKIPITA KARIA KOO NA VAZI LA CCM UNAONEKANA WA MAANA

AWAMU YA TANO UKIKATISHA NA VAZI LA CCM KARIA KOO UNAKIMBIA MWENYEWE MPAKA LUMUMBA BILA KUGEUKA


TUMEONA KUWA HAKUNA CHA NANI KILA MTU ALIJUA SERIKALI NI YA WOTE ,

MADINI YETU TULIANZA KUONA KUWA NI MALI YETU


HAWA WAPINZANI WAMECHOKA SANA

TINITAJI WENGINE HIKI CHAMA CHA MWENYEKITI WA MUDA WOTE
KIMEZEEKA SANA
 
Hizo kura mliibiwa wapi na ngapi?
Acheni unafki wananchi waliamua kuwakataa. Na kwahali ilivyo ndio mtakataliwa zaidi wananchi washajua kuwa nyie ni wezi na vibaraka msio na akili
Wewe hujui kitu unaongea ulikuwa ni uchaguzi wa aibu ndio maan jiwe likazima mitandao !!! Sasa hupo wapi!?
 
Back
Top Bottom