Mzee Hassan Nassor Moyo: Kauli yake juu ya Muungano na hatma ya Uanachama wake ndani ya CCM

Wewe unaetaka Muungano uvunjike kabisa , mimi na wewe na Uamsho, Nguruvi3 ni kundi moja. Lakini kila mtanganyika na mzanzibari ( individuals ) wana haki ya kua na maoni tofauti na yako wewe... Wazanzibari wote wanataka Zanzibar yenye mamlaka kamili .
Tunatofauti katika uhusiono gani baina ya Tanganyika na Zanzibar uwe? Wapo wachache wanaolipwa na CCM , kulazimisha mfumo huu uliyopo sasa uendelee. Wapo wanaotaka mkataba na wapo wasiotaka kabisa wale niliowataja hapo mwanzo.
Mwisho wa yote suluhu itapatikana kwa kura ya maoni. Na hicho ndicho ambacho mpaka sasa watawala bado wanakiogopa. As for myself , I truly like your slogan ( let znz go !) ha ha ha...

Takashi,

..asante, na mimi nakuunga mkono 100%.

..sasa maadamu wewe umejitambulisha kwamba unatoka Zanzibar, je una idea yoyote ile wale wa-ZNZ wanaotaka "muungano wa mkataba" wanapendekeza mambo gani yawepo ktk huo "mkataba"?

..kura ya maoni inaogopwa hata na wafuasi wa Uamsho kama Mansour Himid. Hoja ya Mansour ni kwamba kuna wa-Znz wengi huku Tanganyika, inakadiriwa D'Salaa wapo 350,000, ambao wakipewa nafasi kupiga kura, upande unaotaka KUDUMISHA MUUNGANO utashinda.

..je, msimamo wako kuhusu kura ya maoni ni upi? je, wa-Znz wanaofaidi matunda ya muungano walioko huku Tanganyika nao wapewe nafasi ya kupiga kura ya maoni?

..suala lingine ambalo ningependa kujua msimamo wako ni suala la URAIA. Umesema unataka muungano uvunjwe. Je, utakapovunjwa how should Tanganyika deal na wa-Znz walioko huku?
 
Mkuu joka kuu unacheza 'rafu' maana unapiga chini ya mkanda, please ni upper cut na jab zinzoruhusiwa! ha ha ha ha ha

Hapo nilipo bold, Hakuna Mzanzibar hata mmoja kuanzia Nassoro Moyo, mwanasheria wa Mji Mkongwe, Maalimu, Takashi, Baru baru, Ally Salehe, Ahmed Rajab kwa uchache tu anayeweza kujibu ni kitu gani kiwe cha mkataba! hakuna!

Sidhani mzn wa kawaida anayeimba nyimbo asiyoijua maana yake anaweza kukujibu. Tangu tumeanza mjadala miaka mingi hakuna jibu wanataka mkataba wa nini. Ukinisoma hapo juu nimeweka wazi kuwa kila linalofikiriwa liwe liwe la mkataba wao hawataki.

Sasa Takashi, acha hadithi jibu hizo nondo za joka kuu! Twende na facts

Kura ya maoni haitaki Vuai, Mwinyi mdogo, Mwinyi AH, Jumbe, Karume na mama yake pale Mikocheni, na WZNZ 350.
Wanajua kura ya maoni maana yake ni wao kurejea kwenye dhiki.period!

Anyway, Mkuu Takashi hube tujibu basi hayo aliyosema mkuu
 
Watu wengine bana sasa kama anataka kudai Jamhuri ya Watu wa Zanzibar kwanini asirudishe kadi tu ya CCM na kuasisi chama kitakachodai Jamhuri hiyo? Tena kutokana na uzoefu wake angeweza kuwa ni msaada mkubwa sana kwa wale wanaotaka Zanzibar itokwe kwenye Muungano.

weweee uyu mzee wa wav humtaki mema kule znz kuna msiv kuliko aliopelekwa dr. lazima ende taratibu na huu ni mwanzo mzuri.
 
Watu wengine bana sasa kama anataka kudai Jamhuri ya Watu wa Zanzibar kwanini asirudishe kadi tu ya CCM na kuasisi chama kitakachodai Jamhuri hiyo? Tena kutokana na uzoefu wake angeweza kuwa ni msaada mkubwa sana kwa wale wanaotaka Zanzibar itokwe kwenye Muungano.

weweee uyu mzee wa watu humtaki mema kule znz kuna msiv uliko aliopelekwa dr. lazima ende taratibu na huu ni mwanzo mzuri.
 
