Mzee Hassan Nassor Moyo: Kauli yake juu ya Muungano na hatma ya Uanachama wake ndani ya CCM

Kakke, Nguruvi3, abdulahsaf, takashi, Jasusi,

..binafsi nimesikitishwa na quality ya maswali waliyokuwa wakiuliza, haswa Jussa.

..Jussa alimuuliza Mzee Moyo kama kuna wakati Mwalimu Nyerere na Sheikh Karume walikuwa hawaongei. Binafsi sijui suala hilo litamsaidia vipi Mzanzibari na Mtanganyika wa kawaida.

..Kwa hapa tulipofika nadhani wanasiasa na wanasheria wangekaa pembeni. badala yake mjadala wa muungano uchukuliwe na watu wa taaluma na kada nyingine kama WACHUMI, WAFANYABIASHARA, etc etc.
 
Last edited by a moderator:

Unajua maswali ya namna hiyo ni kutaka kujenga hoja kuwa Karume hakukubali muungano na Nyerere alilazimishwa.

Hili litahamasisha wazanzibar kuendelea na chuki zao dhidi ya Tanganyika.
Unajua sasa hivi WZNZ hawana hoja yoyote ya msingi wanabaki kutafuta kitu cha kusema tu.
Tumewaonyesha utegemezi wao, maana walikuwa wanasema Tanganyika inainyonya ZNZ.
Ni upuuzi wa hali ya juu sana kufikiria kuwa Tanganyika inaweza kuiibia ZNZ yenye bajeti ndogo kuliko soko la Kariakoo.
Utaiba nini kutoka bilioni 600 ? Bajeti ya ulinzi ya Tanganyika ni bilioni zaidi ya 700! Lakini wenzetu wakishatupiwa single wanaimba tu.

Wamesema TRA inakusanya mapato, tuna ushahidi kuwa hakuna hata senti inayovuka bahari.
Tukawaambi wakusanye mapato yao lakini kontena zikivuka bahari TRA ichukue pesa kama kontena za ughaibuni. Wakafyata. Kontena zote zinaingia bara, wanachotaka ni kufanya bara soko kodi zibaki kwao. Uchoyo huu wa kipuuzi lazima ufike mwisho.

Mkuu Joka Kuu hawa wenzetu kilichojaa moyoni ni chuki na sidhani kama wachumi na Wafanyabiashara wanaweza kuondoa chuki hiyo! Ukishajiona bora kinachofuata ni chuki.
 
Kimberly basi wanajiibia wenyewe Bandarini, ule utaratibu wa kusameheana na kupunguziana kimwinyi kodi iLife Bara na Tra wasichukue.
 
Enzi za marehemu karume angethubutu kuubeza muungana angeungana na kina marehem kasim hanga
 
Kakke, takashi, Nguruvi3, abdulahsaf,

..naona hawa waheshimiwa wanapenda sana kulalamika.

..Jussa alikuwa mbunge ktk bunge la muungano, nini kilimzuia kupeleka hoja zake kuhusu kero za muungano?

..zaidi, Jussa ni mjumbe wa baraza la wawakilishi, je, nini kimemzuia kuwasilisha hoja ya kutangaza mgogoro wa muungano?

..mimi nadhani hawa wameridhika na hii nafasi yao ya kuwa walalamishi siku zote.

Mkuu JokaKuu,

Hayo malalamiko itafika wakati yatakua katika level nyengine...Masuala ya Muungano yalikua yanaogopwa kuzungumzwa hadharani ,lakini leo yana zungumzwa ...Kuna kila dalili za kua hii nchi itakumbwa na balaa la kujitakia...Wenye macho haambiwi tazama.
 
Hassan-Nassor-Moyo.jpg

Mh Mzee Moyo Muuasisi wa Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar

VIDEO- MUUNGANO NAUJUWA KAMA JINA LANGU ‘HASSAN NASSOR MOYO' | Mzalendo.net Part 1

VIDEO- MUUNGANO NAUJUWA KAMA JINA LANGU ‘HASSAN NASSOR MOYO' 2 | Mzalendo.net Part 2

VIDEO- MUUNGANO NAUJUWA KAMA JINA LANGU ‘HASSAN NASSOR MOYO' 3 | Mzalendo.net Part 3

www.mzalendo.net
Waswahili walisema mavi ya kale hayanuki!
Changanganya na zako.
 
msikilize na kumtazama mzee Nassoro moyo akizungumza hapa kwenye semina ya wajumbe wa baraza la wawakilishi kina Jussa.

Last edited by a moderator:
Hivi Ndio Uhuru wa kujieleza huu mbona sipati picha na hawa vibaraka vya CCM au Ndio mabalozi wa JK wametumwa kufanya hivi?............ukweli utajilikana tu na haki ya znz kujitenga itakuja tuuu
 
Attachments

  • MZEE-MOYO.jpg
    MZEE-MOYO.jpg
    392 KB · Views: 150
View attachment 60472
Mzee Moyo(ambae alikuwa waziri wa sheria ktk Serikali ya Marehemu Karume na ni miongoni waasisi wa muungano wachache waliobakia huko Zanzibar) amkana Ali Ameir asema si Muasisi wa Mapinduzi wala si
Muasisi wa Muungano

Asema yupo tayari kurudisha kadi ya CCM

''Hawa Wana CCM wanaodai kuwa turudishe kadi za CCM ni wana CCM uchwara hakuna mwana CCM kindakindaki aliedai sisi turudishe kadi za CCM'' alisema Mzee Moyo huku akiendelea kusema kuwa Ali Ameir si muasisi wa Mapinduzi wala si Muasisi wa Muungano na hajawahi kuwa hata Memba wa Baraza la Mapinduzi''

Nao Vijana wa Umoja wa Kitaifa na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu walimuhakikishia Mzee Hassan Nassor Moyo kuwa wapo wapamoja nae na kama atarudisha kadi ya CCM nao watarudisha kadi hizo na kumfata atakapo elekea.

Tayari Vijana wa Umoja wa Kitaifa wamekwisha towa tamko lao la indhari dhidi ya wana CCM wanaowakaripia na kuwatukana Wawakilishi pamoja na Wana CCM wanaotowa mawazo ya Muungano wa Mkataba na kuonya kuwa hali hiyo itahatarisha mchako wa Katiba Mpya.

Kwa nini walikaa muda wote huo.Je wameshawanunua ho vijana walionyuma ya Mzee Moyo.
Hatua nzuri kuelekea Ukombozi wa Zanzibar.

Alichosema ni ukweli ukizingatia alikuwa waziri wa sheria na muasisi wa mapinduzi. Nepi na Amir juu yao wakitema au wakimeza
 
Kumbe bado wanautaka muungano............."tuwe na muungano wa mkataba" mara "Urais wa muungano wa kupokezana" n.k

Mbona Tanganyika waogo hivyo. Wekeni wazi mnataka muungano au laa!

Acheni woge kusikiliza wenzeni jipambanueni!!
 
Mkuu JokaKuu,

Hayo malalamiko itafika wakati yatakua katika level nyengine...Masuala ya Muungano yalikua yanaogopwa kuzungumzwa hadharani ,lakini leo yana zungumzwa ...Kuna kila dalili za kua hii nchi itakumbwa na balaa la kujitakia...Wenye macho haambiwi tazama.

Takashi,

tatizo lipo kwa jirani zenu wa Tanganyika. Wao mpaka leo wameshikwa na Ububu na Uziwi katika kuongelea na hata kujadili huo Mvungano wenu.

Znz wapo huru kuzungumzia muungano lakin upande wa Tgk ni mabubu lakin ni wataalamu kweli wa kusikiliza Znz wanasemaje na kuanza kupinga.

Tuwaombee mola awaepushe na uoga na kuwa wenye kusimamia ukweli na haki zao na kuwaepusha na kunung'unika na kulalamika ovyo.
 
Kakke, Nguruvi3, abdulahsaf, takashi, Jasusi,

..binafsi nimesikitishwa na quality ya maswali waliyokuwa wakiuliza, haswa Jussa.

..Jussa alimuuliza Mzee Moyo kama kuna wakati Mwalimu Nyerere na Sheikh Karume walikuwa hawaongei. Binafsi sijui suala hilo litamsaidia vipi Mzanzibari na Mtanganyika wa kawaida.

..Kwa hapa tulipofika nadhani wanasiasa na wanasheria wangekaa pembeni. badala yake mjadala wa muungano uchukuliwe na watu wa taaluma na kada nyingine kama WACHUMI, WAFANYABIASHARA, etc etc.

Joku kuu.

Nafikiri waZnz wapo huru kujadili na hata kufanya makongamano na mihadhwara kuusasambua muungano na kuweka bayana zake. Somo hili limewaweka pazuri waZnz kuelewa madhwira ya uvundo wa muungano huo na ndio maana uelewa wao ndio unaotia khofu jirani zao wa Bara.

Tgk wamekuwa hakuna forums za kuzungumza ikiwemo makongamano na semina kuilimishana kuhusu faida na khasara za muungano kwa waTgk. Kukosekana kwa ilmi hii kwa raia wa Tgk ndio maana wamekuwa wakitumika katika kupitisha katiba pendekezwa.

Kwa mtazamo mdogo tu utaona Serikali ya JMTz inakhofia Znz katika kupitisha katiba pendekezwa lakin kwa upande wa Tgk wanaona itakuwa kama kumsukuma mlevi.

Mimi ningeshauri Tgk waache uoga na kuwa wawazi katika kujadili muungano na kupeana ilmu za muungano ili kuondosha malalamiko na manung'uniko yanayoletwa na raia wake kuwa wanaumizwa na muungano lakin bado wanaung'ang'ania muungano huo.

Tuwe wawazi.

..umesema kweli.

..sisi wa-Tgk hatuna uelewa mpana kuhusu muungano kama wenzetu wa-Znz.

..huku Tgk vita vya ufisadi ndiyo hoja yenye mashiko kuliko suala la muungano.
 
..umesema kweli.

..sisi wa-Tgk hatuna uelewa mpana kuhusu muungano kama wenzetu wa-Znz.

..huku Tgk vita vya ufisadi ndiyo hoja yenye mashiko kuliko suala la muungano.

Kama utautazama na kuuchambua kwa jicho la KIUCHUMI basi utagundua muungano una ufisadi mkubwa wa kuliko ESCROW

au EPA
 
..huyu anapoteza muda wa watu tu.

..muungano wa mkataba ndiyo kitu gani?

..mbona Nyerere na Karume walisaini mkataba??
Ni Kheri Nyerere na Karume wange weka sahihi mkataba wa miaka 99, ikiisha hiyo watu wakae chini kuutafakari upya muungano.
 
Mwanasiasa mkongwe na mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar, Hassan Nassor Moyo amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mkoani Tanga
Duh...!.
Huyu ndiye shuhuda pekee wa kusainiwa muungano wetu adhimu, aliyebaki kuwa hai.
Kifo hiki maana yake mashuhuda wote wa kusainiwa kwa The Articles of The Union Between Tanganyika and Zanzibar, wametangulia mbele ya haki.
Iwapo CCM itashindwa Zanzibar, Nini Majaaliwa ya Muungano?
RIP Mzee Hassan Nassor Moyo.
Inna lillah wainna ilayhi rajiuna

P
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom