Mzee Haji Mpili awa balozi wa kuzuia na Kupambana na Rushwa

Hapo ndio uwezo wao wa ubunifu ulipoishia​
View attachment 1895527
Mkuu wa wiliaya ya Rufiji kushoto pamoja na Mkurugezi wa halmashuri ya wilaya ya Rufiji (Kulia) wakimtambulisha balozi wakuzuia na kupambana na Rushwa mzee Haji Mpili jana wilayani humo
ccm bhana mara utasikia mzee ana date na zuchu mda c mrefu, ili watutoe kwenye reli ya kudai katiba mpya na Mbowe siyo gaidi
 
WalaRushwa wote wa Rufiji wamewekewa akiba ya kifurushi cha matusi ya mzee Mpili endapo watatiwa nguvuni
Huyu mzee anatukana sana na tena matusi ya nguoni sijui vilitumika vigezo gani kumpa huo ubalozi.

Kuna clip moja inasambaa mtandaoni akishusha matusi makali tena ya nguoni leo hii eti ni balozi wa rushwa wilayani kwake.

Tuna shida sana kama Taifa.
 
Hawa viongozi wajinga sana wanatakiwa kupambana na kutokomeza umasikini ulitawala katika wilaya ya rufiji. Kuna umasikini wa kilo.
 
Balozi katika ubora wake
FB_IMG_1626078844194.jpg
 
Back
Top Bottom