Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Ila alichofanyiwa CHADEMA hakikuwa sahihi, pamoja na madhaifu yake kama alikuwa hatakiwi aenge elezwa tuu na si kudhalilishwa namna ile, ni kweli CHADEMA tuna hasira kweli kweli na 'dola' lakini haikuwa sahihi kumbwagia hasira zetu Sumaye.

Nyie watu vipi lakini?

Mbona inakuwa kama vile ilikuwa ni lazima Sumaye ashinde?

Utasemaje "angeambiwa tu ili asigombee?"

Aaambiwe na nani sasa wakati kwenye uchaguzi wowote wa kidemokrasia muamuzi huwa ni sanduku la kura??

Tukubaliane tu kuwa, kinachoonekana wazi ndani ya Sumaye ni kuamini kuwa yeye ni maalumu (special) sana na kwamba kama ni uongozi ama cheo basi apewe tu kwenye kisahani!!

Hebu fikiri hili;

Kilichomtoa CCM mwaka 2015 ni baada ya kudhani ameonewa kwa jina lake kukatwa/kutoingia katika hatua fulani ktk chaguzi zao....

Sababu alizozitoa alipokuwa anahama chama kuja CHADEMA, ni hizihizi anazozitoa leo anapoamua kuondoka ktk chama hiki na hii ni baada ya kushindwa kupata cheo cha uenyekiti wa kanda kwa BALLOT BOX kumkataa...!!

Hivi mtu kama huyu utapata wapi credibility na ujasiri wa kumtetea na yeye mwenyewe kujitetea hata aaminike??

To me, all that he speaks is absolutely vanity!!
 
Mfiaukweli nimekwambia Huyo Mwalimu mliyekuwa naye ni Daddy Igogo. Na mlirekodiwa bila kujua sema kama unabisha niweke mzigo hapa na sauti zinasikika vyema japo kuna wakati mlijitahidi kupunguza sauti ila mic iliyokuwa karibu yenu ilifanya yake.
 
Sasa Mkuu, baba yangu anaingiaje hapa? Hoja yako ilikuwa Mbowe anaogopa kugombea Urais. Nami nimekwambia alishagombea. Punguza kuropoka!
Wewe ndiye uliropoka kwa kuniita mtoto. Kwa taarifa yako, mimi ni mkubwa kuliko babaako. Uwe na heshima. Sasa kama una ubavu, jibu hoja yangu ya kwanini aliacha kugombea Urais lakini anang'ang'ania kugombea uwenyekiti?
 
Mfiaukweli nimekwambia Huyo Mwalimu mliyekuwa naye ni Daddy Igogo. Na mlirekodiwa bila kujua sema kama unabisha niweke mzigo hapa na sauti zinasikika vyema japo kuna wakati mlijitahidi kupunguza sauti ila mic iliyokuwa karibu yenu ilifanya yake.

Hebu weka tusikie.
 
THE SEAL,
Two wrongs do not make a right. Sasa kwa vile CCM hakuna demokrasia wala maendeleo na CHADEMA napo ni sawa kutokuwa na demokrasia na maendeleo? I thought Chadema wapo pale ili kuikomboa nchi kutoka kwenye Ukiritimba wa CCM? Kumbe in reality CHADEMA ni worse kuliko hata hao CCM.
My dear you saying there is no democracy in chadema coz one person lost in an election is not fair at all, There are many chadema boses who lost and they agreed that its democracy.My point is simple my dear you cant judge a whole party via a single event where one has lost in a free and fair election, Why didnt he provied tangable evidence proving that he was rigged out,Let him go, we are still there fighting till TZ IS AND WILL BE FREE, barikiwa sana dada na weekend jema
 
Jana nilmpigia simu Mh Frederick Sumaye mpinzani mstaafu nikamuuliza hivi unakwama wapi akanijibu nimekwama kwenye kona akakata simu . Nikakumbuka kipindi Fulani tulikuwa tunapenda kukutana nae kwenye grosari moja maarufu pale mitaa ya sea view inaitwa Texas Siku moja alikuja tulipo kaa akasema x mass is around the corner nakumbuka siku ile kila MTU alikosa raha kwani tuliiona kama xmass inatunyemelea lazima tutakutana nayo bila kupingwa
 
Mh. PM mstaafu huyo nikionacho "...hajawahi kuwa na nyota ya kupendwa" pia kauli zake zinamrudi alipata kuwaambia wapinzani na wafanyibiashara "...njooni ccm mneemeke!!" Na kauli zingine zenye utata
 
Katika watu waliookota embe dodo chini ya mnazi,basi ni huyu bwana. Sijawahi kuona kipawa cha uongozi kwake,zaidi ya kuangalia fursa za upigaji nyoka
 
Mzee Sumaye alibuy time akisubiri ili opongezwe kama walivyo fanya CUF amefeli opsheni ni msajili sasa.
Mbowe na makamanda waandamizi kaa imara CDM isonge mbele ndilo tumaini la wanyonge!!
 
Kumbe ya kwangu ipo tofauti na hiyo
Pole kama amekublacklist kumbuka ni mbahiri sana huyu unakumbuka kuna Siku alijibu bungeni tuhuma za kununua mashamba alisema yeye posho zake anazolipwa hawezi nunua mishikaki sasa kama posho anawekeza ujuwe ni MTU aina gani huyu
 
Nataka kugombea uenyeketi wa makampuni ya IPP, form nachukua wapi vile?
 
Back
Top Bottom