Mzee Jakaya Kikwete kuhudhuria kikao cha maridhiano kati ya Rais Lungu na Rais Mteule Hichilema ni fundisho kwetu?

Kuna dalili kuwa maneno ya mwalimu yatatimia kabla ya 2025! Mwalimu alisema upinzani wa kweli utatoka Ccm na hii Chanjo ya Corona inaweza kutuletea wapinzani wenye maana na kuweza kuipiku CCM siyo wapuuzi kama akina Tundu Lissu. Time will tell maana hii move ya Gwajima na akina Polepole ni hatari kwa CCM.
Mkuu nakuunga mkono kwa 100%. Kinachoendelea sasa hivi CCM ni hatari mno. TZ itakuwa kama Zambia endapo kina polepole na wote ambao wameonyesha upinzani wasipotulizwa na kurudishwa kwenye mstari kwa njia za kidiplomasia. Ubabe ukitumika lazima chama kisambaratike.
 
Kikwete hakupanda ndege kwenda kusimamia mazungumzo ya maridhiano, alikwenda Zambai kama muangalizi wa uchaguzi toka kundi la nchi za SADC!
Tangu nchi za SADIST zianze kuwa waangalizi wa hizi chaguzi lini walitoa ushauri chanya?
Zimbabwe waliiba kura SADISTS walikuweko na wakawapongeza walioiba kura. Nikukumbushe kilichotokea Malawi? Aliyeiba kura walimpongeza Hadi mahakama ilipotengua matokeo wakaanza kumpongeza mshindi mpya.
SADIST is a club of " scratch my back i will scratch yours" sort of guys.
 
Hahaahah ndugu seems like you hate these SADC guys so much....hadi umewabadili jina from SADC to SADIST! ahahahah
 
Kikwete ni NGUZO muhimu sana ktk Utengamano wa nchi za Kiafrika.
ni miongoni mwa Viongozi waliobaki wenye Ushawishi Mkubwa Afrika na baadhi nchi Duniani.
kwa kifupi ni Hazina kubwa sana.
Mungu aendelee kumlinda na kumpa hekima na busara zaidi.
 
Mkuu nakuunga mkono kwa 100%. Kinachoendelea sasa hivi CCM ni hatari mno. TZ itakuwa kama Zambia endapo kina polepole na wote ambao wameonyesha upinzani wasipotulizwa na kurudishwa kwenye mstari kwa njia za kidiplomasia. Ubabe ukitumika lazima chama kisambaratike.
Umeongea sahihi
 
Lowassa alidanganywa akitoka Ccm Atatoka na Wabunge 150 na Wenyeviti wa Mikoa 30, Wajumbe wa NEC 170 hivyo Ccm itasambaratika

Waliomshawishi kwa ahadi hizo wakabaki CCM na wakapiga kampen za nguvu kumsambaratisha baadae

Akina Hayati Hassan Moyo nao waludanganywa Znz wakitoka Ccm itapasuka

View attachment 1894884
Hii inatufundisha nini watanzania? Je, Kikwete na Mzee Mwinyi watajifunza hili na kutuletea hapa nchini. Hawa waliitwa wakae na wakubali matokeo, hapakuwepo na vurugu wala matumizi ya askari Polisi kufanya lolote bali kukubaliana na tume huru ya Uchaguzi.

Huku tutafanikisha jitihada kama hii ya kisiasa lini.
Wakati huo huo Tanzania , nchi ambayo Kikwete alikuwa Rais ilifanya kwa mara ya mwisho uchaguzi wa kueleweka kiasi kidogo mwaka 2015......tangu hapo kumekuwa na uhuni na maigizo ya uchaguzi yaliyoasisiwa na Dikteta Magufuli
 
Huu uzi umenifanya nigundue bado upinzani hapa Tanzania hasa CHADEMA una watu wajinga na wapumbavu sana. JK kaenda Zambia kama mwangalizi wa Jumuiya ya madola lakini mijitu haielewi na kudai kwanini asipatanishe CHADEMA na Samia? Yaani mwanadiplomasia mkubwa duniani kama JK apatanishe Rais Samia na vichaa wa CHADEMA wasio na adabu? Anaanzaje kupoteza muda na kina Lissu?.... lissu bila aibu anatamka hadharani kwamba alipigiwa simu na rais akagoma kuongea kwamba yuko bize.... tafadhali wapinzani tuache upumbavu.
Anaweza kua agent wa mabeberu kumbuka.
 
