Mzee Hemed Mkali: CCM hakuna mgogoro wala tatizo lolote mambo ni shwari kabisa acheni viherehere

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Baada ya kumsikiliza mkongwe huyu wa chama cha mapinduzi mzee Mkali kwamba CCM mambo ni shwari nimeridhika kabisa na sasa naendelea na ujenzi wa chama.

Mzee Mkali na mzee Mustapha Songambele nimekuwa nikiwaelewa sana tokea kuzaliwa kwa CCM 1977.

Kumbe hao kina Kibajaji, Musukuma, Nape and co wanatafuta kiki tu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
 
Hata Hitler majeshi ya Nato yalipokuwa yanaingia Berlin alikuwa akiwaaminisha wajerumani kwamba wao ndio wanamshinda adui...
Kwa umri wa Mzee Mkali inawezekana pua anajua kwamba Mwalimu angali hai hadi sasa...
 
Hahahahaha JF bhana
Ongezea Yule waziri wa habari wa Iraq wakati wa vita na USA
 
Hata Hitler majeshi ya Nato yalipokuwa yanaingia Berlin alikuwa akiwaaminisha wajerumani kwamba wao ndio wanamshinda adui...
Kwa umri wa Mzee Mkali inawezekana pua anajua kwamba Mwalimu angali hai hadi sasa...

Hawa ndio wenye Chama na wenye uchungu nacho

Halafu anaibuka Msomali kujifanya anakijua sana Chama
 
Mr john mm nasubiria kauli ya mwenyekiti. Hao wazee wako ambao kwa sasa hawana nguvu yoyote hapo ccm hawasaidii chochote.
Yes kuna sintofaham .ila mwambie mzee style yake ya kuficha maradhi imepitwa na wakati
Baada ya kumsikiliza mkongwe huyu wa chama cha mapinduzi mzee Mkali kwamba CCM mambo ni shwari nimeridhika kabisa na sasa naendelea na ujenzi wa chama.

Mzee Mkali na mzee Mustapha Songambele nimekuwa nikiwaelewa sana tokea kuzaliwa kwa CCM 1977.

Kumbe hao kina Kibajaji, Musukuma, Nape and co wanatafuta kiki tu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Ni hayo machache
Maendeleo hayana vyama!
 
Hii inching bila Waze itayumba sana hata mimi sioni mgogoro.japo wadukuaji karnataka waanzishe tutawashughulikia
 
Back
Top Bottom