Takashi,

..asante, na mimi nakuunga mkono 100%.

..sasa maadamu wewe umejitambulisha kwamba unatoka Zanzibar, je una idea yoyote ile wale wa-ZNZ wanaotaka "muungano wa mkataba" wanapendekeza mambo gani yawepo ktk huo "mkataba"?

..kura ya maoni inaogopwa hata na wafuasi wa Uamsho kama Mansour Himid. Hoja ya Mansour ni kwamba kuna wa-Znz wengi huku Tanganyika, inakadiriwa D'Salaa wapo 350,000, ambao wakipewa nafasi kupiga kura, upande unaotaka KUDUMISHA MUUNGANO utashinda.

..je, msimamo wako kuhusu kura ya maoni ni upi? je, wa-Znz wanaofaidi matunda ya muungano walioko huku Tanganyika nao wapewe nafasi ya kupiga kura ya maoni?

..suala lingine ambalo ningependa kujua msimamo wako ni suala la URAIA. Umesema unataka muungano uvunjwe. Je, utakapovunjwa how should Tanganyika deal na wa-Znz walioko huku?

Bw Jokakuu,

Kama ulivyo nielwa msimamo wangu, ingekuwa sahihi kumpata pro-mkataba akakutosheleza kwa majibu. Lakini kwa ufupi wanaotaka Muungano wa Mkataba , wamelenga kuipa uhuru zaidi Zanzibar kuliko uhuru uliopo sasa hivi. Zanzibar haikuungana na Tanganyika ili ipoteze mamlaka ya kujiamlia mambo yake ya kisiasa ,kiuchumi na kijamii.

Hayo yote yametokea kwa sababu ya Muungano. Zanzibar imelazimishwa kujitoa OIC, na Tanganyika. Zanzibar haina uwezo wa kuweka mikataba ya kimataifa, Zanzibar haiwezi kukopa katika benki za kimataifa bila ya ridhaa ya Tanganyika. Zanzibar haiwezi kuwa na ushirikiano na mashirika ya kimataifa bila ya kibali cha Bw MEMBE.

Zanzibar ina serikali yake ya mapinduzi na ina wizara ambazo si za Muungano. Sasa katika kutafuta maendeleo Zanzibar imebanwa na Tanganyika kwa sababu ya Muungano. Hii imepelekea pro-mkataba kudai mabadilko katika Muungano ambao hautoinyima Zanzibar kutafuta fursa za kimaendeleo ,ikiwemo kujiunga na OIC.

Mambo gani yawe ya mkataba? hili suala litajibiwa vizuri na pro-makaba (mimi ni pro-LET ZNZ GO!) . Lakini ikumbukwe kwamba huu Muungano uliyopo sasa ,hauku kusudiwa uwe wa milele. Muungano huu ulikusudiwa uwe wa miaka 10 tu, baadae viongozi wakae wafanye tathimini ya faida na hasara. Baada ya hapo kama nchi mbili zitaamua kuendelea na muungano , basi taratibu za kisheria zingetumika tena kuimarisha muungano.

Lakini, Julias hakuwa na nia safi , alitumia ujanja na kupelekea kumuua Karume ili atimize azma yake.

Mh Mansour , sio mwana Uamsho. Ametamka wazi katka baraza la ww kilishi , ila ni propaganda ya CCM kumuita kila mzanzibari asiyekubaliana na Muungano uliopo sasa kua ni Uamsho. Mansour ni CCM , ila yeye ni CCM makini asiyekubali kuburuzwa na mawazo ya "zidumu fikra za mwenyekiti hata kama mwenyekiti amefariki ".

Kuhusu kura ya maoni kila mzanzibari apewe haki hiyo popote pale alipo. Kuhusu uraia, hilo ni suala kisheria za uhamiaji . Watanganika wanaoishi ZNZ na wazanzibari wanaoishi Tanganyika nadhani kutakua na haki maalum ya kuchagua Urai . After all, hapa hakuna vita ila kila nchi ipate haki yake ya kuwa nchi.
 
Mkuu Takashi leo umekana kuwa hujui mambo ya mkataba!
Sheikh maji yamefika shingoni, miaka miwili mimi na wewe tumejadiliana kuhusu hili, hongera sana kwa kutambua kuwa hujui mkataba uwe wa nini! Nina hakika wale wenzangu wabeba madema, washona nyavu, wagemaji, warabai na Makuli hawajui hata maana ya neno makataba!
Wanachojua ni kuimba nyimbo kama cheke chea, sasa usinilaumu nikianza kuongelea mambo ya ufahamu na elimu.

Mkuu Takashi, hili la Nyerere kumuua Karume ni uongo unaozushwa na Waarabu. Kamuulize Jumbe, Mwinyi AH, Nassoro Moyo(kama utamuahidi chochote) watakueleza kwa kina kwanini Karume alichapwa risasi na Wazanzibar moja ikiwa ya kichwani. Wznz wanapokosa hoja husingizia muungano au Nyerere.
Mvuvi akikosa samaki anasema muungano, mkulima akishindwa kupalilia minazi anasema Nyerere, kule maskani wakipata hali za maradhi kama constipation wanasema Nyerere. Al hasiri ukiwa na akili kidogo tu utawapata wa kutosha.

Mkuu Joka kuu tujipongeze maana baada ya miaka 2 hatimaye mkuu Takashi amekubali kwa fikra, akauamini moyo wake na kukiri kwa ulimi kuwa Hajui mkataba utahusu nini! Lakini pia tumpongeze kwasababu kukiri ni ishara ya ukomavu na si udhaifu.

Mkuu Takashi enenda makondeni waliko wana wa kizanzibar na uwape habari hii, baasi nawe utakuwa mchungaji ili kondoo wasipotee. Kamwite Nonda ili amjuze Baru baru na wote watafakari ujumbe huu mwanana.
Na wakati ukifika waite wana wa taifa la znz warejee kutoka makondeni na nyikani wakiwa na amani ya tumaini jipya katika nchi yao, nchi ya neema, mito ya asali.
 
Bw Nguruvi3,

Kama una kumbukumbu za kutosha, mimi nilikua napenda Muungano. Lakini kwa sababu ya Tanganyika kutokua na nia njema dhidi ya Zanzibar ndio mumetupoteza watu kama mimi. Miaka 48 ya kero za Muungano, hapa pana nia safi kweli ? Sasa CCM imeanza kupoteza vigogo wake Zanzibar. Hii msimlaumu mzanzibari , kwani huwezi kuwafanya watu wote wajinga wakati wote.

Mzee wangu mmoja asili yake Tanganyika , kwahiyo nilikua na sababu ya msingi kabisa kuupenda Muungano. Lakini sasa umekuwa sio Muungano bali nchi moja kuimiliki nyengine, na hila kamwe ( kwa kituruki wanasema "asla") hatutokubali. Kero za Muungano ndio zimezaa Uamsho, na sasa Uamsho inapendwa kuliko chama chochote cha kisiasa Zanzibar.

Kuniuliza mimi nikupe ufafanuzi wa wanaotaka mkataba ,wakati wewe unaelewa kua mimi sitaki kabisa Muungano. Ni sawa na kumuuliza Mh Zitto ,akufafanulie sera za CUF.

Zanzibar ilikuwepo kabla ya Muungano, hapakua na asali wala mito ya maziwa. Na itarudi kama ilivyokua na kupata heshima kama nchi kamili na kuwa na hadhi ya kiinchi katika medani za kimataifa. Miaka 48 ya Muungano imeleta ufukara mkubwa kwa jamii ya wazanzibari. Tuna haki ya kuukataa Muungano . LET ZNZ GO! ha ha ha.
 
Mkuu Takashi enenda makondeni waliko wana wa kizanzibar na uwape habari hii, baasi nawe utakuwa mchungaji ili kondoo wasipotee. Kamwite Nonda ili amjuze Baru baru na wote watafakari ujumbe huu mwanana.
Na wakati ukifika waite wana wa taifa la znz warejee kutoka makondeni na nyikani wakiwa na amani ya tumaini jipya katika nchi yao, nchi ya neema, mito ya asali.
Al maarufu Nguruvi3.

Umesoma hadithi hizi https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...zanzibar-au-ni-wao-wametuganda-kama-kupe.html

Tafakari hili nililolisema hapa.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ni-wao-wametuganda-kama-kupe.html#post4365241

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-malawi-kutangaza-vita-na-tz-leo-au-laa.html

Mkuu bado hutaki tupime chogo zetu? Au nawe umeshaamshwa? UAMSHO, MUAMSHO:
Let Zanzibar go! Nchi yetu tutaiita nini vile? Azania au Mzizima?
Kwani Tanganyika lina ubaya gani, mkuu.

Umesikia Clinton anataka mafuta kule Malawi? Tumeshajitayarisha?
 
Bw Jokakuu,

Kama ulivyo nielwa msimamo wangu, ingekuwa sahihi kumpata pro-mkataba akakutosheleza kwa majibu. Lakini kwa ufupi wanaotaka Muungano wa Mkataba , wamelenga kuipa uhuru zaidi Zanzibar kuliko uhuru uliopo sasa hivi. Zanzibar haikuungana na Tanganyika ili ipoteze mamlaka ya kujiamlia mambo yake ya kisiasa ,kiuchumi na kijamii.

Hayo yote yametokea kwa sababu ya Muungano. Zanzibar imelazimishwa kujitoa OIC, na Tanganyika. Zanzibar haina uwezo wa kuweka mikataba ya kimataifa, Zanzibar haiwezi kukopa katika benki za kimataifa bila ya ridhaa ya Tanganyika. Zanzibar haiwezi kuwa na ushirikiano na mashirika ya kimataifa bila ya kibali cha Bw MEMBE.

Zanzibar ina serikali yake ya mapinduzi na ina wizara ambazo si za Muungano. Sasa katika kutafuta maendeleo Zanzibar imebanwa na Tanganyika kwa sababu ya Muungano. Hii imepelekea pro-mkataba kudai mabadilko katika Muungano ambao hautoinyima Zanzibar kutafuta fursa za kimaendeleo ,ikiwemo kujiunga na OIC.

Mambo gani yawe ya mkataba? hili suala litajibiwa vizuri na pro-makaba (mimi ni pro-LET ZNZ GO!) . Lakini ikumbukwe kwamba huu Muungano uliyopo sasa ,hauku kusudiwa uwe wa milele. Muungano huu ulikusudiwa uwe wa miaka 10 tu, baadae viongozi wakae wafanye tathimini ya faida na hasara. Baada ya hapo kama nchi mbili zitaamua kuendelea na muungano , basi taratibu za kisheria zingetumika tena kuimarisha muungano.

Lakini, Julias hakuwa na nia safi , alitumia ujanja na kupelekea kumuua Karume ili atimize azma yake.

Mh Mansour , sio mwana Uamsho. Ametamka wazi katka baraza la ww kilishi , ila ni propaganda ya CCM kumuita kila mzanzibari asiyekubaliana na Muungano uliopo sasa kua ni Uamsho. Mansour ni CCM , ila yeye ni CCM makini asiyekubali kuburuzwa na mawazo ya "zidumu fikra za mwenyekiti hata kama mwenyekiti amefariki ".

Kuhusu kura ya maoni kila mzanzibari apewe haki hiyo popote pale alipo. Kuhusu uraia, hilo ni suala kisheria za uhamiaji . Watanganika wanaoishi ZNZ na wazanzibari wanaoishi Tanganyika nadhani kutakua na haki maalum ya kuchagua Urai . After all, hapa hakuna vita ila kila nchi ipate haki yake ya kuwa nchi.

Takashi,

..sidhani kama Nyerere alihusika na kifo cha Karume.

..Wanamapinduzi walianza kumalizana wenyewe kwa wenyewe na ninaamini hicho ndicho kilichopelekea Karume kuuwawa.

..Nakuomba uwe mkweli, na utueleze ni Mzanzibari gani ameuawa ktk ardhi ya Tanganyika wakati Nyerere akiwa madarakani.

..Pia kabla ya kifo cha Karume kulikuwa na majaribio 14 ya kujaribu kumuondoa madarakani. Bila muungano, au bila Nyerere, uwezekano mkubwa kungetokea mapinduzi mengine Zanzibar.

..Kuhusu OIC, na manung'uniko yenu, naomba kukumbusha kwamba Tanganyika tulivunja uhusiano wetu na Ujerumani Magharibi pale walipojaribu kutulazimisha tuvunje uhusiano wetu na Ujerumani Mashariki. Kumbuka kwamba Zanzibar ndiyo waliokuwa wa kwanza kuwa na mahusiano na Ujerumani Mashariki.

..Sasa huwezi kusikia Tanganyika tunawalaani Wazanzibari kwa kukosa misaada ya Ujerumani Magharibi. Katika muungano wowote lazima kuwa na spirit ya "nipe-nikupe."

..Suala la OIC sidhani kama kuna ulazima wa kuliangalia kama kero na kusema ndiyo sababu ya kuvunja muungano. After all tuna mashirikiano[kidiplomasia, kibiashara,kiutamaduni] na nchi nyingi zilizoko ktk jumuiya ya OIC. Katika mazingira hayo sidhani kama kujiunga na OIC kutaleta mabadiliko makubwa ktk hali ya uchumi ya Zanzibar au Tanganyika.

..Tatizo lingine ni kwamba hamuutendei haki muungano, and in the process u put yourself down. Mfano mzuri ni madai yako kwamba Zanzibar haiwezi kuwa na mashirikiano ya kimataifa bila kupata kibali cha Membe. Unasahau kwamba wizara hiyo ni yetu sote, na kuna wakati iliongozwa na Salim Ahmed Salim, na Ahmed Hassa Diria, wote ni Wazanzibari. Hata sasa hivi Naibu waziri wa mambo ya nje anatokea Zanzibar.

..Kwa mtizamo wangu Zanzibar haijabanwa na Tanganyika. Labda utueleze, other than OIC, ni chombo gani ambacho ZNZ ilipenda kuwa na mahusiano nacho lakini imekwamishwa na muungano.

..Suala la kukopa nje sina utaalamu nalo, lakini I am tempted to speculate kwamba ZNZ inakopesheka zaidi ikiwa imefungamana na Tanganyika kuliko ikiwa yenyewe. Mtakapogundua mafuta hali hiyo itabadilika lakini in the mean time nadhani kuna advantage mnazopata kwenye muungano.

..Mwisho, ni hatua gani za kiuchumi ambazo ZNZ ingependa kuchukua lakini mkazuiwa na muungano au Tanganyika? Je, muungano ndiyo umeangusha zao la karafuu ambalo ndiyo lilikuwa mhimili wa uchumi wa ZNZ? Je, muungano umewazuia wa-ZNZ kuwa sekta mbadala ya uchumi zaidi ya karafuu? Je, utalii umeshindwa ZNZ kutokana na muungano? Kwanini ZNZ na Tanganyika zinashindwa na Seychelles,Mauritius,Kenya,Egypt,Afrika Kusini, ktk kuvutia watalii?

..Kwa maoni yangu wa-ZNZ mnaburuzana,hamko honest with each other, ktk hizi harakati za kuvunja muungano. Sababu hiyo ndiyo inayopelekea kuibuka kwa mawazo ya ajabu-ajabu kama vile "muungano wa mkataba", au "muungano wa Swiss", au hata serikali 3. Kama muungano ni mbaya kiasi hicho basi kungekuwa hakuna kumung'unya maneno ktk harakati za kuuvunja.
 
Watu wengine bana sasa kama anataka kudai Jamhuri ya Watu wa Zanzibar kwanini asirudishe kadi tu ya CCM na kuasisi chama kitakachodai Jamhuri hiyo? Tena kutokana na uzoefu wake angeweza kuwa ni msaada mkubwa sana kwa wale wanaotaka Zanzibar itokwe kwenye Muungano.

"sijategemea mtu mzima ninayekuheshimu kama wewe (japo najua una chuki sana na Znz!) kusema maneno kama haya! kwani si Msekwa na Rais Shein si wamewataka wana ccm watoe mawazo yao wayaonayo, japo chama kina sera yake kuhusu muungano? mzee Moyo alichosema yeye akinyang'anywa kadi kwa msimamo wake huo, yupo tayari. nchi kwanza vyama na sera zao baadae. tatizo wengie wenu mnafikiri huu mziki umezuka tu ..... ukweli ni "well organized plan" waZnz na udogo wetu tutabaki kuwa walimu wenu siku zote"
 
Tanganyika...naona itarudi muda si mrefu!!! Na itakuwa tanganyika huru kweli...zanzibar inaweweseka,wazanzibar hawajiamini na hawajui viongozi wao ni waoga na wamewekwa madarakani na kamati kuu ya chama cha mapinduzi...wataongea lakini hakuna mtu anayeweza kumfata kikwete kuongea naye kama hawautaki muungano!!!
 
Ahalan wasalaam mufti Nonda, Mzein lakini, Ramadhan Karimu!

Ha ha ha ha! haya ya Malawi yasikutie shaka, unajua walianza kabla ya Idd Amin. Nakumbuka enzi hizo tukisikia wakubwa wakiimba 'bandaaa wa malawii, katuvalia ngozi ya simba kututishia Watanzania, hatujali oh hatujali'

Baada ya Kichapo cha Amin Kimya.
Honestly we have the disciplined men and women in uniform, well experience in international military operation. From Seychelles to Comoro, Maputo to Luanda, Darfur to Lebanon, Bujumbura to Kinshasa. We know what it takes to engage into War.

The good news, come the worst we are guranteed the access to Blantyre from Mozambique, Lusaka, Kongo and Zimbabwe. Strategically we stand in a better position.

Turudi kwenye mada mufti,
Sijasikia ukijibu hoja naona unapapasa papasa halafu unakimbilia Malawi. Kumbuka border disputes ni kitu kilichopo kila kona ya dunia, kwahiyo Malawi has nothing to do with Muungano. By the way hata kama tutaingia vitani( sipendi hilo litokee) bado ZNZ haina mchango wowote! Kama upo niambie ni upi.

Hebu Nonda tunong'oneze, serikali 3 au Mkataba wanaohitaji WZNZ ni wa mambo gani? Mbona mnazunguka mbuyu tu mkiimba! Tuambieni nini mngependa kitokee. Nasema mngependa kitokee kwasababu licha ya kuwa na bendera, katiba, BLM, BLW, Rais, mipaka, mwanasheria wa mji mkongwe,wabunge, TV ya rangi ya kwanza Afrika, Wazanzibar wameshindwa kuandaa mswada wa kuvunja muungano. Wameshindwa!

Wameshindwa kwasababu kati yao, 350,000 wanaishi Tanganyika. Wanhofia hali ya ukwasi, ukata na umasikini pindi watakapoambiwa warejee kwenye nchi ya ahadi Zanzibar, nchi yenye neema na makimati, urojo na biriani kila kona kwa mgao. Ni hofu hiyo ndiyo inapelekea WZNZ wabaki wakimumunya maneno bila kujua wanasema nini. Hakuna anayesema muungano wa serikali 3 uendeshweje, au mkataba uwe wa nini

Hali ni mbaya pale mwasheria wa mji mkongwe (kwa uwezo wake hafai kuwa wa SMZ) anaposhauri tuwe na mungano kama wa Uswiss. Mwenyezi mungu amejalia BLW linamalizika maana tungesikia Mwansheria wa huyo mzaliwa wa kiembe samaki na aliyesomea kibanda maiti anashauri muungano uwe kama wa Marekani na Cuba!

Nikukumbushe tu kuwa hoja za WZNZ kuhusu mambo 11 kuongezwa zimekufa kifo cha mende baada ya kushindwa kutetea hata ongezeko moja tu linaloisadia Tanganyika.

Sasa ni wazi kuwa hata Sumatra inalipa bili za vyombo vya Ahmadinajade vilivyosajiliwa na Viongozi wa SMZ kutunisha matumbo yao.Mwakyembe kasema mwisho wa Madaraka yake ni chumbe.

Huo ni Mwanzo tu maana NECTA nao wanasema mwisho wa vyeti vya mtahiniwa wa ZNZ ni chumbe.
Huko maofisini tunasema mwisho wa ajira za mzn sasa ni chumbe.
Tanesco nao wanasema mwisho wa umeme wa zawadi ni Chumbe.
TIC nao watasema mwisho wa uwekezaji kutoka ZNZ ni chumbe.
Bandari wanasema mwisho wa makontena kutoka ZNZ kuingia bara bure ni Chumbe
Elimu ya juu wanasema mwisho wa kumlipia mznz ada ya bure ni Chumbe.

Watanganyika wanasema koti likikubana basi unalivua, LET ZNZ GO! Nothiing to lose, absolutely nothing
 
Huyu Mzee wetu na yeye MUAMSHO nini?

Kama kila anayetaka mabadiliko ya Muungano ni MUAMSHO, basi CHADEMA yote ni MUAMSHO. Inashangaza kwamba wazanzibar wanayoyataka kutoka kwa serikali ya CCM inakua ni MUAMSHO kwa mtazamo wa baadhi yetu!!!!.
 
Takashi,

..sidhani kama Nyerere alihusika na kifo cha Karume.

..Wanamapinduzi walianza kumalizana wenyewe kwa wenyewe na ninaamini hicho ndicho kilichopelekea Karume kuuwawa.

..Nakuomba uwe mkweli, na utueleze ni Mzanzibari gani ameuawa ktk ardhi ya Tanganyika wakati Nyerere akiwa madarakani.

