Mzee Jakaya Kikwete awaasa viongozi kuwa kujishusha hakukufanyi usiwe kiongozi. Kujimwambafai hakukufanyi uwe kiongozi zaidi

Sawa kada mwandamizi tumekusikia
Kusema Nyerere alikuwa Msikivu ni uongo

Rejeeni hotuba zake za kugeuka Jiwe na kukataa kuachana na Azimio la Arusha

Jina la ‘Haambiliki ‘ chanzo ni ubishi wake sio usikivu

JPM anafuata Nyayo za Kambarage na sie wa Hovyo hovyo tupo nae bega kwa bega
 
Duuu
Screenshot_20191008-142131_Facebook.jpeg
Screenshot_20191008-142123_Facebook.jpeg
Screenshot_20191008-142113_Facebook.jpeg
 
MMh, JK ulituachia chuma kinasaga gololi... Vyuma vimebana, hatuna grisi... Tena ulijigamba .."nawaachia chum hicho!"...
 
Asnte kwa taarifa ngoja nijongee Itv......Nimetoka TBc Magufuli amewaambia Wanafunzi wa kike mwanaume akikwambia wewe mzuri mjibu mzuri mama yako....nimezima TV.
Nilicho gundua kiongozi kwenye ziara zake hua mwishoni anachoka sana kumbuka ieziara ya MBEYA mwisho alichemsha pia
 
Kusema Nyerere alikuwa Msikivu ni uongo

Rejeeni hotuba zake za kugeuka Jiwe na kukataa kuachana na Azimio la Arusha

Jina la ‘Haambiliki ‘ chanzo ni ubishi wake sio usikivu

JPM anafuata Nyayo za Kambarage na sie wa Hovyo hovyo tupo nae bega kwa bega
:oops: :oops:Mbona kama haueleweki kwa mchango huu mkuu kama unakataa mara unakubali....
 
Mzee wetu Jk, hatujasahau bado kwa kile ulichokifanya kipindi cha mchakato wa katiba mpya? Mzee Warioba na watanzania kwa ujumla hatukuamini ulivyotuingiza kichakani we ukapita hivi,hivyo bado tuna kumbukumbuku vizuri sana.
Ila hatuachi kukumbuka kale ka msamiati uliko tuachia, AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO.
 
Mkwere naye anazuunguukaaa anaaazuunngguuukaa...utadhani siye mkwere bhana!!

na wakati kinyago kakifinyanga mwenyewe

aya meko na mwanao hilo jiwe linawahusu.
 
Sahivi hoja zinajibiwa kwa mtindo mpya

•Tumejenga barabara
•sisi ni donor kantri
•tulichezea sana
•mabeberu na wapigaji wanakwamisha juhudi
•tuko in laiti traki
•tutembee kifua mbele

Zingine mjazie
 
Meko akipata huu ujumbe basi JK ajiandae!
Madaktari wa Muhimbili walipogoma kipindi yeye akiwa rais walikuwa na hoja ya msingi. Yeye badala ya kujibu kwa hoja akatumia rungu la usalama. Dr Ulimboka akashikwa akapigwa na kuachwa poroni ili ajifie mwenyewe. Hakuwa analijua hili?
 
Siku zote mtu ambaye hana hoja hutumia rungu kujibu hoja

Back
Top Bottom