Mzee Jakaya Kikwete kuhudhuria kikao cha maridhiano kati ya Rais Lungu na Rais Mteule Hichilema ni fundisho kwetu?

The monoparty really does exists in Africa too... Nakumbuka kuna mtu aliwahi kuniambia 2012 kwamba ungefunga macho na kitambaa cheusi ukasikiliza presidential debate ya Marekani Kati ya Romney na Obama ,ungesema wao ni mtu mmoja,,they had the same talking points except on cultural stuff.. Nnayoyaona leo kenya kwenye uchaguzi na hata kwetu Tz hapa ,nimepata uthibitisho tosha....
Nani huyo alikuambia hivyo? Ukiingia YouTube utathibitisha alichokuambia ni utopolo.
 
Namshangaa Kikwete. Badala ya kuwapatanisha SSH na FAM ambao wote wako Dar Tena ataongea nao Kiswahili anakwenda kuwapatanisha wakalamba wakati Lungu tangu Jana alishakubali kushindwa? Mambo ya ajabu sana.
Kulikua na umuhimu gani kupanda ndege kwenda huko wakati wazambia walishaamua.?
Gaidi hapatanishwi
 
Gaidi hapatanishwi
Kuna mbunge wa CCM alikutwa na silaha bila kibali lakini kwasababu Ni mwarabu aliachiwa huru. Mbowe hajakutwa hata na kisu Cha kukatia vitunguu na nyanya anaitwa gaidi.
Lkn si mnaona mnavyoendelea kudhalilika......?
 
Kuna mbunge wa CCM alikutwa na silaha bila kibali lakini kwasababu Ni mwarabu aliachiwa huru. Mbowe hajakutwa hata na kisu Cha kukatia vitunguu na nyanya anaitwa gaidi.
Lkn si mnaona mnavyoendelea kudhalilika......?
Huyu hachomoki asilani,hizo ni drama tu za wanaomtetea pasipo kuujua uhalisia,ushahidi wake umemkalia vibaya,ni gaidi abadan,ishukuruni serikali kwa kuling'amua hili mapema,huenda hata wewe ungeathirika direct au indirect na ugaidi wake
 
Back
Top Bottom