Mzee John Malecela: Mafisadi wote watakaojaribu kuivuruga CCM watashughulikiwa. Miradi yote aliyoacha Dkt. Magufuli ikamilishwe

Nyie watanzania msimpagie Rais kazi kuwa lazima afanye, si miradi yote ni maslahi kwa taifa hivyo atatumia busara kipi kinastahili na kipi kiachwe, mnataka hawe kama dodoki?
 
wapinzani walikuwa wanataka rais mkali alipokuja makufuli wakabadilika tena [ATTACH=full
Hakuna sehemu wapinzani walimtaka raisi muuaji,mtesaji,mkandamizaji wa uhuru wa maoni,mkandamizaji wa democracia ,mkandamizaji wa upinzani ,asietaka kushauriwa,aneminya bunge na mahakama kama mihimili ,mbaguzi wa ukanda katika serikali ,anaebambikia kesi watu na kulipza visasi,anaeropoka ovyo ,asietumia buaara na hekima katika uongozi wake .
 
Ati aliahidi kukifanya CCM kuwa chenye nguvu, kwa kununua wapinzan, kwa wizi wa kura ulokithiri.

Vitabu vya dini vinasema husihibe na kama walituvurugia uchaguz kwa kuiba kura mimi naomba moto wa milele umuanzie mwizi yeyote wa kura pale pale kaburini, shenzi kabisa.
Hizo kura mliibiwa wapi na ngapi?
Acheni unafki wananchi waliamua kuwakataa. Na kwahali ilivyo ndio mtakataliwa zaidi wananchi washajua kuwa nyie ni wezi na vibaraka msio na akili
 
UPUUZI MTUPU!!!

5433A90A-941E-4C14-AC75-4C14E20FC3A0.jpeg

WATAKAOJARIBU KUDUMAZA SAFARI YA MAMA SAMIA KUELEKEA 2030 NI WASALITI WAKUBWA , YAFAA WASHUGHULIKIWE MAPEMA

Tunataka Dunia Itambue Kuwa Sisi Watanzania Kwa Umoja Wetu Tumeamua Tunakwenda na Mama Hadi 2030 Kwakuwa:

(1)Uwezo Wa Kutuletea Maendeleo Anao
(2)Nia Ya Kutuletea Maendeleo Anayo
(3)Sababu Za Kutuletea Maendeleo Anazo

KaziIendelee

Paza Sauti Yako Ewe Mtanzania - 2021-2030 ni zamu ya Rais Samia Suluhu Hassani
 
WATAKAOJARIBU KUDUMAZA SAFARI YA MAMA SAMIA KUELEKEA 2030 NI WASALITI WAKUBWA , YAFAA WASHUGHULIKIWE MAPEMA

Rais Samia Suluhu Hassani ameonyesha uwezo mkubwa kiutendaji hadi kushangaza Ulimwengu

Kwahiyo Sasa mnajibinafsisha ikulu yetu na siasa zetu kwa muda na matakwa myatakayo? Inamaana sisi wengine Wana wa nchi hii tukiinua midomo yetu kumkosoa mama na sisi pia kutaka kukalia kiti chake kwa utaratibu tuliojiwekea Kama nchi tunavunja Sheria? Mnaanza uchawi Kama mlioufanya kwa magufuli halafu wakifa madarakani mnataka tulie wote nyambaf.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
WATAKAOJARIBU KUDUMAZA SAFARI YA MAMA SAMIA KUELEKEA 2030 NI WASALITI WAKUBWA , YAFAA WASHUGHULIKIWE MAPEMA

Rais Samia Suluhu Hassani ameonyesha uwezo mkubwa kiutendaji hadi kushangaza Ulimwengu

Tunataka Dunia Itambue Kuwa Sisi Watanzania Kwa Umoja Wetu Tumeamua Tunakwenda na Mama Hadi 2030 Kwakuwa:

(1)Uwezo Wa Kutuletea Maendeleo Anao
(2)Nia Ya Kutuletea Maendeleo Anayo
(3)Sababu Za Kutuletea Maendeleo Anazo

KaziIendelee

Paza Sauti Yako Ewe Mtanzania - 2021-2030 ni zamu ya Rais Samia Suluhu Hassani
Hitler amezuka Tanzania! We lijamaa utakuwa likatili sana.
 
WATAKAOJARIBU KUDUMAZA SAFARI YA MAMA SAMIA KUELEKEA 2030 NI WASALITI WAKUBWA , YAFAA WASHUGHULIKIWE MAPEMA

Rais Samia Suluhu Hassani ameonyesha uwezo mkubwa kiutendaji hadi kushangaza Ulimwengu

Tunataka Dunia Itambue Kuwa Sisi Watanzania Kwa Umoja Wetu Tumeamua Tunakwenda na Mama Hadi 2030 Kwakuwa:

(1)Uwezo Wa Kutuletea Maendeleo Anao
(2)Nia Ya Kutuletea Maendeleo Anayo
(3)Sababu Za Kutuletea Maendeleo Anazo

KaziIendelee

Paza Sauti Yako Ewe Mtanzania - 2021-2030 ni zamu ya Rais Samia Suluhu Hassani
Kwa hiyo kuwashughulikia mapema ni kuwapoteza, kuwabambikia kesi zenye vifungo vya muda mrefu n.k

Hicho ndio kitu pekee CCM wakizacho
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom