Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,664
- 1,374
Huo ndo ukweli wenyewe kwa maendeleo hakuna hata moja unaloweza kumlinganisha msoga na magu lbd upigaji.Wewe ni mjinga tu! Hakuna Rais aliyekarabati shule kongwe kama Magufuli na kutatua changamoto za madawati mashuleni! Pia alitoa ada mashuleni naona unaongea kama huna kichwa!