Mzee Jakaya Kikwete, rudisha hilo hekalu Serikalini lipigwe mnada pesa zisaidie wananchi

Mimi bado namkubali Babu wa taifa mzee wetu Nyerere. Yule mzee MUNGU ampe amani ya kudumu na amfutie adhabu kali za makosa yake ya kibinadamu. Ila mzee yule alionyesha utu na uzalendo kwa vitendo.

Alikataa kujengewe nyumba kule kwake butiama.

Aliwachomololea JWTZ kama sio JKT kumjengea barabara kuelekea kwake.

Familia yake iliishi maisha ya kawaida kabisa, mama maria alikuwa akila chakula anacholima kwa mikono yake.

Watoto wa Babu wa taifa aliwapiga marufuku kuingia katika siasa kwa mchezo wa kurithi nyayo zake. Watoto wake wameanza kushiriki siasa baada ya kifo chake.

Aliishi kwa mshahara wake na hakupenda marupurupu yasiyo ya lazima

Alikuwa na nafasi ya kutuuza au kujipatia milki na ufalme wa rasilimali na hakukuwa wa kumpinga miaka ile maana aliogopwa kama malaika pia taifa lilikuwa na ushamba na exposure ndogo kwa 90%. Ila akawa muungwana akaridhia kuwapa kijiti wenzake na yeye kubakia kuwa mshauri wa chama na viongozi.

Yeye ndio kisababishi kikubwa sana za vita dhidi ya matabaka ambayo pengine tusingekuwa serious au tungekuwa na viongozi takataka kama wa sasa basi tungejikuta tupo katika maisha mabaya sana ya wachache kuhodhi taifa na wengi kuwa mashakani.

Mzee Nyerere ndie musisi wa umoja wa taifa kupitia lugha ya kiswahili. Leo unaweza kwenda mkoa wowote na ukaongea na wenyeji wa huo mkoa bila shda na mkaelewana.

Leo maisha ya mjini ndio kimbilio la wengi na watu wanaishi bila hata ya kuulizana maswali ya kibaguzi. Viongozi washenzi wachache wanashindwa kusimamia haya mambo especially kwenye eneo la utofauti wa dini na kujikuta wao wanaijua sana dini mbwa hawa tuwadhibiti wasituharibie jamio yetu.

Mzee nyerere kafanya mengi. Kwa yale machache aliyokosea tukunjue roho ila tumuenzi kwa mazuri ambayo hadi leo yanatuweka hapa na kujiita watanzania kwa uhodari na umaridadi.

MUNGU ibariki afrika, MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU wabariki watanzania. Lakini MUNGU baba walaani watu wanaojiita watanzania na kutwa kucha matendo yao yanalenga kuliangamiza taifa letu, walaani na kuwatokomeza hao mbwa. Milele Tanzania itasimama.
 
Barua ya wazi kwa Rais mstaafu Kikwete.

Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu

Nakuandikia barua hii mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuonesha kukasirishwa, kutopendezewa na kitendo cha serikali yetu kukujengea Jumba kubwa utadhani Kasri la Wafalme na wewe bila haya au aibu unalipokea kwa bashasha bila kujali kuwa nchi hii bado ni masikini sana na bado ina uhitaji mkubwa sana wa kila senti kwenda kuondoa umasikini wa kutisha wa watu wetu.

Ninafahamu kuwa mlijitungia sheria kuwa mstaafu akistaafu basi apewe pakeji nono ikiwemo kujengewa nyumba, licha ya kwamba hukuwa rais wakati sheria hiyo inatungwa, lakini ulikuwemo serikalini wakati inatungwa, baadae ukawa rais na hukuirekebisha hiyo sheria!, Na wala hujawahi kusikika popote kuonyesha kutofurahishwa na Mzigo mzito wa sisi wananchi kuwagharamieni nyinyi wastaafu kupitia kodi zetu.

Ndugu Jakaya Rais mstaafu, hebu niambie, wewe kama mtu uliyefanya kazi kwenye chama na serikali toka mwaka 1975 hadi mwaka 2015 ina maana hadi ulipostaafu, yaani jumla ya miaka 40 hukujenga nyumba yoyote?, ina maana miaka yote hiyo ulikuwa unapanga? —ina maana uliacha kujenga nyumba ukitarajia kuwa one day utakuwa raisi ili ukistaafu ujengewe nyumba kwa kodi za wananchi?

Ndugu Jakaya, Je nyumba yako ya Msoga haikutoshi? Unataka tena hilo hekalu ulipeleke wapi? Unataka umuachie urithi Ridhiwani?, umuachie urithi Miraji?, Umuachie urithi Mama Salma kupitia jasho la wananchi?

Nakuandikia barua hii nikitambua kuwa ulikuwa kijana wa TANU wewe, na nyie vijana wa kipindi hicho mlikuwa mkituaminisha kuwa mmeiva kwenye Itikadi za kukataa "unyonyaji",Najiuliza, kama mliweza kuwaaminisha wananchi kuwa siyo wanyonyaji na wakawaamini mpaka kuwapa nyadhifa kubwa huko mbeleni, mbona basi mnageuka wanyonyaji katika kustaafu kwenu?—Ina maana mikogo yenu ile ya kipindi hicho ya kujifanya siyo wapenda kujitajiriisha kwa kutumia kivuli cha nyadhifa zenu ilikuwa feki?. Mnapata wapi usingizi wa kuenjoy mimali yote hii katikati ya lindi zito la umasikini wa watu wenu tena kwa kujitajirisha kupitia jasho lao?

Ndugu Jakaya, mimi sitaki kukueleza umasikini wa nchi hii kwa sababu unaujua, Umeujua ukiwa bado kijana na unaujua ukiwa mzee—Hebu tutazame sisi wananchi walalahoi machoni, ambao masilahi yetu tunaambiwa hatuwezi kupata kwanza kwa sababu uchumi wa nchi umeshuka, kisha tuambie ndugu Jakaya, hilo hekalu lako ulilojengewa na serikali uliyopambana sana kuiweka madarakani linatusaidiaje sisi wananchi kuondoa adha za ukosefu wa maji, Ukosefu wa madawa, ukosefu wa madawati, upungufu wa ajira kwa vijana wetu, masilahi ya wakulima na wafanyakazi?

Ndugu Jakaya, wewe unalipwa asilimia 80 ya mshahara wa rais aliyeko madarakani, hivyo ndivyo nyie wanene mlivyojipangia, Unashindwaje kwa mshahara kujijengea nyumba nyingine ukiihitaji mpaka serikali ikujengee Hekalu lote hilo kwa kodi za wananchi?

Najua unaweza kusingizia kuwa eti hivyo ndivyo sheria inavyotaka, lakini je kwani ungekataa kujengewa hilo hekalu ungelazimishwa?, Na kama ukilazimishwa kwani huwezi kulikataa?

Nakuandikia haya huku nikijua kuwa Rais Mkapa alijengewa Jumba lake, Mwinyi akajengewa Kasri lake na wewe leo umekabidhiwa Hekalu lako. Katika wote hao nimeamua nikuandikie wewe barua hii ya wazi kwa sababu Mzee Mkapa hatunaye, hawezi kujibu, Mzee Mwinyi ni mtu mzima sana, ni dhahiri anasukumiziwamo tu, Ila wewe bado una nguvu uko active na bila shaka unafuatilia kwa karibu sana yanayojiri nchi hii!

Kuna swali moja tu ningependa unijibu, JE TANU ILIWAFUNDISHA VIJANA WAKE MKIPATA MADARAKA AU KUSTAAFU MGEUKE WANYONYAJI?

Jakaya nakuomba kwa heshima na taadhima, wewe umeshiba, wenye njaa nchi hii ni wengi, wananchi wenye uhitaji wasioweza kumudu mahitaji yao ya msingi ni wengi, Hilo hekalu lako linaweza kujenga maelfu ya vyumba vya madarasa kusaidia watoto ambao wanafaulu darasa la saba lakini hawawezi kuendelea kutokana na upungufu wa madarasa nchini. Hilo hekalu lako ni zaidi ya Zahanati 50, Hilo hekalu lako ni zaidi ya madawati 5000.

Hebu niambie Jakaya mtu mwenye majumba, una familia yenye kipato kizuri, Unawezaje kukubali kuwa na Hekalu lote hilo kwa jasho la wananchi wenye uhitaji wa kila senti ya jasho lao?

Tafadhali rudisha hilo hekalu kwa wananchi liwasaidie, ukifanya hivyo utakuwa muungwana sana!
WIVU WA MATYAKO WAZI
 
Mwenye nacho huongezewa, ukielewa hapa basi kaa kimya au unataka watu waishi kama mashetani?
 
Hatuna umasikini huo WA kushindwa kuwajengea Ma Rais wastaafu..

Nyumba hiyo moja thamani yake si pesa za mbunge aliestaafu?Na wabunge wako wangapi?..

Kama tuko serious tuanze na kupunguza mishahara ya wabunge...na posho na kiinua mgongo...

Mtu akishakuwa Rais hata akistaafu anapata wageni mbalimbali wa wa kimataifa

Tuache kuwaza kimasikini kuwa nyumba ni sehemu Tu ya kulala...

Sioni tatizo kabisa Kwa wastaafu kupewa nyumba wala magari...

Hata makampuni huwa yanatoa bonuses Kwa ma CEO wao...hata kama mishahara ya watu wa chini midogo..

Urais ni ofisi hata ukisha staafu
Yanaitwa mawazo ya kisukyuma matajiri wataishi kama mashetani fikra za kichoko Sana,
 
Barua ya wazi kwa Rais mstaafu Kikwete.

Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu

Nakuandikia barua hii mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuonesha kukasirishwa, kutopendezewa na kitendo cha serikali yetu kukujengea Jumba kubwa utadhani Kasri la Wafalme na wewe bila haya au aibu unalipokea kwa bashasha bila kujali kuwa nchi hii bado ni masikini sana na bado ina uhitaji mkubwa sana wa kila senti kwenda kuondoa umasikini wa kutisha wa watu wetu.

Ninafahamu kuwa mlijitungia sheria kuwa mstaafu akistaafu basi apewe pakeji nono ikiwemo kujengewa nyumba, licha ya kwamba hukuwa rais wakati sheria hiyo inatungwa, lakini ulikuwemo serikalini wakati inatungwa, baadae ukawa rais na hukuirekebisha hiyo sheria!, Na wala hujawahi kusikika popote kuonyesha kutofurahishwa na Mzigo mzito wa sisi wananchi kuwagharamieni nyinyi wastaafu kupitia kodi zetu.

Ndugu Jakaya Rais mstaafu, hebu niambie, wewe kama mtu uliyefanya kazi kwenye chama na serikali toka mwaka 1975 hadi mwaka 2015 ina maana hadi ulipostaafu, yaani jumla ya miaka 40 hukujenga nyumba yoyote?, ina maana miaka yote hiyo ulikuwa unapanga? —ina maana uliacha kujenga nyumba ukitarajia kuwa one day utakuwa raisi ili ukistaafu ujengewe nyumba kwa kodi za wananchi?

Ndugu Jakaya, Je nyumba yako ya Msoga haikutoshi? Unataka tena hilo hekalu ulipeleke wapi? Unataka umuachie urithi Ridhiwani?, umuachie urithi Miraji?, Umuachie urithi Mama Salma kupitia jasho la wananchi?

Nakuandikia barua hii nikitambua kuwa ulikuwa kijana wa TANU wewe, na nyie vijana wa kipindi hicho mlikuwa mkituaminisha kuwa mmeiva kwenye Itikadi za kukataa "unyonyaji",Najiuliza, kama mliweza kuwaaminisha wananchi kuwa siyo wanyonyaji na wakawaamini mpaka kuwapa nyadhifa kubwa huko mbeleni, mbona basi mnageuka wanyonyaji katika kustaafu kwenu?—Ina maana mikogo yenu ile ya kipindi hicho ya kujifanya siyo wapenda kujitajiriisha kwa kutumia kivuli cha nyadhifa zenu ilikuwa feki?. Mnapata wapi usingizi wa kuenjoy mimali yote hii katikati ya lindi zito la umasikini wa watu wenu tena kwa kujitajirisha kupitia jasho lao?

Ndugu Jakaya, mimi sitaki kukueleza umasikini wa nchi hii kwa sababu unaujua, Umeujua ukiwa bado kijana na unaujua ukiwa mzee—Hebu tutazame sisi wananchi walalahoi machoni, ambao masilahi yetu tunaambiwa hatuwezi kupata kwanza kwa sababu uchumi wa nchi umeshuka, kisha tuambie ndugu Jakaya, hilo hekalu lako ulilojengewa na serikali uliyopambana sana kuiweka madarakani linatusaidiaje sisi wananchi kuondoa adha za ukosefu wa maji, Ukosefu wa madawa, ukosefu wa madawati, upungufu wa ajira kwa vijana wetu, masilahi ya wakulima na wafanyakazi?

Ndugu Jakaya, wewe unalipwa asilimia 80 ya mshahara wa rais aliyeko madarakani, hivyo ndivyo nyie wanene mlivyojipangia, Unashindwaje kwa mshahara kujijengea nyumba nyingine ukiihitaji mpaka serikali ikujengee Hekalu lote hilo kwa kodi za wananchi?

Najua unaweza kusingizia kuwa eti hivyo ndivyo sheria inavyotaka, lakini je kwani ungekataa kujengewa hilo hekalu ungelazimishwa?, Na kama ukilazimishwa kwani huwezi kulikataa?

Nakuandikia haya huku nikijua kuwa Rais Mkapa alijengewa Jumba lake, Mwinyi akajengewa Kasri lake na wewe leo umekabidhiwa Hekalu lako. Katika wote hao nimeamua nikuandikie wewe barua hii ya wazi kwa sababu Mzee Mkapa hatunaye, hawezi kujibu, Mzee Mwinyi ni mtu mzima sana, ni dhahiri anasukumiziwamo tu, Ila wewe bado una nguvu uko active na bila shaka unafuatilia kwa karibu sana yanayojiri nchi hii!

Kuna swali moja tu ningependa unijibu, JE TANU ILIWAFUNDISHA VIJANA WAKE MKIPATA MADARAKA AU KUSTAAFU MGEUKE WANYONYAJI?

Jakaya nakuomba kwa heshima na taadhima, wewe umeshiba, wenye njaa nchi hii ni wengi, wananchi wenye uhitaji wasioweza kumudu mahitaji yao ya msingi ni wengi, Hilo hekalu lako linaweza kujenga maelfu ya vyumba vya madarasa kusaidia watoto ambao wanafaulu darasa la saba lakini hawawezi kuendelea kutokana na upungufu wa madarasa nchini. Hilo hekalu lako ni zaidi ya Zahanati 50, Hilo hekalu lako ni zaidi ya madawati 5000.

Hebu niambie Jakaya mtu mwenye majumba, una familia yenye kipato kizuri, Unawezaje kukubali kuwa na Hekalu lote hilo kwa jasho la wananchi wenye uhitaji wa kila senti ya jasho lao?

Tafadhali rudisha hilo hekalu kwa wananchi liwasaidie, ukifanya hivyo utakuwa muungwana sana!
Shukrani. Hawa watu ni waroho hakuna mfano. Yaani Kikwete aka Njaa Kaya aliyeiuza nchi yetu na kututia hasara kwa kuzurura anazawadiwa kwa lipi badala ya kufia jela?
 
barua yako imemkumbusha ,ndo kwanza karudi mazima kulamba kilichobaki,na mkewe na mwanae
huyu aliyepo wa awamu ya ngapi sijui ni trela tu sinema iko chini
 
Viongozi hawana hata haya, hapo hata kitukuu tayari kina maisha mazuri toka kwa babu, raia tukihaha kupata milo mitatu kwa siku
 
Barua ya wazi kwa Rais mstaafu Kikwete.

Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu

Nakuandikia barua hii mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuonesha kukasirishwa, kutopendezewa na kitendo cha serikali yetu kukujengea Jumba kubwa utadhani Kasri la Wafalme na wewe bila haya au aibu unalipokea kwa bashasha bila kujali kuwa nchi hii bado ni masikini sana na bado ina uhitaji mkubwa sana wa kila senti kwenda kuondoa umasikini wa kutisha wa watu wetu.

Ninafahamu kuwa mlijitungia sheria kuwa mstaafu akistaafu basi apewe pakeji nono ikiwemo kujengewa nyumba, licha ya kwamba hukuwa rais wakati sheria hiyo inatungwa, lakini ulikuwemo serikalini wakati inatungwa, baadae ukawa rais na hukuirekebisha hiyo sheria!, Na wala hujawahi kusikika popote kuonyesha kutofurahishwa na Mzigo mzito wa sisi wananchi kuwagharamieni nyinyi wastaafu kupitia kodi zetu.

Ndugu Jakaya Rais mstaafu, hebu niambie, wewe kama mtu uliyefanya kazi kwenye chama na serikali toka mwaka 1975 hadi mwaka 2015 ina maana hadi ulipostaafu, yaani jumla ya miaka 40 hukujenga nyumba yoyote?, ina maana miaka yote hiyo ulikuwa unapanga? —ina maana uliacha kujenga nyumba ukitarajia kuwa one day utakuwa raisi ili ukistaafu ujengewe nyumba kwa kodi za wananchi?