..Pia kabla ya kifo cha Karume kulikuwa na majaribio 14 ya kujaribu kumuondoa madarakani. Bila muungano, au bila Nyerere, uwezekano mkubwa kungetokea mapinduzi mengine Zanzibar.

..Kuhusu OIC, na manung'uniko yenu, naomba kukumbusha kwamba Tanganyika tulivunja uhusiano wetu na Ujerumani Magharibi pale walipojaribu kutulazimisha tuvunje uhusiano wetu na Ujerumani Mashariki. Kumbuka kwamba Zanzibar ndiyo waliokuwa wa kwanza kuwa na mahusiano na Ujerumani Mashariki.

..Sasa huwezi kusikia Tanganyika tunawalaani Wazanzibari kwa kukosa misaada ya Ujerumani Magharibi. Katika muungano wowote lazima kuwa na spirit ya "nipe-nikupe."

..Suala la OIC sidhani kama kuna ulazima wa kuliangalia kama kero na kusema ndiyo sababu ya kuvunja muungano. After all tuna mashirikiano[kidiplomasia, kibiashara,kiutamaduni] na nchi nyingi zilizoko ktk jumuiya ya OIC. Katika mazingira hayo sidhani kama kujiunga na OIC kutaleta mabadiliko makubwa ktk hali ya uchumi ya Zanzibar au Tanganyika.

..Tatizo lingine ni kwamba hamuutendei haki muungano, and in the process u put yourself down. Mfano mzuri ni madai yako kwamba Zanzibar haiwezi kuwa na mashirikiano ya kimataifa bila kupata kibali cha Membe. Unasahau kwamba wizara hiyo ni yetu sote, na kuna wakati iliongozwa na Salim Ahmed Salim, na Ahmed Hassa Diria, wote ni Wazanzibari. Hata sasa hivi Naibu waziri wa mambo ya nje anatokea Zanzibar.

..Kwa mtizamo wangu Zanzibar haijabanwa na Tanganyika. Labda utueleze, other than OIC, ni chombo gani ambacho ZNZ ilipenda kuwa na mahusiano nacho lakini imekwamishwa na muungano.

..Suala la kukopa nje sina utaalamu nalo, lakini I am tempted to speculate kwamba ZNZ inakopesheka zaidi ikiwa imefungamana na Tanganyika kuliko ikiwa yenyewe. Mtakapogundua mafuta hali hiyo itabadilika lakini in the mean time nadhani kuna advantage mnazopata kwenye muungano.

..Mwisho, ni hatua gani za kiuchumi ambazo ZNZ ingependa kuchukua lakini mkazuiwa na muungano au Tanganyika? Je, muungano ndiyo umeangusha zao la karafuu ambalo ndiyo lilikuwa mhimili wa uchumi wa ZNZ? Je, muungano umewazuia wa-ZNZ kuwa sekta mbadala ya uchumi zaidi ya karafuu? Je, utalii umeshindwa ZNZ kutokana na muungano? Kwanini ZNZ na Tanganyika zinashindwa na Seychelles,Mauritius,Kenya,Egypt,Afrika Kusini, ktk kuvutia watalii?

..Kwa maoni yangu wa-ZNZ mnaburuzana,hamko honest with each other, ktk hizi harakati za kuvunja muungano. Sababu hiyo ndiyo inayopelekea kuibuka kwa mawazo ya ajabu-ajabu kama vile "muungano wa mkataba", au "muungano wa Swiss", au hata serikali 3. Kama muungano ni mbaya kiasi hicho basi kungekuwa hakuna kumung'unya maneno ktk harakati za kuuvunja.

Jokakuu,

Kama Julius hakuhusika na kifo cha Karume , Jee, unakubali kama kabla ya kifo cha Karume Julius na Karume walikua wana vita baridi? Julius hakufyatua risasi kumuua Karume ila yeye ndio aliyekuwa "master mind" . Karume alikua na ujasiri mkubwa na hakukubali kuburuzwa na Julius.

Julius alikua ana mkono mrefu, kumuua mtu hakuhitaji huyo mtu lazima awe katika ardhi ya Tanganyika. Kassim Hanga na wenziwe walipotea wakati wa Julius .

Kweli kulikua na majaribio ya kumpindua Karume, lakini hiyo idadi ya 14 naona inamashaka. Miaka ile sio Zanzibar tu hata Tanganyika yalikuwepo. Lakini sio kila mapinduzi ni mabaya.

