Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Yaani tatizo ni lile lile. "Nimenyimwa uongozi kwa mizengwe". Katoka CCM si kwa sababu za kiitikadi na Chadema hali kadhalika. Party ideology plays no role. It is question of personal power,aggrandizement
 
Wewe umeacha biashara?
Tena uongozi wa Chadema Makao Makuu uliniomba mimi kutochukua fomu ya kuomba uongozi wa Kanda ya Pwani ili kumheshimu Mzee Sumaye , kilichobaki ilikuwa yeye kujinadi kwa wajumbe tu , zaidi ya ilichofanya Chadema isingewezekana kuwalazimisha wajumbe .
 
Mabina ambaye alikuwa Katibu wa kanda ya Pwani wa Chadema hadi mapema leo amewasilisha barua ya kujihuzuru nafasi hiyo.

Amechelewa, alitakiwa aachie toka jana jioni. Kwanza alivyokuwa anaendelea kuwa katibu wa kanda alikuwa anatukwaza. Aende CCM awaombe wampe kadi namba moja ya ccm iliyokuwa ya Nyerere ili CHADEMA ife vizuri.
 
Narudia chadema wamejifunza makosa waloyafanya kwa Lowassa Nini shida mzee.
I think you are missing my point.
The issue here is not Sumaye winning or losing an election.
My argument is on the principal issue of the right to be given the opportunity to aspire for the chairmanship. These election controversies in Chadema taints a black picture to the party's image and stature.
 
Jamani akalee wajukuu. siasa haziwezi. kwenye ushindani kuna ndiyo au hapana, sasa yeye alidhani akigombea lazima iwe ndiyo kwake? This strange world!
 
Mbowe ni pandikizi la ccm kuhakikisha upinzani haukui. 2020 atakuwa na uwakilishi mdoooogo haijawahi tokea na ruzuku itapungua, Mission yake itakuwa imekamilika.
Epsoude inayofuata ni ACT sema mwenye usukani hajatulia labda aende TL
 
I think you are missing my point.
The issue here is not Sumaye winning or losing an election.
My argument is on the principal issue of the right to be given the opportunity to aspire for the chairmanship. These election controversies in Chadema taints a black picture to the party's image and stature.
Una uhakika gani kuwa Sumaye amezungumza yakweli au ni stress za kukosa kura?
 
Amechelewa, alitakiwa aachie toka jana jioni. Kwanza alivyokuwa anaendelea kuwa katibu wa kanda alikuwa anatukwaza. Aende ccm awaombe wampe kadi namba moja ya ccm iliyokuwa ya Nyerere ili cdm ife vizuri.
Ni yapi maoni yako kumuhusu ndg Mbowe kuendelea kuutaka uenyekiti wa chama?
 
65 Reactions
Reply
Back
Top Bottom