Ndugu Jakaya, Je nyumba yako ya Msoga haikutoshi? Unataka tena hilo hekalu ulipeleke wapi? Unataka umuachie urithi Ridhiwani?, umuachie urithi Miraji?, Umuachie urithi Mama Salma kupitia jasho la wananchi?

Nakuandikia barua hii nikitambua kuwa ulikuwa kijana wa TANU wewe, na nyie vijana wa kipindi hicho mlikuwa mkituaminisha kuwa mmeiva kwenye Itikadi za kukataa "unyonyaji",Najiuliza, kama mliweza kuwaaminisha wananchi kuwa siyo wanyonyaji na wakawaamini mpaka kuwapa nyadhifa kubwa huko mbeleni, mbona basi mnageuka wanyonyaji katika kustaafu kwenu?—Ina maana mikogo yenu ile ya kipindi hicho ya kujifanya siyo wapenda kujitajiriisha kwa kutumia kivuli cha nyadhifa zenu ilikuwa feki?. Mnapata wapi usingizi wa kuenjoy mimali yote hii katikati ya lindi zito la umasikini wa watu wenu tena kwa kujitajirisha kupitia jasho lao?

Ndugu Jakaya, mimi sitaki kukueleza umasikini wa nchi hii kwa sababu unaujua, Umeujua ukiwa bado kijana na unaujua ukiwa mzee—Hebu tutazame sisi wananchi walalahoi machoni, ambao masilahi yetu tunaambiwa hatuwezi kupata kwanza kwa sababu uchumi wa nchi umeshuka, kisha tuambie ndugu Jakaya, hilo hekalu lako ulilojengewa na serikali uliyopambana sana kuiweka madarakani linatusaidiaje sisi wananchi kuondoa adha za ukosefu wa maji, Ukosefu wa madawa, ukosefu wa madawati, upungufu wa ajira kwa vijana wetu, masilahi ya wakulima na wafanyakazi?

Ndugu Jakaya, wewe unalipwa asilimia 80 ya mshahara wa rais aliyeko madarakani, hivyo ndivyo nyie wanene mlivyojipangia, Unashindwaje kwa mshahara kujijengea nyumba nyingine ukiihitaji mpaka serikali ikujengee Hekalu lote hilo kwa kodi za wananchi?

Najua unaweza kusingizia kuwa eti hivyo ndivyo sheria inavyotaka, lakini je kwani ungekataa kujengewa hilo hekalu ungelazimishwa?, Na kama ukilazimishwa kwani huwezi kulikataa?

Nakuandikia haya huku nikijua kuwa Rais Mkapa alijengewa Jumba lake, Mwinyi akajengewa Kasri lake na wewe leo umekabidhiwa Hekalu lako. Katika wote hao nimeamua nikuandikie wewe barua hii ya wazi kwa sababu Mzee Mkapa hatunaye, hawezi kujibu, Mzee Mwinyi ni mtu mzima sana, ni dhahiri anasukumiziwamo tu, Ila wewe bado una nguvu uko active na bila shaka unafuatilia kwa karibu sana yanayojiri nchi hii!

Kuna swali moja tu ningependa unijibu, JE TANU ILIWAFUNDISHA VIJANA WAKE MKIPATA MADARAKA AU KUSTAAFU MGEUKE WANYONYAJI?

Jakaya nakuomba kwa heshima na taadhima, wewe umeshiba, wenye njaa nchi hii ni wengi, wananchi wenye uhitaji wasioweza kumudu mahitaji yao ya msingi ni wengi, Hilo hekalu lako linaweza kujenga maelfu ya vyumba vya madarasa kusaidia watoto ambao wanafaulu darasa la saba lakini hawawezi kuendelea kutokana na upungufu wa madarasa nchini. Hilo hekalu lako ni zaidi ya Zahanati 50, Hilo hekalu lako ni zaidi ya madawati 5000.

Hebu niambie Jakaya mtu mwenye majumba, una familia yenye kipato kizuri, Unawezaje kukubali kuwa na Hekalu lote hilo kwa jasho la wananchi wenye uhitaji wa kila senti ya jasho lao?

Tafadhali rudisha hilo hekalu kwa wananchi liwasaidie, ukifanya hivyo utakuwa muungwana sana!

Marais wastaafu ukimuondoa Nyerere sio wasafi. Wote wamejenga mahekalu yao. Umri wa Mwinyi n Kikwetu majumba haya ya nn? Basi badilisheni sheria mseme mnajengea wtt. Lkn ni wtt gani watenda kukaa huko wakati n wao wanatafuta jinsi ya kuishi n familia zao kwenye miji yao. Haiwezekani wtt wa Kikwete kujazana kwenye nyumba/ hekalu moja. Plse Kikwetu rudisha nyumba hii serikalini iuzwe fedha itakayopatikan isaidie jamii. Kuna kaya inakunywa maji kwenye mabawa n mifugo.
 
Nendeni mkabadili kwanza kifungu cha Sheria ya mafao ya viongozi wa Taifa ndipo utekeleze unachotaka. Otherwise walaumu wabunge wenu ambao wanapitisha Sheria mbaya kama hizi
 
Mimi bado namkubali Babu wa taifa mzee wetu Nyerere. Yule mzee MUNGU ampe amani ya kudumu na amfutie adhabu kali za makosa yake ya kibinadamu. Ila mzee yule alionyesha utu na uzalendo kwa vitendo.

Alikataa kujengewe nyumba kule kwake butiama.

Aliwachomololea JWTZ kama sio JKT kumjengea barabara kuelekea kwake.

Familia yake iliishi maisha ya kawaida kabisa, mama maria alikuwa akila chakula anacholima kwa mikono yake.

Watoto wa Babu wa taifa aliwapiga marufuku kuingia katika siasa kwa mchezo wa kurithi nyayo zake. Watoto wake wameanza kushiriki siasa baada ya kifo chake.

Aliishi kwa mshahara wake na hakupenda marupurupu yasiyo ya lazima

Alikuwa na nafasi ya kutuuza au kujipatia milki na ufalme wa rasilimali na hakukuwa wa kumpinga miaka ile maana aliogopwa kama malaika pia taifa lilikuwa na ushamba na exposure ndogo kwa 90%. Ila akawa muungwana akaridhia kuwapa kijiti wenzake na yeye kubakia kuwa mshauri wa chama na viongozi.

Yeye ndio kisababishi kikubwa sana za vita dhidi ya matabaka ambayo pengine tusingekuwa serious au tungekuwa na viongozi takataka kama wa sasa basi tungejikuta tupo katika maisha mabaya sana ya wachache kuhodhi taifa na wengi kuwa mashakani.

Mzee Nyerere ndie musisi wa umoja wa taifa kupitia lugha ya kiswahili. Leo unaweza kwenda mkoa wowote na ukaongea na wenyeji wa huo mkoa bila shda na mkaelewana.

Leo maisha ya mjini ndio kimbilio la wengi na watu wanaishi bila hata ya kuulizana maswali ya kibaguzi. Viongozi washenzi wachache wanashindwa kusimamia haya mambo especially kwenye eneo la utofauti wa dini na kujikuta wao wanaijua sana dini mbwa hawa tuwadhibiti wasituharibie jamio yetu.

Mzee nyerere kafanya mengi. Kwa yale machache aliyokosea tukunjue roho ila tumuenzi kwa mazuri ambayo hadi leo yanatuweka hapa na kujiita watanzania kwa uhodari na umaridadi.

MUNGU ibariki afrika, MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU wabariki watanzania. Lakini MUNGU baba walaani watu wanaojiita watanzania na kutwa kucha matendo yao yanalenga kuliangamiza taifa letu, walaani na kuwatokomeza hao mbwa. Milele Tanzania itasimama.
Mimi bado namkubali Babu wa taifa mzee wetu Nyerere. Yule mzee MUNGU ampe amani ya kudumu na amfutie adhabu kali za makosa yake ya kibinadamu. Ila mzee yule alionyesha utu na uzalendo kwa vitendo.

Alikataa kujengewe nyumba kule kwake butiama.

Aliwachomololea JWTZ kama sio JKT kumjengea barabara kuelekea kwake.

Familia yake iliishi maisha ya kawaida kabisa, mama maria alikuwa akila chakula anacholima kwa mikono yake.

Watoto wa Babu wa taifa aliwapiga marufuku kuingia katika siasa kwa mchezo wa kurithi nyayo zake. Watoto wake wameanza kushiriki siasa baada ya kifo chake.

Aliishi kwa mshahara wake na hakupenda marupurupu yasiyo ya lazima

Alikuwa na nafasi ya kutuuza au kujipatia milki na ufalme wa rasilimali na hakukuwa wa kumpinga miaka ile maana aliogopwa kama malaika pia taifa lilikuwa na ushamba na exposure ndogo kwa 90%. Ila akawa muungwana akaridhia kuwapa kijiti wenzake na yeye kubakia kuwa mshauri wa chama na viongozi.