Wizara ya mambo ya nje kuwahi kushikwa na wazanzibari haina maana kama hao watu waliinufaisha Zanzibar. Kinachotawala ni system, na hao watu wanakula viapo kutokwenda kinyume na hiyo system. Mpaka hapo muungano utakapo angaliwa upywa. Kwasasa hivi hata Jussa awe waziri wa mambo ya nje hawezi kubadilasha kitu.

OIC ,hata kama ingekuwa ni klabu ya dansi basi tunataka uhuru wa kuweza ku-dansi wakati wowote tukijisikia ku-dansi. Lakini tunaelewa kuwa Tanganyika imeshikiliwa na kanisa ,kwahiyo wanachofanya sasahivi ni kuendeleza mkono wa kanisa hadi Zanzibar. Najua hii ni taboo kwako , ila ukweli utabakia kua ukweli.

Zanzibar, imekuwa na mfumo wa vya vingi zamani kwahiyo kuwakuta wazanzibar wana mawazo tofauti ni kawaida. Tunacho kataa ni watanganyika kwa kupitia CCM ,kueneza siasa za kidikteta. Kila wanachokitaka wao ndio kiwe. Na hii ina backfire bila ya kuwa waangalifu , wanasaidia kukuza makundi yenye msimamo mkali.
 
..Jambo moja mnalokosea wa-ZNZ ni hili la kutokuwa honest with ur past. Kuna matatizo yameanza tangu kabla ya muungano na hayo ndiyo yaliyosababisha Mapinduzi, na kupelekea mauaji ya kikatili ktk awamu ya Karume senior. Msipokuwa wakweli ktk kutatua migogoro yenu ya kihistoria basi kuna uwezekano mkubwa sana wa kurudia makosa tena na tena.

..Kuhusu mauaji ya Karume, napata shida kuamini kwamba Nyerere ndiye aliyemuua. YES, Nyerere alikuwa na mkono mrefu, lakini hakuwa na tabia ya kuwauwa wapinzani wake. Nyerere aliwaweka kizuizini wale wote ambao aliwaona wakorofi. Balozi Kasanga Tumbo, Joseph Kasela Bantu, James Mapalala, Seif Bakari, Ramadhani Faki, wote walitiwa kizuizini.

..Mauaji ya kutisha wakati wa mapinduzi, na baada ya hapo ndiyo yaliyopelekea Karume kuuwawa. Pia wapo watu walioeleza kwamba aliyemfyatulia risasi Karume, alikuwa ni kijana ambaye alishaapa kulipiza kisasi cha matatizo yaliyomfika baba yake. Sasa ktk mazingira kama hayo ni vipi unadai kwamba Nyerere ndiye "mastermind."??

..Kassim Hanga na wenzake wote wamepotelea ktk ardhi ya ZNZ. I dont think ur being honest kujaribu kumhusisha Nyerere, na kumsafisha Karume na genge lake kwa kushiriki mauaji hayo.
 
Julius hakuwa innocent kama unavyotaka sisi tuamini. Tunamuomba Mwenyezi Mungu amhukumu na ampe azabu anayo stahili. Mambo mawili ya mwisho aliyafanya dhidi ya ZNZ , kabla ya kifo chake ni kuwanyima ushindi halali CUF katika uchaguzi wa mwanzo wa vyama vingi ZNZ. CUF ilishinda, ila Julius aliapa kuwa hawezi kuishi na kuona chama cha upinzani kinatawala Tanganyika au Zanzibar.

Yeye ndio aliyeweka njia kwa chama tawala kubadilisha matokeo ya kura dhidi ya upinzani, na hali hii inaendelea hadi sasa. Jambo la pili, ni yeye Julius aliye mlazimisha Salmini Amour ajitoe OIC. Tunajua alifanya yote haya kwa maslahi yake na kanisa Katoliki.

Tuanaporudi katika masuala ya Muungano, mimi naona watanganyika bado wanatawaliwa na kivuli cha mnae muita a.k.a Baba wa Taifa. Amewaachia khofu, woga na kutokujiamini . Mnataka watu wafikiri lakini wasifikiri zaidi ya Baba wa Taifa. Watu wawe na busara lakini isizidi busara za Baba wa Taifa.

Mimi naona mnahitaji mapinduzi ya fikra....LET ZNZ GO! ha ha aha...
 
jamani km tunataka tugawane misaada sawa na madeni pia mbona sisikii mtu akizungumzia madeni hasa wale wa mapinduzi daima?
 
Back
Top Bottom