Mzee Jakaya Kikwete kuhudhuria kikao cha maridhiano kati ya Rais Lungu na Rais Mteule Hichilema ni fundisho kwetu?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
2.jpg

Hii inatufundisha nini watanzania? Je, Kikwete na Mzee Mwinyi watajifunza hili na kutuletea hapa nchini. Hawa waliitwa wakae na wakubali matokeo, hapakuwepo na vurugu wala matumizi ya askari Polisi kufanya lolote bali kukubaliana na tume huru ya Uchaguzi.

Huku tutafanikisha jitihada kama hii ya kisiasa lini.
 
The monoparty really does exists in Africa too... Nakumbuka kuna mtu aliwahi kuniambia 2012 kwamba ungefunga macho na kitambaa cheusi ukasikiliza presidential debate ya Marekani Kati ya Romney na Obama ,ungesema wao ni mtu mmoja,,they had the same talking points except on cultural stuff.. Nnayoyaona leo kenya kwenye uchaguzi na hata kwetu Tz hapa ,nimepata uthibitisho tosha....
 
Namshangaa Kikwete. Badala ya kuwapatanisha SSH na FAM ambao wote wako Dar Tena ataongea nao Kiswahili anakwenda kuwapatanisha wakalamba wakati Lungu tangu Jana alishakubali kushindwa? Mambo ya ajabu sana.
Kulikua na umuhimu gani kupanda ndege kwenda huko wakati wazambia walishaamua.?
 
View attachment 1894884
Hii inatufundisha nini watanzania? Je, Kikwete na Mzee Mwinyi watajifunza hili na kutuletea hapa nchini. Hawa waliitwa wakae na wakubali matokeo, hapakuwepo na vurugu wala matumizi ya askari Polisi kufanya lolote bali kukubaliana na tume huru ya Uchaguzi.

Huku tutafanikisha jitihada kama hii ya kisiasa lini.
Ni suala la uamuzi wa wananchi ndiyo unaipa chama ushindi. Hakuna ushindi wa kuletwa na Rais Kikwete au Rais yeyote wa nje.
 
Namshangaa kikwete. Badala ya kuwapatanisha SSH na FAM ambao wotewako Dar Tena ataongea nao kiswahili anakwenda kuwapatanisha wakalamba wakati Lungu tangu Jana alishakubali kushindwa? Mambo ya ajabu sana.
Kulikua na umuhimu gani kupanda ndege kwenda huko wakatiwazambia walishaamua.?
JK ni miongoni mwa viongozi wanafki kuwahi kutokea
 
Nimegundua wapinzani wa nchi zingine wana hekima na busara ya hali ya juu sana

Wanaonesha wana kila viashiria vya kuaminiwa kuongoza Taifa kubwa la Zambia

Pia wanaendesha siasa safi, zisizo na mihemko wala maneno ya matusi na kebehi, hawana viashiria vya vurugu na uvunjifu wa amani. Wamestahili kushinda kwakuwa wameaminiwa

Tuna kila sababu ya sisi huku bongo kujifunza namna ya kufanya siasa safi,,, sio kamtu kanatoka jela alafu kanapanda jukwaani kanasema nitahakikisha wembe niliotumia kumnyoa Mwendazake nitamnyoa huyó Mamá yenu alafu vinaota eti wananchi watawakabidhi hii nchi
 
Mkuu utakuwa huelewi mahali! Ina maana hicho kimalkia kimekupiga chenga HH aliposema hao wawili wa mwisho walikuwa waangalizi wa uchaguzi wakiwakilisha AU? Kuna uwezekano kwamba walikuwa bado wako Zambia.
Namshangaa kikwete. Badala ya kuwapatanisha SSH na FAM ambao wotewako Dar Tena ataongea nao kiswahili anakwenda kuwapatanisha wakalamba wakati Lungu tangu Jana alishakubali kushindwa? Mambo ya ajabu sana.
Kulikua na umuhimu gani kupanda ndege kwenda huko wakatiwazambia walishaamua.?
 
View attachment 1894884
Hii inatufundisha nini watanzania? Je, Kikwete na Mzee Mwinyi watajifunza hili na kutuletea hapa nchini. Hawa waliitwa wakae na wakubali matokeo, hapakuwepo na vurugu wala matumizi ya askari Polisi kufanya lolote bali kukubaliana na tume huru ya Uchaguzi.

Huku tutafanikisha jitihada kama hii ya kisiasa lini.
Pumbavu zake! Kikwete ni mnafiki na hafai katika upatanishi wa aina yo yote!
 
Si aliwaletea Tume huru, Kuhoji uhalali wa matokeo ya Uchaguzi wa Rais Mahakamani na kupunguza Madaraka ya Rais kwenye Katiba Mpya kwny Bunge la Katiba mkaisusia hadi akubali na hoja ya Serikali tatu,

Basi endeleeni ndeleeni kusubiri Katiba mpya yenye serikali tatu na Tume huru ya Uchaguzi kwa pamoja,

Mngekuwa na akili mngekubali Katiba mpya yenye tume huru ili mkishinda mlete hizo serikali 3

Yeye Mnafiki Mjanja weee Mzalendo Mzembe & muoga
Pumbavu zake! Kikwete ni mnafiki na hafai katika upatanishi wa aina yo yote!
 
Namshangaa kikwete. Badala ya kuwapatanisha SSH na FAM ambao wotewako Dar Tena ataongea nao kiswahili anakwenda kuwapatanisha wakalamba wakati Lungu tangu Jana alishakubali kushindwa? Mambo ya ajabu sana.
Kulikua na umuhimu gani kupanda ndege kwenda huko wakatiwazambia walishaamua.?
Ukimuamini Kikwete unaweza ukahisiwa una Ujuha mwingi kwani hakuna Kiongozi mwenye PhD ya Unafiki aliyewahi kuiongoza Tanzania kama yeye / huyu Kikwete wenu.
 
Tanzania ambayo wakati fulani ilikuwa ni nchi yenye ustaarabu wa kiwango fulani, kwa sasa ndiyo inaonekana kuwa nchi ya hovyo katika demokrasia, kulinda haki za watu na utawala wa sheria. Ni nchi ambayo inahitaji kufundishwa ustaarabu wa Dunia, maana yenyewe inaongozwa na watu primitive wanaotaka watu wote wawe primitive kama wao.
 
Mkuu utakuwa huelewi mahali! Ina maana hicho kimalkia kimekupiga chenga HH aliposema hao wawili wa mwisho walikuwa waangalizi wa uchaguzi wakiwakilisha AU? Kuna uwezekano kwamba walikuwa bado wako Zambia.
Alishindwa kuwa muangalizi wa uchaguzi Zanzibar anakwenda kuwa muangalizi Zambia ?
Kwa uelewa wako wewe bila kumung'unya maneno na bila Soni, Uchaguzi kule visiwani ulikua wa haki?
 
Back
Top Bottom