Yeye ndio kisababishi kikubwa sana za vita dhidi ya matabaka ambayo pengine tusingekuwa serious au tungekuwa na viongozi takataka kama wa sasa basi tungejikuta tupo katika maisha mabaya sana ya wachache kuhodhi taifa na wengi kuwa mashakani.

Mzee Nyerere ndie musisi wa umoja wa taifa kupitia lugha ya kiswahili. Leo unaweza kwenda mkoa wowote na ukaongea na wenyeji wa huo mkoa bila shda na mkaelewana.

Leo maisha ya mjini ndio kimbilio la wengi na watu wanaishi bila hata ya kuulizana maswali ya kibaguzi. Viongozi washenzi wachache wanashindwa kusimamia haya mambo especially kwenye eneo la utofauti wa dini na kujikuta wao wanaijua sana dini mbwa hawa tuwadhibiti wasituharibie jamio yetu.

Mzee nyerere kafanya mengi. Kwa yale machache aliyokosea tukunjue roho ila tumuenzi kwa mazuri ambayo hadi leo yanatuweka hapa na kujiita watanzania kwa uhodari na umaridadi.

MUNGU ibariki afrika, MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU wabariki watanzania. Lakini MUNGU baba walaani watu wanaojiita watanzania na kutwa kucha matendo yao yanalenga kuliangamiza taifa letu, walaani na kuwatokomeza hao mbwa. Milele Tanzania itasimama.
Kwa hiyo wale vijana waliopewa madaraka huko serikalini waliotoka chadema nao ni wahuni?
 
Nendeni mkabadili kwanza kifungu cha Sheria ya mafao ya viongozi wa Taifa ndipo utekeleze unachotaka. Otherwise walaumu wabunge wenu ambao wanapitisha Sheria mbaya kama hizi
sheria zinatungwa na binadam, binadamu wenyewe ni wabunge na kupitishwa na rais kwa mtindo wa kulindana. hawa watu wanalindana wapo tayari kuwaumiza wananchi. mwendazake alitekeleza haya akijua akistaafu atapata jumba la kifahari na yeye, mwinyi amezawadiwa benz tena juzi tu. afrika bara la ajabu sana
 
Wewe ungepewa hekalu kama zawadi ungerudisha?

Dhamira yangu ingenisuta kama ningekuwa ndio Vasco Dagama kwani nilikwisha uziwa nyumba na serikali MIGOMBANI na ikatengenezwa, nina kijiji changu Msoga, mimi na familia yangu tuna investments na kipato cha kutosha hivyo ningekataa zawadi hiyo kwani kuikubali ni kukiuka maadili ya chama kilichonilea!!!
 
Barua ya wazi kwa Rais mstaafu Kikwete.

Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu

Nakuandikia barua hii mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuonesha kukasirishwa, kutopendezewa na kitendo cha serikali yetu kukujengea Jumba kubwa utadhani Kasri la Wafalme na wewe bila haya au aibu unalipokea kwa bashasha bila kujali kuwa nchi hii bado ni masikini sana na bado ina uhitaji mkubwa sana wa kila senti kwenda kuondoa umasikini wa kutisha wa watu wetu.

Ninafahamu kuwa mlijitungia sheria kuwa mstaafu akistaafu basi apewe pakeji nono ikiwemo kujengewa nyumba, licha ya kwamba hukuwa rais wakati sheria hiyo inatungwa, lakini ulikuwemo serikalini wakati inatungwa, baadae ukawa rais na hukuirekebisha hiyo sheria!, Na wala hujawahi kusikika popote kuonyesha kutofurahishwa na Mzigo mzito wa sisi wananchi kuwagharamieni nyinyi wastaafu kupitia kodi zetu.

Ndugu Jakaya Rais mstaafu, hebu niambie, wewe kama mtu uliyefanya kazi kwenye chama na serikali toka mwaka 1975 hadi mwaka 2015 ina maana hadi ulipostaafu, yaani jumla ya miaka 40 hukujenga nyumba yoyote?, ina maana miaka yote hiyo ulikuwa unapanga? —ina maana uliacha kujenga nyumba ukitarajia kuwa one day utakuwa raisi ili ukistaafu ujengewe nyumba kwa kodi za wananchi?

Ndugu Jakaya, Je nyumba yako ya Msoga haikutoshi? Unataka tena hilo hekalu ulipeleke wapi? Unataka umuachie urithi Ridhiwani?, umuachie urithi Miraji?, Umuachie urithi Mama Salma kupitia jasho la wananchi?

Nakuandikia barua hii nikitambua kuwa ulikuwa kijana wa TANU wewe, na nyie vijana wa kipindi hicho mlikuwa mkituaminisha kuwa mmeiva kwenye Itikadi za kukataa "unyonyaji",Najiuliza, kama mliweza kuwaaminisha wananchi kuwa siyo wanyonyaji na wakawaamini mpaka kuwapa nyadhifa kubwa huko mbeleni, mbona basi mnageuka wanyonyaji katika kustaafu kwenu?—Ina maana mikogo yenu ile ya kipindi hicho ya kujifanya siyo wapenda kujitajiriisha kwa kutumia kivuli cha nyadhifa zenu ilikuwa feki?. Mnapata wapi usingizi wa kuenjoy mimali yote hii katikati ya lindi zito la umasikini wa watu wenu tena kwa kujitajirisha kupitia jasho lao?

Ndugu Jakaya, mimi sitaki kukueleza umasikini wa nchi hii kwa sababu unaujua, Umeujua ukiwa bado kijana na unaujua ukiwa mzee—Hebu tutazame sisi wananchi walalahoi machoni, ambao masilahi yetu tunaambiwa hatuwezi kupata kwanza kwa sababu uchumi wa nchi umeshuka, kisha tuambie ndugu Jakaya, hilo hekalu lako ulilojengewa na serikali uliyopambana sana kuiweka madarakani linatusaidiaje sisi wananchi kuondoa adha za ukosefu wa maji, Ukosefu wa madawa, ukosefu wa madawati, upungufu wa ajira kwa vijana wetu, masilahi ya wakulima na wafanyakazi?

Ndugu Jakaya, wewe unalipwa asilimia 80 ya mshahara wa rais aliyeko madarakani, hivyo ndivyo nyie wanene mlivyojipangia, Unashindwaje kwa mshahara kujijengea nyumba nyingine ukiihitaji mpaka serikali ikujengee Hekalu lote hilo kwa kodi za wananchi?

Najua unaweza kusingizia kuwa eti hivyo ndivyo sheria inavyotaka, lakini je kwani ungekataa kujengewa hilo hekalu ungelazimishwa?, Na kama ukilazimishwa kwani huwezi kulikataa?

Nakuandikia haya huku nikijua kuwa Rais Mkapa alijengewa Jumba lake, Mwinyi akajengewa Kasri lake na wewe leo umekabidhiwa Hekalu lako. Katika wote hao nimeamua nikuandikie wewe barua hii ya wazi kwa sababu Mzee Mkapa hatunaye, hawezi kujibu, Mzee Mwinyi ni mtu mzima sana, ni dhahiri anasukumiziwamo tu, Ila wewe bado una nguvu uko active na bila shaka unafuatilia kwa karibu sana yanayojiri nchi hii!

Kuna swali moja tu ningependa unijibu, JE TANU ILIWAFUNDISHA VIJANA WAKE MKIPATA MADARAKA AU KUSTAAFU MGEUKE WANYONYAJI?

Jakaya nakuomba kwa heshima na taadhima, wewe umeshiba, wenye njaa nchi hii ni wengi, wananchi wenye uhitaji wasioweza kumudu mahitaji yao ya msingi ni wengi, Hilo hekalu lako linaweza kujenga maelfu ya vyumba vya madarasa kusaidia watoto ambao wanafaulu darasa la saba lakini hawawezi kuendelea kutokana na upungufu wa madarasa nchini. Hilo hekalu lako ni zaidi ya Zahanati 50, Hilo hekalu lako ni zaidi ya madawati 5000.

Hebu niambie Jakaya mtu mwenye majumba, una familia yenye kipato kizuri, Unawezaje kukubali kuwa na Hekalu lote hilo kwa jasho la wananchi wenye uhitaji wa kila senti ya jasho lao?

Tafadhali rudisha hilo hekalu kwa wananchi liwasaidie, ukifanya hivyo utakuwa muungwana sana!

Hii ni Barua Nzuri sana ila sijui kama WATAIPENDA. Yeye na WAFUASI WAKE NJAA. Ambao hawa hulamba na kula miguuni pa Viongozi mafisadi.
 
Back
Top Bottom