Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,276
- 17,983
Ukiwaambia ukweli huu utaishia kutukanwa.Mambo matatu muhimu:
1. Policy makers wa CHADEMA watafakari kuhusu hatua waliyochukua kuwapokea watu wa CCM. Hii iwe fundisho, Viongozi wa CHADEMA wawe wanafanya risk assessment kwa kila jambo wanalokuwa wanataka kufanya.
2. Kulingana na siasa za namba moja, ni sahihi kwa yeyote aliyekuwa na makando kando kuufyata. CCM wanajulikana, nani msafi?
3. Kujiunga na upinzani haijawahi kuwa rahisi ukiachilia kutahamalaki kwa chuki za waziwazi hii leo nchini.