Lowassa alidanganywa akitoka Ccm Atatoka na Wabunge 150 na Wenyeviti wa Mikoa 30, Wajumbe wa NEC 170 hivyo Ccm itasambaratika

Waliomshawishi kwa ahadi hizo wakabaki CCM na wakapiga kampen za nguvu kumsambaratisha baadae

Akina Hayati Hassan Moyo nao waludanganywa Znz wakitoka Ccm itapasuka
Mkuu uko sahihi ila zama hubadilika. Tuko nyakati ambazo kuna mabadiliko makubwa mno isitoshe corona tayari imeangusha miamba kadhaa muhimu kwa CCM.
 
View attachment 1894884
Hii inatufundisha nini watanzania? Je, Kikwete na Mzee Mwinyi watajifunza hili na kutuletea hapa nchini. Hawa waliitwa wakae na wakubali matokeo, hapakuwepo na vurugu wala matumizi ya askari Polisi kufanya lolote bali kukubaliana na tume huru ya Uchaguzi.

Huku tutafanikisha jitihada kama hii ya kisiasa lini.
CCM ni mtoto wa nyoka na atabaki kuwa hivyo milele.
 
Anaacha kuzima kwanza moto kwake anaenda kuzima kwingine.Inept!
Il0nd.jpg
 
Namshangaa Kikwete. Badala ya kuwapatanisha SSH na FAM ambao wote wako Dar Tena ataongea nao Kiswahili anakwenda kuwapatanisha wakalamba wakati Lungu tangu Jana alishakubali kushindwa? Mambo ya ajabu sana.
Kulikua na umuhimu gani kupanda ndege kwenda huko wakati wazambia walishaamua.?
Mkuu, nakubaliana na wewe kiujumla kwamba sisi watanzania ni wanafiki sana tuko bize kujihusisha na kutatua migogoro ya wenzetu huku hapa kwetu tunajifanya hatuoni,Nyerere alitumia muda wake mwingi hapo Burundi hadi akafa,kaingia Mkapa nae hivyohivyo,Kikwete Kenya hapo mambo haya haya ya uchaguzi huku wakijua nyumbani hakuko sawa,Hapo Zanzibar kipindi cha Mkapa vurugu na mauwaji makubwa ya kule Pemba kwa watu waliokuwa wanakimbilia shimoni Mombasa lakini kimya,hadi kakiri kufanya makosa kwenye kitabu chake mambo ya ajabu haya.
 
Unajua madhara ya majirani kuwa na machafuko? Kwenda kuwasuluhisha ni kuepusha Tanzania kubeba mzigo mzito mbeleni
 
The monoparty really does exists in Africa too... Nakumbuka kuna mtu aliwahi kuniambia 2012 kwamba ungefunga macho na kitambaa cheusi ukasikiliza presidential debate ya Marekani Kati ya Romney na Obama ,ungesema wao ni mtu mmoja,,they had the same talking points except on cultural stuff.. Nnayoyaona leo kenya kwenye uchaguzi na hata kwetu Tz hapa ,nimepata uthibitisho tosha....
Kwanini mkuu

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Huyo cartoonist ni mpumbavu sana. JK alienda Zambia kama mwangalizi wa uchaguzi wa jumuiya ya madola. Aliyoyafanya Zambia ni mojawapo ya kazi aliyotumwa. Hakwenda kwa sababu ya suluhu.
Je hapa nyumbani unaona pako vizuri kwa Sasa? Waliomtuma Zambia mbona hawajamtuma arekebishe nyumbani kabla ya kwenda kwa jirani.
Hao waliomtuma Wana interest gani na Zambia na sisi tumewakosea Nini? Mbona mwaka Jana hawakutuma mtu Tanzania?
 
Nimegundua wapinzani wa nchi zingine wana hekima na busara ya hali ya juu sana

Wanaonesha wana kila viashiria vya kuaminiwa kuongoza Taifa kubwa la Zambia

Pia wanaendesha siasa safi, zisizo na mihemko wala maneno ya matusi na kebehi, hawana viashiria vya vurugu na uvunjifu wa amani. Wamestahili kushinda kwakuwa wameaminiwa

Tuna kila sababu ya sisi huku bongo kujifunza namna ya kufanya siasa safi,,, sio kamtu kanatoka jela alafu kanapanda jukwaani kanasema nitahakikisha wembe niliotumia kumnyoa Mwendazake nitamnyoa huyó Mamá yenu alafu vinaota eti wananchi watawakabidhi hii nchi
hivi huwa mnalipwa sh ngapi kuandika ujinga kama huu? Unaijua historia ya huyo rais mpya au unaharisha tu ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom